BALOZI WA SOUTH KWA MENGI TENA:Anakumbusha uhmuhimu wakutumia rasilimali:Muhongo upo na gamba ingine


Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,514
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,514 280
Haha...katika kipindi ambacho wasouth na dunia inaomboleza kifo cha mzalendo n amwanamapinduzi..Balozi wa South Africa kaamua tumia muda wake kuliambia taifa mbele ya Mengi kuwa lazima kutumia rasilimali vyema kwa maendeleo ya Africa.

Hili ni Dongo kwa maCCM na majinga mengine....Mengi anapata Endorsement ingine bila magamba kujua....MUhongo upo?
Niliwahi waambia Mengi ni Rais Kivuli.Sasa angalia kipindi ch akukumbauka wazalendo Mengi anaongea na watu.

Source: ITV
 
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
7,213
Likes
292
Points
180
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
7,213 292 180
Mkuu ivi Tanzania tuna viongozi kwa sasa?
Embu nikumbushe hata kiongozi mmoja vile!
Najua umenielewa namaanisha nini maana ya mtu kuitwa kiongozi hapa
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,514
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,514 280
Mkuu ivi Tanzania tuna viongozi kwa sasa?
Embu nikumbushe hata kiongozi mmoja vile!
Najua umenielewa namaanisha nini maana ya mtu kuitwa kiongozi hapa
tuna wanaotumia nafasi za viongozi
 
Mtanganyika

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2007
Messages
1,611
Likes
327
Points
180
Mtanganyika

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2007
1,611 327 180
Wewe niko unamfahamu mengi?
 
Mtanganyika

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2007
Messages
1,611
Likes
327
Points
180
Mtanganyika

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2007
1,611 327 180
Ninafahamu kilicho tokea jana?
Mengi is like many other investor what he cares for is the bottom line. He doesn't he care kama ni wazawa au wageni what he cares like many of investor ni bottom line. So tuache ushabiki. Mengi alichukua vitalu vya dhahabu he did feasibility study and cash it with Wyoming company for millions of dollar.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,514
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,514 280
Mengi is like many other investor what he cares for is the bottom line. He doesn't he care kama ni wazawa au wageni what he cares like many of investor ni bottom line. So tuache ushabiki. Mengi alichukua vitalu vya dhahabu he did feasibility study and cash it with Wyoming company for millions of dollar.
usiniambie yupo kma wengine ambao hawana michango mingi km yeye kwa kufanya vitu tangible kiasi hicho kwa watanzania.

Mtaumwa sana roho...wageni wajenge hospital ya matibabu ya moyo,na mengine
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,514
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,514 280
Mengi anasimama leo akiwa na ack up kubwa achievement zake ktk uwekezaji, tuzo aliyopewa na kauli ya huyu balozi.

Muhongo anaingia na kiburi chake tuu, na uprofessor wake pekee ndani ya gamba.
 

Forum statistics

Threads 1,250,597
Members 481,419
Posts 29,738,417