Balozi wa Nigeria arudishwa kwa tuhuma za kumpiga mkewe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balozi wa Nigeria arudishwa kwa tuhuma za kumpiga mkewe!

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, Jun 1, 2011.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Nigeria recalls diplomat over wife-beating claims  [​IMG]


  Photo/FILE Nigerian High Commissioner to Kenya Chijioke Wigwe (centre) and his wife Theresa dance at a past function. The envoy has been recalled over allegations of battering his wife. ​


  By NATION CORRESPONDENT

  Posted Tuesday, May 31 2011 at 22:30

  Nigerian High Commissioner to Kenya Chijioke Wigwe, has been recalled over allegations of wife battering.

  Nigerian media, quoting the country’s foreign ministry official reported on Tuesday that the “ministry had decided that the diplomat should go home as part of its investigation and disciplinary measures.”

  The wife of the Nigerian envoy, Ms Tess Iyi Wigwe, was examined on Monday by a police doctor over assault claims.


  Ms Wigwe recorded a statement with the Diplomatic Police Unit in Gigiri after reporting that she was assaulted by her husband, Dr Wigwe.

  The Nigerian High Commission has, however, termed the allegations against Dr Wigwe as “malevolent, far from the truth and unsubstantiated.”

  The Nigerian Bulletin quoted the spokesperson of the Ministry of Foreign Affairs, Mr Damian Agwu saying: “He will first of all be recalled and then be handled from there.”

  Tight-lipped minister

  In Nairobi, the Foreign Affairs ministry remained tight-lipped, only indicating that acting minister George Saitoti will issue a statement on Thursday over the matter.

  Kenya chapter of the Federation of Women Lawyers chairperson Naomi Wagereka had called on the Kenyan and Nigerian governments to immediately withdraw all diplomatic immunity and status of Dr Wigwe.

  Ms Wigwe displayed serious injuries on the face, which she claims were inflicted on her by her husband.

  Police sources also revealed that her daughter was also injured as she tried to protect her mother. It was not clear whether the woman intends to prefer any charges.

  Police Commissioner Mathew Iteere said they had written to the Ministry of Foreign Affairs regarding the lifting of Dr Wigwe’s immunity.

  Being a diplomat, he is not liable to any form of arrest or detention by Kenyan authorities.

  Nigeria had the option to recall the diplomat or have him face trial here should his diplomatic immunity be waived.


  Daily Nation:*- News*|Nigeria recalls diplomat over wife-beating claims
   
 2. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,085
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  Bora NN alijisemeaga Miafrika ndivyo tulivyo.
   
 3. N

  Nonda JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Mama Teresa pole sana.
  Baada ya kusoma hii habari...imenikumbusha nyimbo moja ya huyu mzee.

  Moi je l'ai battue hein !
  Elle a crié pour appeler tout le village
  Moi je lui dis seulement : "Ne crie pas, ne crie pas hein
  la condition féminine, la condition féminine,
  Tous les jours tu me parles de la condition féminine,
  Moi je te donne maintenant la condition masculine.

  Bofya hapa.
  Francis Bebey - Paroles et sons

  YouTube - ‪la condition masculine clip‬‏
   
 4. N

  Nanu JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  mhhhhh hata ya wakubwa?
   
 5. s

  shosti JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh aibu ila hii ndo sifa ya waafrika,kupiga wake zao na watoto zao
   
 6. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kumbe hata balozi mzima anajichukulia sheria mkononi na anaamua kuwa hakimu mwenyewe!
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Haya mambo ya aibu sasa.....
   
 8. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hapo sasa safi mkuu, avatar imetulia, sorry kwa lugha chafu. stay cool and blessed
   
 9. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  jamani msimalaumu balozi, saa nyingine mianamike nayo mijinga kama nini. ningekuwa miye ningemng'a kabisa na makalio yake, tuone ataenda kujilengesha wapi tena. shwain mkubwa huyo
   
 10. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Wamama zetu wa zamani walikuwa na adabu sana kwani kama ni enzi zao haya yasingefahamika na angeulizwa nini kimekuumiza angesema nimeanguka. Sasa ona ameshaharibu unga wa mumewe na inawezekana kabisa yeye ndiye alianza ugomvi lakini angalia inakula kotekote kwa sababu tu ya kukosa busara. Mbona hata marais wanawapiga wake zao lakini busara inatumika?.
   
 11. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Hata mimi nimeudhika sana ; halafu hali ya maisha itakapokuwa mbaya kwa kukosa vinono vya ubalozini ataanza kumwuliza mumewe ampe fedha. Huyu mamam ametengua kabisa uchumi wa familia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 12. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nakushukuru mkuu kwa kuliona hilo,

  kuna watu hizi harakati za wanawake zimewafanya wawe vichaa, huyo mama hakumbuki kuwa hata watoto wao wanategemea uchumi huohuo aliouchezea. angalia mapete vidoleni, inaonekana ni mtu wa kutanua kwa sana , hana akili kabisa huyo,

  ugomvi ni natural na suala la kupita tu, hata tungestaarabika namna gani, bado watu wataendelea kugombana, kuna umri unafika masuala ya kugombana yanapotea yenyewe na mnafurahia watoto wenu na hata kuwaonyesha makovu mliyopata mlipokuwa mnapigana na mnabaki daima mfano mzuri wa uvumilivu, mapendo na heshima ya ndoa.

  tatizo la wanawake wa siku hizi most of them wanapenda zaidi uchangudoa kuliko maisha ya ndoa na familia na inapotekea kaolewa anashindwa kutofautisha maisha ya kujiuza mitaani na maisha ya kwenye ndoa akiwa na mume na watoto.

  mpumbavu sana huyo mama na alaaniwe kwa kumpotezea mumewe kazi na kuleta mateso kwenye familia yake na kwa watoto wake
   
 13. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana nawe Gerard2008. Binafsi siafiki tabia ya wife beating lakini inapotokea busara itumike. Sasa huyo mke wa balozi kaharibu maisha ya mume wake na ya familia kwa ujumla kwa hulipeleka swala polisi.
   
 14. K

  Kahinda JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 849
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Hapa kila mmoja wetu atakuwa na maoni kwa kadri ambavyo mtizamo wake unamtuma. ki utamaduni wetu kama wafrika tuna jadi ya kuwapiga wake zetu tena wakati mwingine tunawapiga wanapo hoji maswala ambayo wana haki au ni haki yao kujahoji, kwani jadi yetu imetuzoea kumwona mwanamke kama moja ya vyombo(property) na si mwenza.

  Mara ngapi tunatoka ulevini, hatukuacha kitu nyumbani tunadai chakula (nyama) hali hatukuacha pesa na mama kama kawaida yao ametafuta cha kutafuta angalo mkono uingie kinywani lakini anadaiwa vitu nje ya uwezo wake na akijitetea nikosa?
  Mara ngapi mama ameshitukia mienendo ya waume zao na anapo hoji anaambulia kipigo na kila aina ya (Abuses). Mara nyingi kina baba wanakuwa vyanzo vya ugomvi/matatizo nyumbani.

  Kwa upande wa Balozi, sitaki kumhukumu lakini niseme tu kuwa yeye anatakiwa abebe lawama kwa tendo alilolifanya. Kwanza la kuiaibisha nchi yake kwa kiasi kikubwa picha alioonyesha ni kuwa huko Nigeria mambo ndo yalivyo.Sasa ikiwa mwana diplomasia anaweza fanya hivyo hawa laymans wanafanya je?.
  Kwa mtizamo wangu, endapo mambo yataharibika kikazi na hata kimasilahi wakulaumiwa kwanza ni yeye " vitabu vya dini vimesema kwamba
  enyi wakewatiini waume zenu, na waume wapendeni wake zenu. na kimeendelea kusema tena KAENI NA WAKE ZENU KWA AKILI......."
  Wanaume kaeeni na wake kwa akili,na uvumilivu wote akili inakusaidia kutafakari kabla huja tenda na imani Balozi anajutia uamzi wake aidha wa hasira au wakutotafakali kabla ya kutenda/kupiga. kwani kupiga ndo lingekuwa suruhisho?. Liwe ni fundisho kwa jamii maana tunajifunza kutoka kwa makosa yetu na ya wenzetu.
   
Loading...