Balozi wa Myanmar Umoja wa Mataifa afutwa kazi baada ya kuhimiza Jeshi kuondolewa madarakani

China ndio inawalipa hao Wanajeshi kuogopa ushawishi wa Marekani na hatimae Marekani kuweka watu wake na kambi ya Jeshi.
Kasnta sana mkuu hapo nimeelewa kitu na waMarekami wanahitaji san ile serekali ya yule mmama, na masoja hawakubali.
 
Mnafiq mmoja, mbona day wanawauwa innocent people kuwatesa kuwavunjia makaazi yao alikaa kimya hakulaani, ananjaa tu yakutaka kuishi ulaya
Acha kuleta porojo wale ni magaidi waliotumwa na Bangladesh hivyo ilikuwa sahihi kuwapoteza
 
Back
Top Bottom