Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Huyu ni wa kufukuza tu kwani haoni watu hawataki fujo wanataka wafanye kazi zao kwa uhuru? Yan mtu avunje sheria afanye anavyotaka kisa tu mko nyuma yake kama nchi kubwa?? Mbona kiduku kawashinda kule korea kaskazini..nyie mkitoa matamko yeye ana test mitambo mbona mmemkimbia mnahamia ohh waachiwe....mbwaaa nyieee kummaaamae zenuuu
Usingetukana hapo mwishoni mkuu, maana ulikuwa tayari na bonge la pointi. Hawa jamaa wanataka kiongozi "ngunguri" kama Mr Kiduku. Hapo wanakuja wenyewe kukusalimia. Re: Kisiwa cha Kyuba, Iran, Venezuela nk
 
Kwa ukandamizaji huu ulitaka nani awasaidie wanyonge wanaokamatwa kamatwa kila siku. Mungu anayetajwa na JPM siyo tunayemhua ndio maana anafanya anayoyafanya
Yaani kwa akili zako ndogo unaona huyo balozi anakusaidia kabisa? Ameshindwa kusaidia black wa kwao aje akuaaidie wewe? Shtuka ndugu
 
kwani alichoongea cha uongo.nikipi ckweli kuwa mawasilino yanasumbua au co kweli kuwa viongozi wa upinzani kuwa wameshikwa?
Muombe visa ya kwenda nchi yao kama atakupa basi. Kwao si anasema kuzuri na mawasiliano bwelele
 
Huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tanzania wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Akili zako zina akili kweli?
 
Hivi huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga wanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tz wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
ACHA wahangaike maana lengo lao halikutimia,kwa sasa tumesema basi kutawaliwa na mabeberu,hivyo wanapoona mobaraka ya Mungu kwa Magufuli wanateseka sana
 
Mabadiliko ni nature katika maisha ya binadamu hapa duniani
Yawe na matokeo mazuri au mabaya !
Usisahau pia kwamba kuzuia mabadiliko yanayoweza kuleta madhara kwa mtu ama taifa kijumla, nayo ni mabadiliko. Na ni jukumu la kila mmoja wetu kuchagua welekeo sahihi wa mahali tunapotaka kulipeleka taifa letu. Ukiacha kufanya maamuzi sahihi, automatically unakuwa umefanya uamuzi mbaya.
 
Huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tanzania wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Kwa hiyo unaungana na polisi walochofanya dhidi ya viongozi Wa upinzani?.
 
Nadhani atujibu Je Marekani kuna mtu yupo juu ya sheria?? Atuambie asijifanye ana mahaba ya kipuuzi, kama anawapenda wahalifu awapeleke huko huko marekani ila sio Tanzania.
Lakini pia ujue Marekani hakuna sheria kandamizi. Mfano kwenye Uchaguzi huu Halima Mdee kwa kushirikina na Polisi walikamata kura kwenye mabegi. Lakini badala ya kuwakamata wahusika wa mabegi hayo, alikamatwa mtoa taarifa za uwepo wa kura hizo yaani Halima Mdee.
 
Huyu balozi serikali imemuendekeza sana, ni muda muafaka ajue Tz ni nchi huru, wakati hao wajinga wake wanajaribu kutoa matamko ya kuleta vurugu hakusema neno, kuendelea kumuendekeza balozi wa namna hii ataleta matatizo , afanye anachotaka ila hao wajinga wa CDM sheria ichukue mkondo wake, hamna kucheka na ujinga.
Acha kupanic kaa kwa kutulia na usubirie matokeo.
 
Back
Top Bottom