Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,125
- 8,231
Wanye nchi mmeamua kuturarua na risasi na mabomu Sasa mpambane na mabeberu
Balozi anaongea kweli kabisa. Tunahitaji Marekani na nchi nyingine ziweke vikwazo.Umekandamizwa nini wewe? Internet yetu ina muhusu nini yeye? Na mbona haulizi kama tunakula?
Shitukeni huyo balozi ni ibilisi kavaa ngozi ya kondoo
Wewe yani ni kwamba uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo hatukulaumu ila inabidi tukufundishe yakwamba ujifunze kuwa mzalendo na mchapa Kazi ili tusonge mbele kimeendeleo na sio unafiki na kupinga juhudiUngekuwa US ukaona madudu yao, kamwe usingesema lolote. Hao jamaa wana "double-standard" asikwambie mtu. Urafiki wao hudumu kwa yule anayekubali kukamuliwa huku akiwachekea. JPM kwao ni never. Nampenda Rais asiyekubali kukoromewa na kupangiwa la kufanya na watu kama hao ambao Rais wao mwenyewe alishapa kwamba Afrika tungepaswa kuendelea kuwa makoloni kwa kipindi kingine cha miaka 100.
Mabadiliko ni nature katika maisha ya binadamu hapa dunianiSiwezi kusahau walichowafanyia Cuba, Venezuela, Libya, Tunisia, Iran, Iraq, Afghanistan na nchi nyingine nyingi tu. Distabilization, political unrest na kuchochea migogoro na machafuko ndiyo mbinu yao. Wake Rais wa Myanmar waliachwa wakachinjana weee mpaka wakimbizi kibao hata wala hawakusaidia lolote.
Balozi amewafanya mnakata uno na sasa ole wenu msipowaachia lazima mzalishweUmezoea michezo yako ya kukatika au sio,
mabwege kama wewe ndio wanaungaunga matamko ya ki shoga kama ya huyo Balozi, hivi hawajui hii ni nchi huru na pia lilikuwa koloni la Uingereza na sio USA? kama waliwashauri kwamba karata ya mwisho ni kuingiza watu barabarani wamefeli hii ndio TZ. Hawajatupa sentano ya uchaguzi, wasitupangie.Balozi amewafanya mnakata uno na sasa ole wenu msipowaachia lazima mzalishwe
Hao ni kuwakatalia waziwazi kama alivyofanya Robert M, Cuba na Venezuela.Anatuchukulia poa, sisi sio kama wale wa siku zote aliowazoea, muache aendelee kuwashwa washwa
Acha kutapatapa bisheni muone nguvu ya beberu kama gadaff alisurrender jiwe ni naniWamejaribu kila njia wameshindwa na hata hili la kuwataka kina Lissu na Zito waanzishe vurugu zitakazopelekea wao kuzipata rasilimali bure litashindwa kwani Watanzania wanajitambua saana na wataisoma namba
Hakuna upuuzi wa demokrasia ni kisingizio tuu wanachotaka ni RASILIMALI ZETU Kila nchi iliyo katika matatizo Duniani leo yaliletwa au kusababishwa na US na UK na kote huko ni kwa ajili ya rasilimali zao wasipokuwa na mkono au kuzipata kilaghai kama wapendavyo basi nchi hiyo husemwa haina demokrasia oneni leo ni dampo la nuclear waste wamagharabi wote wanajichimbia tuu Watanzania amkeni
Kama ni nchi huru mfukuzeni mnasubiri nini? si mna jeshi na Tiss hahahahaha subiri sindano izame kunakomabwege kama wewe ndio wanaungaunga matamko ya ki shoga kama ya huyo Balozi, hivi hawajui hii ni nchi huru na pia ni koloni la Uingereza? kama waliwashauri kwamba karata ya mwisho ni kuingiza watu barabarani wamefeli hii ndio TZ. Hawajatupa sentano ya uchaguzi, wasitupangie.
Unawaza kunyonya? Kiwango chako cha uelewa bado. Huyo anasema alikuwa Tz miaka thelathini iliyopita kama daktari wa kujitolea. Sasa kaja kama balozi wa nchi yake. Anachosema anakijua. Hawashwi kwa maana yoyote. Mimi niliwaandikia waelewa. Huelewi kitu. Kaa kimya kujisitiri. Unapayuka!Ulichokiandika kisome tena, halafu nenda kanyonye ukalale
Eti mkuu alietufanya OMBA OMBA ni nani mwengine km sio waliotawala NCHI kwa miaka 59.Huko kula vya kwao si ndiyo sera yenu nyie jamaa wa Chama cha Demoghasia & Maombolezo. Mnataka kuweka rasilimali za nchi rehani ili tuendelee kuwa ombaomba, wakati ambapo tunaweza kujijengea miradi mikubwa kwa ajili ya maendeleo himilivu yatakayotufanya tujiondoe shingo zetu chini ya magoti ya hao mabeberu wanaotamani kuwa viranja wa dunia.
sasa Tz unataka kuilinganisha na Cuba au Venezuela wewe ni pambaf kweliHao ni kuwakatalia waziwazi kama alivyofanya Robert M, Cuba na Venezuela.
Naona wao wanaandamana
We nani unatuamrisha. Tokea huko na umbea wenuBalozi huyo ameandika:
Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all citizens.
View attachment 1617807
Kwa mtu ambaye alizoea kujiendeaendea na kujifanyia vile atakavyo, huu utawala wa Dkt. Magufuli wa udhibiti mzuri wa mali za umma na kasi ya maendeleo, lazima atadhani ni ukoloni. Na huu ni mwanzo tu, kinakuja kimbunga cha maendeleo.Nchi ilisharejea utumwani kwa mkoloni mweusi