Balozi wa Marekani nchini akosoa kufutwa kwa mikutano ya kisiasa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Balozi wa Marekani hapa nchini amekosoa Serikali ya Magufuli kuzuia Mikutano ya Siasa hapa nchini

IMG-20160704-WA0021.jpg
 
Balozi wa U.S.A hapa nchini ni OBAMA..?

Hiyo picha ya Obama ndio balozi huyo..?

Haya magazeti, hata bure hayafai...!! Zanzibar walishindwa na uchaguzi ulirudiwa, sasa wataweza bara kutaka mikutano ya hadhara..?

Gazeti la Mbowe..!! Ulitegemea liandike nn..!! Basi wakafanyie mikutano yao Marekani..!! Tz hapana sasa hv.. wasubirie 2020..!! Wakitaka sasa hv waende Marekani wafanye mikutano tu..!!
 
Hata bila ya Balozi wa Marekani, hivi kuna mtu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kusema kuwa uamuzi wa Rais kufuta mikutano ya vyama vya siasa ni uamuzi wa busara na wa kisheria?
Uchaguzi ukiisha hata kwao huwa mwisho wa mikutano ya kisiasa.Huwezi fanya nchi kila siku ni mikutano tu watu wanatakaiwa wafanye kazi
 
MUDA WA KUWAENDEKEZA HAO MAJAMAA UMEPITWA NA WAKATI!
kuwa makini na alama za nyakati....HAPA KAZI TU!
 
Back
Top Bottom