Baraghash
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 2,713
- 1,789
Balozi Seif, wakati akilihutubia Barazala Wawakilishi mjini Zanibar leo asubuhi wakati wa ufungaji
/uahirishaji wa Baraza alisema kuwa " Maalim Seif hana ubavu wa kuwa Rais wa Zanzibar katika kipindi hiki cha utawala wa Dr.Ali Moh'd Shein kinachoishia 2020 na hata baada ya 2020"
CCM itaendelea kuiongoza Zanzibar. Alisema chama cha CUF tumekizowea tokea 1995 kuwadanganya wafuasi wao kuwa muda si mrefu Maalim Seif atapewa Serikali. -Wache waseme na watachoka Maalim Seif hana ubavu wa kuwa Rais wa Zanzibar!