OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,035
- 114,473
Balozi Ombeni Sefue amehusishwa na Uteuzi Mkurugenzi wa MSD ambao umegubikwa na mawenge.Imebainika kuwa hana sifa za kitaalum na wala hakufanyiwa usaili na bodi ya MSD ambao ina mamlaka kisheria.Gazeti la Dira ya Mtanzania imetonya...Kazi kwako Magufuli