Balozi Peter Kallaghe na maofisa wake,UK ni vilaza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balozi Peter Kallaghe na maofisa wake,UK ni vilaza

Discussion in 'International Forum' started by Bull, Dec 12, 2011.

 1. B

  Bull JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha kuona mtu kama Peter Kallaghe anateuliwa kuwakilisha Tanzania katika nchi muhimu kama Canada na Wiingereza, huyu ni Balozi mbovu.

  Tokea alipopelekwa UK hajawai kuaandaa sheree yoyote ya uhuru na kinachotia kichefuchefu zaidi ni kushindwa kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tnganyika, hii ilikuwa nafasi muhimu sana kuitangaza TZ kwa wafanya biashara, wanasiasa/diplomasia nk..

  Balozi Kallaghe alicho kuwa anakifanya ni kuvamia sehemu kama ujio wa Twanga Pepeta n,k ulio andaliwa na wajasir mali wa ki-TZ yeye kazi yake kubwa ni kudandia picha na kuzi-post kwenye blog ya michuzi, Balozi huyu mlevi ameshindwa kabisa kuwaunganisha watanzania, ambao awali waliunganishwa vyema na balozi alie pita Mama Ma'jar, anachokifanya balozi huyu ni kuwakimbia wa TZ pindi wanapomfuata kumpa ushauri

  Kilumanga, Cariline Ambokile na Msanjila n,k ni maafisawazembe wasio na uwezo waliteuliwa toka Wizara ya mambo ya nje kwenda ubalozini U,K kwa kutoa rushwa, Mishahara ya hawa maofisa unakatwa asilimia 20, 20% za mshahara wao unakwenda kwa wakubwa wawili pale wizarani. Hii inasababishwa kuachwa maofisa wachapa kazi na kupelekwa vilaza kama hawa

  Bernad Membe tafadhali rudiasha huu uchafu nyumbani kabla TZ haijaaibika zaidi

  :embarassed2:
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  labda serikali haikumpa pesa ya kuandaa sherehe? au pesa aliweka kapuni
   
 3. B

  Bull JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu Balozi wa Maskati na nchi nyingine nao walisherehekea na kuwwalika wafanya biashara pamoja na wenyeji wa nchi walizo kuwepo, sidhani kama Kallaghe na maofisa wake hawakupewa pesa za kuadhimisha shererehe hizo na hasa ukizingatia wako sehemu muhimu sna ya dunia (UK)

  Hawa jamaa wanaendeleza tamaduni zao za kizembe na ufisadi watuambie pesa wamepeleka wapi? tuwasubiri wamo humu jf
   
 4. p

  pansophy JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Nashukuru Mungu walau Balozi Kallaghe anaonekana ana moyo mzuri kwa wadanganyika kama wewe. Gharama za kuusherehekia huu upuuzi wa miaka 50 ya giza umeigharimu Tanzania sio (Tanganyika) Tsh BILIONI 64 halafu unataka na Mheshimiwa aongeze mbaya zaidi anatumia BRITISH POUND na sio madafu kama ulivyozoea.
  Kijana jiheshimu:embarassed2::hatari:
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hivi kutangaza nchi ni lazima ufanye sherehe? Mleta mada unaelewa maana ya 'strategic investment promotion? Una hakika gani kama kweli Balozi Kallaghe hatangazi Tanzania? Week chache zilizopita mwana wa malkia - Prince Charle & mkewe- duchess of Cornwall walikuwa nchini, na Balozi Kallaghe alikuwa nao kwenye msafara, unaweza kusema aliandamana na wafanyabiashara wangapi? Pia siku chache zilizopita kulifanyika mkutano London specifically kwa ajili ya kuvutia uwekezaji sijui kama unafahamu hili.

  Kuhusu kuunganisha watanzania, hii kazi haiwezi kufanywa na watanzania wenyewe? Ni lazima Balozi akae chini afikirie namna ya kuwaunganisha? Na kwa nini useme Balozi hajafanya sherehe? Naona hili la kuunganisha watanzania wanatakiwa watanzania wenywewe wajipange kupitia kwenye jumuiya zao, na hakika ziko nyingi.
   
 6. M

  Mcheza Kwao Member

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tabu ya kupeana vyeo kwa kujuana.
   
 7. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  una jambo unalolificha au umeshindwa kuandika kile ulichotaka kusema. unaweza kutulia kidogo, panga mawazo yako vizuri, yaandike, yasome mwenyewe ukiona yanaleta maana yamwage hapa.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  watu wamekosa dili la ten percent ya sherehe sasa wanavusha majungu

  utendaji unapimwa kwa sherehe?
   
 9. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  endeleeni kushambuliana tutajifunza mengi hapa
   
 10. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #10
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  bomu lingine hilo,litalipuka siku si nyingi
   
 11. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Jamaa anapenda sana vya dezo eti Balozi Kallaghe hawafanyii sherehe!!!
   
 12. Igabiro

  Igabiro JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ebu nyoosha kiswahili kidogo...yaani kushindwa kuandaa sherehe za uhuru ndio unaeleza maneno hayo ambayo hayaeleweki au una lingine unashindwa jinsi ya kuliwakilisha? jipange sawasawa toa maelezo yalionyooka..
   
 13. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #13
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  aisee Interesting Story
   
 14. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Crap, hii siyo issue ya kutupotezea muda. Author hana intergrity
   
 15. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Ooops kama hamjasema crap tafadhalini tuelezeni protocaly za maadhimisho ya sikukuu kama hizi kwenye balozi zetu then muhitimishe kwa mawazo mnayoyaweka kwa sababu huwezi tu ku-justfy kwa kuponda ki-hivyo .. ... ... .... ... .
   
 16. B

  Bull JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Mmajukumu ya balozi ni ku promote policy,siasa ,Economy na Cultural za nchi yake, Balozi Kallaghe alitakiwa a-grub hii opportunity ktk kipindi hiki cha miaka 50 ya uhuru kuiuza nchi, kama balozi zetu nchini kwingine zilivyo fanya

  Balozi huyu hajawai kuaandaa sherehe ya uhuru tokewa alipo teuliwa kuwa balozi uk, balozi za nchi zote zinatumia nafasi hii ya uhuru ku-promote nchi zao

  Huyu balozi ulevi ndio unaomsumbua, na maofisa wake wameteuliwa kupelekwa uk kwa mtindo wa kujuana, in return wanatakiwa walipe 20% kwa wakubwa wao pale wizara ya mambo ya nje, Je kwa utamaduni huu tutaendelea ?
   
 17. k

  kakolo Senior Member

  #17
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Hao maofisa wa ubalozi walipelekewa mwaliko kwenye sherehe fulani ambayo iliandaliwa na wa-tz kupitia Borough Council moja ktk Berkshire siyo Reading. Kwanza ubalozi ukasema wako na shughuli nyingi hawawezi kuhudhuria, basi sherehe ilipofunguliwa wageni tukataarifiwa kuwa Tz high comm hawawezi kuhudhuria as wako na shughuli nyingi. Then from NO WHERE Hawa kina Msanjila, somebody Kiondo na ofisa mwingine wakaja. Basi Mshehereshaji akatambulisha pamoja na majukumu mengi waliyonayo Tz high comm wamejitahidi kuhudhuria. Basi baada ya ratiba kuendelea ukafika wakati wakutoa machache hasa ukizingatia ilikuwa ni Tz day!! Wow Msanjila hana hata hotuba akaanza kuapologise mtizamo
  wake uwezo wake hata wakuiongelea Tz kiujumla
  awaambie angalao historia ya tz au nini kipo tz hawezi sasa ukiongeza na English yake YAANI HADI UNAJIULIZA HAWA WANAOWATEUA WANAANGALIA VIGEZO GANI? yaani hata sisi wa tz tulipojaribu kuongea nao Wanazungumzia BIASHARA YA UDI toka tz to the UK??? aibu airfreshner zote hizi. AIBU.
   
 18. Eric Cartman

  Eric Cartman JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,816
  Likes Received: 1,354
  Trophy Points: 280
  tatizo nadhani ni lile genge analozunguka nalo anapokuwa off-duty. Ukitoa Abu Faraji wengineo ni useless tupu wengine hata pa kulala ni utata at 40 na wana-british, hawa kweli watamshauri nini particulary mshamba kama leo. Yes ni mimi.
   
 19. Zurii

  Zurii Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Give him a break please dezo kitu gani na wapi kakosea hebu muwe mnaonge avitu mlivyo kuwa na uhakika navyo
   
Loading...