Balozi Ombeni Sefue amrithi Luhanjo

Mimi kwa mawazo yangu binafsi na kwa kumjua huyu balozi ni chaguo zuri kwa Tanzania.
 
Balozi Ombeni Sefue,
Hongera sana kwa kuteuliwa na Rais kuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Tanzania. Ni uteuzi mzuri lkn ninao ujumbe kwako ndugu yangu. Sefue, kwasasa Tanzania imekosa Viongozi waadilifu na hii imesababisha nchi yetu kuendelea kuwa mbaya kiuchumi na hata taswira ya nchi yetu ina taswira mbaya sana kimataifa. Hivyo, ni uteuzi mzuri lkn una changamoto kubwa sana kuhakikisha kwamba Viongozi wetu hasa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali ambao ndiyo Watendaji wakuu wa Wizara husika wanawajibika kulingana na taratibu zilizowekwa na wafanye kazi Professionally na si kama wanavyofanya kazi kwa kuangalia influence za Wanasiasa ambao wengi wao si Professionals.
Hongera tena Balozi Sefue lkn Changamoto nyingi sana zi mbele yako.
 
Wakuu kuuliza si ujinga;

Mara baada ya kupitia hiyo taarifa toka ikulu hapo chini mwenzenu nimetatizwa kidogo. Waku hebu nijibuni hili swali langu dogo tu.

Hivi huyu Mkurugenzi wetu wa kurugenzi za mawasiliano kule ikulu yetu Magogoni,
dr Salva Rweyemamu huwa ni wa kisomo cha darasa la ngapi?

Hicho ki-taito kabla ya jina lake ni zile za mabwana afya na mifugo zile za siku zote tulizozizoea kule mitaani kwetu au ni ile yenyewe yenyewe ya kiukweli?

Hebu fikiria huyo ndie "director wa press" kwenye highest office in the country

hebu imagine afisa habari wa Mauwasa atakuwaje

 
Rais Kikwete anaonyesha ana imani ya mrengo kwa kidoplomasia... anaamini watu wanaofanya kazi foreign affairs na sio kwingineko

hii ni hatari kweli kwa siasa za nchi yetu; wako weak sana
 
Huyu nae ni Mtanzania? Naona Jk anazidi kuongeza ajila kwa Watanzania hureeeeeeeeeeeeeeeeee j.k

Mambo ni Inner Cycle tu... Mliopo Nje Mtaishia kusema tu.... na Kuingia hamuingii Maskini atazidi kuwa Masikini na Tajili atazidi kuwa Tajili..

Na January Tunaongeza Bei Ya Umeme Sababu tulishawaeleza kuwa Maisha ya Dodoma Yamepanda Sana...
 
He will be another LUHANJO; toothless bulldog! Time will be our best witness.
 
MMK,
Hatimaye nimekuja kuamini kwamba wewe ni Balaaaaaaaaaaaaa. Hongera sana kwa taarifa zilizo rasmi.
 
Nilipa muda wa kubadilisha nae mawazo kidogo pale New york anaonekana kuwa na upeo mkubwa kwy maswala ya kidiplomasia sasa sijui kama ataweza ku corp na wasanii viongozi wa Tanzania.:lol:
 
dahh, huyu jamaa atakaa hapo magogoni hardly miaka mitatu na kubalilishwa kwakuwa 2015 chama chenye kuleta matumaini kwa watanzania kitatwaa madarak rasmi
 
Huyu nae ni Mtanzania? Naona Jk anazidi kuongeza ajila kwa Watanzania hureeeeeeeeeeeeeeeeee j.k

Mambo ni Inner Cycle tu... Mliopo Nje Mtaishia kusema tu.... na Kuingia hamuingii Maskini atazidi kuwa Masikini na Tajili atazidi kuwa Tajili..

Na January Tunaongeza Bei Ya Umeme Sababu tulishawaeleza kuwa Maisha ya Dodoma Yamepanda Sana...

Kwa hiyo mnataka muongezewe Posho na nyie wakazi wa Dodoma?
 
Timu ni ilele amebadilishwa namba na kocha mwengine. badala ya kuwa mshambuliaji amekuwa beki wa kati. hakuna jipya

hivi nani atarudisha utamaduni wa kuwajibika tz?Luhanjo alistahili kuwajibika/shwa na sio kustaafu.kulindana huku mpaka lini?aargh.
 
Back
Top Bottom