.Hongera Ombeni....hongera JK kwa uteuzi makini.............
Luhanjo atakuwa balozi piga ua....na hawezi kwenda kwenye balozi sensitivu....kutokana na kashfa zake.....Luhanjo ameaidiwa kupewa Ubalozi katika nchi za Africa, stay tune
Mkuu Uwezo Tunao,
Wewe ulikuwa unapendekeza nani awe mrithi?
Kweli MM ni mtubwa intelejesia ni kweli sasa balozi ombeni kawa KMK TBC 1 wametangaza taarifa ya habari ya saa 2 usiku,hapa JF kweli chiboko,mambo ya jikoni yanajulikana mapemaa
Mkuu Uwezo Tunao,
Wewe ulikuwa unapendekeza nani awe mrithi?
Nafikiri Riz1 angefaa sana
Heheheeee.....
Hii nayo vipi?
Urgent Press Notice
Sasa sielewi wanatumia browser gani au MS Office app gani maana browsers kama Firefox na Chrome siku hizi ukiandika neno kimakosa linapigiwa mstari mwekundu. Sasa sijui hawakuliona hilo la "satement"?
Hizi statement official zinatumwa kwa email?Heheheeee.....
Hii nayo vipi?
Urgent Press Notice
Sasa sielewi wanatumia browser gani au MS Office app gani maana browsers kama Firefox na Chrome siku hizi ukiandika neno kimakosa linapigiwa mstari mwekundu. Sasa sijui hawakuliona hilo la "satement"?
Mkuu Invisible katika Profile ya Mzee Sefue ongezea kwamba ameoa nyumba moja na Rais Mstaafu Mkapa!