Balozi Ombeni Sefue amrithi Luhanjo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balozi Ombeni Sefue amrithi Luhanjo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Dec 30, 2011.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Kwa mujibu wa ujumbe wa Salva Rweyemamu alioutuma kwa vyombo vya habari inaelekea dakika yoyote atatangazwa anayechukua nafasi ya Luhanjo dakika yoyote kuanzia sasa:

  JK karejea leo jijini Dar na inavyotakiwa ni mrithi wa Luhanjo kuapishwa kesho... LAKINI ieleweke kuwa lolote laweza kujitokeza!

  UPDATE:

  UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
  DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


  Telephone: 255-22-2114512, 2116539
  E-mail: press@ikulu.go.tz
  Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
  Fax: 255-22-2113425

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Balozi Ombeni Yohana Sefue kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.

  Balozi Sefue anachukua nafasi inayoachwa wazi na Bwana Phillemon Luhanjo ambaye anahitimisha mkataba wake wa utumishi wa umma kesho, Jumamosi, Desemba 31, 2011.

  Kabla ya uteuzi wake, Balozi Sefue alikuwa Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York, Marekani. Kabla ya hapo, Balozi Sefue alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani na kabla ya hapo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada tokea Oktoba 2005.

  Balozi Sefue ataapishwa kesho, Jumamosi, Desemba 31, 2011 saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.

  Imetolewa na:

  Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
  Ikulu,
  DAR ES SALAAM.

  30 Desemba, 2011
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete akiongea na Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Mh Philemon Luhanjo (kulia) na Katibu Mkuu kiongozi mteule Balozi Ombeni Sefue ofisini kwake Ikulu, Dar es salaam mara baada ya kufanya uteuzi huo

  ==============================

  OMBENI Y. SEFUE

  [​IMG]

  Ambassador Ombeni Yohana SEFUE formally began his tour of duty as Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations in New York on 31st August, 2010. Before that he was Tanzania's Ambassador to the United States of America in Washington D.C. from 15th June, 2007 to 14th August, 2010. Previously, Ambassador Sefue served as his country's High Commissioner (Ambassador) to Canada from October 2005 to June 2007.
  A career diplomat, Ambassador Sefue also served as Counselor in the Embassy of Tanzania in Stockholm, Sweden, between 1987 and 1992.

  Between 1993 and 2005, he worked as Speechwriter and Personal Assistant to two Presidents of Tanzania- President Ali Hassan Mwinyi (1993-1995) and President Benjamin William Mkapa (1995–2005).

  Among other things, Ambassador Sefue assisted President Mkapa when he served on the Commission for Africa (The Blair Commission) that produced its report, Our Common Interest: Report of the Commission for Africa in March 2005, and participated with him at the G8 Summit session that discussed the report at Gleneagles in early July 2005.

  He also worked with President Mkapa when the president served as Co-Chair of the ILO World Commission on the Social Dimension of Globalization between 2002 and 2004, participating in the preparation of the Commission's report, A Fair Globalization: Creating Opportunities For All, issued in February 2004.

  Ambassador Sefue completed his undergraduate studies in Public Administration in 1977 at what is today Mzumbe University in Morogoro Tanzania. He earned an M.A. in Public Policy and Administration from the Institute of Social Studies (ISS) in The Hague, The Netherlands, (1981). He holds a Post-Graduate Diploma in International Relations and Diplomacy from the Tanzania-Mozambique Center for Foreign Relations in Dar es Salaam, Tanzania (1986).

  Ambassador Sefue is married to Mrs. Anita M. Sefue and they have two children.
   
 2. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Bila shaka watatangaza na hatua atazochukuliwa Luhanjo.
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Si ghafla msikie JK kampa ubalozi?
   
 4. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Tunaendelea kusubiri.
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Demotion: from Chief secretary ( No. 1 Civil servant) hadi kupiga jalamba ubarozini?
   
 6. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapo ni Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Katibu Mkuu Kiongozi,Katibu wa Madini.Nabashiri tu!
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,574
  Likes Received: 18,515
  Trophy Points: 280
  Luhanjo amestaafu kwa mujibu wa sheria!. Ubalozini ndiko kunakomfaa zaidi kwenda kumalizia life na doleri!
   
 8. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Hii nchi hata one sentence press releases za Ikulu hazifanyiwi the simplest of proofreading

  Huyo ni "Director of Presidential Communications, aibu tupu.
   
 9. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Yanatokea hayo Mr Okada unakumbuka Dr Marten Lumbanga baada ya kustaafu Ukatibu Mkuu Kiongozi alipelekwa Ubalozini Switzerland?
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Subuti!!!!!

  Hiyo listi yako ndefu akajitose nani huko kwenye kikaangio wakati hela yenyewe serikalini hivi sasa ni ya KUUNGAUNGA tu licha ya ukweli kwa kodi tunaendelea kulipa kama kawa na TRA nayo kuendelea kuvuka malengo mara kumi kidogo kila mwezi kiukusanya?

  Zile sherehe za kujitutumua kitajiri majuzi hivi sasa kila mtoa misaada anatubania tu.

   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Dec 30, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Heheheeee.....

  Hii nayo vipi?

  Urgent Press Notice
  Sasa sielewi wanatumia browser gani au MS Office app gani maana browsers kama Firefox na Chrome siku hizi ukiandika neno kimakosa linapigiwa mstari mwekundu. Sasa sijui hawakuliona hilo la "satement"?
   
 12. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Balozi hebu tujuze,huu uDr. Marten Lumbanga kaupata lini!? Alipoondoka hapa hakua nao au ndio kasomea huko Switzeland?
   
 13. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Watupiana vijiti tu vya kutafuna kodi zetu, utafikiri hii Tanganyika wameumbiwa wao na mungu. Kwani hakuna watu wengine waoweza kuongoz nchii mpaka walewale wa nendarudi? Mtu akiharibu anahamishiwa wizara nyingine aende akaharibu. Tanganyika yote watu wenye elimu ni wa CCM?
   
 14. T

  Tinker Member

  #14
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 15. T

  Tinker Member

  #15
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 16. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wale wale tulijua huu upumbavu toka mwanzo hakuna jipya, Serikali legelege imefulia
   
 17. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Hizo tetesi za kuwa Sefue atamrithi Luhanjo si za kweli kwani Kikwete is under intense pressure to appoint a muslim as CS!!
   
 18. T

  Tinker Member

  #18
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 19. s

  sitakuwafisadi Member

  #19
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  LUHANJO hivi hajahukumiwa kunyongwa........HUYU ni mwizi kama wezi wengine........!!??
   
 20. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #20
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Check hapo kwenye deep green, hii inchi ya ajabu sana, sasa kama tamko linalotoka Ikulu linakuwa hivi tutegemee nini ma tamko ya wakuu wa wilaya.
   
Loading...