BALOZI MWAMBULUKUTU: Hospitalised Following Attack & Robbery in SA!

Dua

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
3,229
662
Tanzanian ambassador’s home robbed during farewell party

Posted: 01:08 AM ET

CNN said:
— A home invasion during a farewell dinner for Tanzania’s ambassador to South Africa left him seriously wounded Friday night, according to the South African Press Association.

The wife of Amb. Emmanuel Mwambulukutu and several of the guests at the dinner party at the Tanzanian diplomatic residence in Garsfontein, South Africa received minor injuries, SAPA reported.

Police said five armed men climbed over barbed wire and a wall and then ordered the 25 people inside onto the floor, SAPA reported. After taking cell phones, cash and household goods, the robbers left in the ambassador’s vehicle, SAPA said.

Poleni sana.
 
Tanzania's ambassador to South Africa was beaten unconscious and several of his guests were assaulted and robbed at his farewell dinner in Pretoria on Friday night.

About five armed men pushed aside the barbed wire and jumped over the wall of a diplomatic residence in Garsfontein around 10pm, a government official at the function told Sapa on Saturday morning.

"There were about 25 of us and we had just had supper. They ordered us to lie down, tied our hands, robbed us of cellphones, money and household goods," said the official, who asked not to be named.

He said Tanzania's High Commissioner Emmanuel Mwambulukutu was beaten unconscious and his wife stabbed in the head. Both were taken to hospital.

"Quite a few people were assaulted, hit with bottles. They kept threatening my 15-year-old daughter with rape."

According to the official the ambassador had told the thieves "gentlemen, God bless you", to which they allegedly replied: "We don't care for God. Let's stab these dogs".

The thieves packed the stolen goods into Mwambulukutu's 4x4 Mercedes and fled. Before doing so they pressed another man against a wall and "beat the hell out of him" when they failed to start his Audi.

He said police took about 25 minutes to arrive after guests called 10111.

"They [the police] kept asking us questions that delayed [them] while these guys were getting away.

"This is really embarrassing for South Africa. Most of the guests are Tanzanians who said they are going to leave this country."

Pretoria police spokesperson Captain Paul Ramaloko confirmed the attack and said Mwambulukutu was in a serious but stable condition. His wife and about six other people sustained minor injuries.

He said no shots were fired and no arrests had been made.

On July 21 South Africa's ambassador to the United Nations Dumisani Khumalo was robbed at his son's home in Greenside, Johannesburg after he returned from OR Tambo Airport. - Sapa
 
Duh! Nawatakia Balozi, mkewe na wote waliokumbwa na mkasa huo waugue pole...ila SA ujambazi umekithiri.

Police spokesman Paul Ramaloko said seven people were admitted to hospital after the attack at the home of a fellow Tanzanian that left ambassador Emmanuel Mwambulukutu unconscious and his wife with a stab wound to the head.

Hiyo nimeitoa reuters: http://http://africa.reuters.com/wire/news/usnL29715185.html

Je shambulio hilo lilitokea kwenye residence ya balozi au kwa Mtanzania mwingine aishie huko?
 
Jamani hawa watu wa SA wanafika wapi na huu ujambazi ama inabidi maraisi wabadilishane...JK aende kula na Thabo aje huku kwetu?

Hadi dipolomats wanavamiwa so easly...wangeweza hata kuwaua!

Kwa nini SA wanashindwa kucontain this situation? So sad, poleni familia ya Mwambulukutu
 
Sasa hayo ya South yatafika na hapa kwetu maana hali ya maisha chini ya msanii wetu yanazidi kuwa impossible.They have nothing to loose except their chains........
 
Mimi sina comment juu ya hiki ila nakuuliza wewe Nakulilia Tanzania kwa maneno yako ina maana JK ni bora zaidi ya Mbeki katika uongozi ? Kuwazima majambazi TZ si kwamba ni tricky na haikuwa kazi ngumu maana walifahamika na walikuwa na special mission?
 
Mimi sina comment juu ya hiki ila nakuuliza wewe Nakulilia Tanzania kwa maneno yako ina maana JK ni bora zaidi ya Mbeki katika uongozi ? Kuwazima majambazi TZ si kwamba ni tricky na haikuwa kazi ngumu maana walifahamika na walikuwa na special mission?

Lunyungu, heshima mbele mkuu, read between the lines.....I dont necessarily mean that JK is better that Mbeki......Inawezekana pia hao wa SA wanafahamika kwa watawala kama 'ilivyokuwa' hapa kwetu..so JK go there and 'teach' them how to deal with it!

taarifa zinasema Balozi alipigwa hadi kupoteza fahamu..hilo si jambo dogo hali imefikia pabaya!
 
Things like this needs a political will .That;s all I can say abnout this matter of tackling crimes like this .Haya tuendelee .Tanzania JK anakaza uzi mzungu akiumizwa ama Mwekezaji akipatwa na mkasa lakini Mdanganyika wa kawaida hata kuandika hawa andiki so why nilie na Mwambulukutu ?Pole zake lakini the same attetion should be given to all Tanzanians popote walipo Duniani .
 
Pamoja na kuwapa pole waliopatwa na mkasa huu kuna swali najiuliza. Hivi katika nchi iliyoshamiri ujambazi kama Afrika Kusini, balozi wetu hakuwa na ulinzi? katika nchi kama hizi( naunganisha na Brazil, Nigeria n.k.) inabidi serikali yetu iingie gharama ya kuweka walinzi wake. Kutoka nyumbani.
 
South Africa robbers attack envoy

_44325850_ambassador203.jpg


The ambassador is the latest high-profile
victim of violent crime


The Tanzanian ambassador to South Africa was beaten unconscious by armed robbers at his own farewell dinner in Pretoria, police say. The ambassador, Emmanuel Mwambulukutu, is said to be in a serious but stable condition in hospital.

Six other people were also taken to hospital after the attack, including the ambassador's wife. One person has been arrested.

South Africa has one of the highest rates of violent crime in the world.

A South African government official at the dinner told the South African Press Association that armed men broke into the diplomatic compound at around 2200 local time.

Rape threat

"They ordered us to lie down, tied our hands, robbed us of our cellphones, money, and household goods," he said.

"Quite a few people were assaulted, hit with bottles. They kept threatening my 15-year-old daughter with rape."

The robbers brandished weapons but no shots were fired. They made off in the ambassador's own Mercedes car after beating up another guest when they failed to start his Audi, according to the official, who was not named.

Police located the ambassador's car using its satellite tracking device and arrested one man. He was shot and wounded in the process, and taken to hospital under police guard.

Police say they are hunting his accomplices.

Calls for a crackdown on violent crime in South Africa have been renewed by a spate of attacks on high-profile targets. These include:


A Vietnamese embassy official shot and wounded at his home in Pretoria in October South Africa's UN ambassador robbed at gunpoint in his son's home in July.

But this latest attack seems to have been the most shocking yet.

The South African government official said the ambassador told the robbers at one point: "Gentlemen, God bless you."

They are said to have replied: "We don't care for God. Let's stab these dogs."
 
Kila nchi ina utamaduni wake, nahisi uhalifu ndani ya SA ni kama sehemu ya utamaduni wake. Hili ni janga la kitaifa huko SA, ni muhimu wakifumbua macho na kuangalia ni jinsi gani wanaweza kusafisha akili za vijana wao.
 
Wakuu ishu kama hizi huwa zina more info than what is being released as far as info, kwa hiyo tusubiri kidogo tupate more info na tutazipata tu maana huenda kuna somebody humo ndani ya ubalozi wetu alikuwa akishiriki kwenye some deals, sasa deal limekwenda vibaya au amemtapeli mtu huko, ndio wazee wamekuja ku-revenge, au ni mtu wetu wa ubalozi anayeshirikiana na hao majambazi,

Maana kuna a lot of facts to be looked upon, kuanzia majambazi walijuaje kuwa kuna party siku hiyo?, ubalozi ni mahali panapoogopwa sana huko nje hawa majambazi waliwezaje kujua kuwa wanachohitaji ni kupanda ukuta/wire tu na hakuna ulinzi wowote ndani? Walijuaje nani atakuwepo na hatakuwepo? Comfortability mpaka ya kukimbia wakiwa ndani ya gari la balozi? OOh come on hii ina smell like a duck na it is a duck, kwa sababu hii ishu walks like a duck, hii ni inside job!

Sasa muwakilishi wa idara huko ni lazima aeleze ukweli of what happened, maana lazima anajua ukweli kama hajui basi awajibishwe, maana swali kwake ni very simple alikuwa wapi? Wakuu tutafute habari zaidi maana so far something is not right na hii story!
 
Sad news, nawapa pole wanafamilia na marafiki wote kutokana na huo msukosuko, pia namwombea mh. Mwambulukutu na mkewe afya njema salimini.

SteveD.
 
Field Marshall ES,
Uliyosema hakuna haja ya kuongeza, ukweli kuna mambo yamefichika hapa ambayo tunahitaji majibu yake.
 
Hali ya kisiasa na umaskini nchini Afrika Kusini kwa kiasi kikubwa inachangia hali ya uhalifu.
 
Poleni sana kwa mkasa uliwaokumba. Uvamizi huu labda utawafumbua macho serikali waweke ulinzi wa kutosha katika ofisi za balozi zetu na nyumbani kwa mabalozi. Katika baadhi ya nchi unaweza kuingia ofisi ya ubalozi au nyumbani kwa balozi kama unavyoingia sehemu ambayo haihitaji ulinzi wa aina yoyote, kitu ambacho si sawa.
 
Pole sana Mwambulukutu ila bado sijajua mabolozi wa Tanzania nje wanafanya kazi gani maana kila kitu anafanya Rais na hata waziri wa Nje yeye anafuata tu nyuma.Labda ni wakati sasa tuwarudishe kubana matumizi maana watanzania ni masikini kwa kuwa Rais wetu anafanya hizo kazi mwenyewe most of the time .
 
Poleni sana Familia ya Balozi Mwambulukutu pamoja na wageni wake waliovamiwa.

1. Kuna Muungwana mmoja hapa kauliza je hiyo Party ilikuwa nyumbani kwa Balozi?, maana tunategemea nyumbani kwa balozi kuwe na ulinzi credible....especially ktk nchi ambayo world wide ni top ktk crime

2. My experience while in SA - Crime in SA zipo za aina nyingi kuanzia Organized ones, za Chuki, mpaka vibaka wa mtaani tena very sophisticated in some cases polisi wanahusika au wanawajua wahalifu ila wananshindwa kuwashughulikia..........kuna issue moja ya Mtanzania wa UN alitishiwa na majambazi..........mapolisi walimwambia they can not stop them.......and they have similar cases za vitisho finally watu kuuawa.........hivyo walimsihi amuombe mwajiri wake amuhamishe........ikabidi apate uhamisho

3. Pamoja na mambo mengine yaliyomfika huyu Balozo wetu................hivi ni kitu gani hasa kilichomfanya mpaka aseme "Gentlemen God Bless You"!!!!!!!!!!!!!!...........hii statement yake imenishangaza saana................hivi kweli Balozi alipitia Security Training na Personnal Safety Precautions/measures awapo kituo cha kazi/ugenini tena SA ambako amekuwapo kwa muda mrefu!!!!!!!!!!!!!!!!!!...................anyway imeshatokea basi Mungu amjalie apone haraka

Kwa Watanzania wote Ndani na Nje

Usalama wako binafsi ni kitu namba moja, hivyo kila mmoja wetu ni muhimu kuchukua hatua zinazofaa ili kujilinda na kuepuka kuumizwa au kupoteza maisha pasipo na sababu za msingi.............alichofanya Balozi ni sawa sawa na Confrontation na majambazi wakti yeye akiwa hana uwezo wa kujihami
 
muda huo mbona nilikuwa ninachat na mmoja wa watoto wa balozi hakusema chochote au alikuwa katika nyumba nyingine ?
 
...hivi ni kitu gani hasa kilichomfanya mpaka aseme "Gentlemen God Bless You"!!
Inawezekana alikuwa anafahamu hao jamaa wanachofanya kama alivyogusia FMES. Simfahamu vizuri Barozi lakini, kiubinadamu, unapokuwa katika hali aliyokuwapo lazima upigwe puzzle na utajitahidi kadri uwezavyo kuokoa maisha yako na si kutoa maneno ya mzaha namna hii. Hapa kuna mawili:

1. aidha anawafahamu na alikuwa anajua wanachofanya
2. au aliwaona sio serious gang (licha ya kuwa na cha moto) mpaka kuamua kutoa maneno ya mzaa kama hayo mbele ya kifo

Vile vile bado natafakali jibu la hao jamaa kwa Barozi...
"We don't care for God. Let's stab these dogs."
...ukiread btn lines unaona kama watu wanaofahamiana na wanajibizana kufuatia chuki/hasira ya jambo fulani; pengine mtoa habari wa haya majibizano alishindwa kugundua walichoamua hao gangs kabla ya kuondoka.
Inawezekana ilikuwa hivi...
"kwa kuwa unakaribia kuondoka ngoja tukuhache mzima, la sivyo..."."

Wacha data zishuke tujionee madudu!
============
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom