Balozi mtarajiwa, Dkt. Slaa hana kesi Mahakamani za kufanya maandamano au mikusanyiko isiyo halali?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Nakumbuka wakati akiwa katibu Mkuu wa CHADEMA enzi za Kikwete,Dr.Slaa alishiriki katika maandamano kadhaa yaliyokuwa yanaandaliwa na chama maandamano ambayo baadae yaliikuwa yanambaratishwa na polisi na wahusika kukamatwa na kushitakiwa.

Si hivyo tu,bali Dr. Slaa aliitwa muongo, mchochezi na mzushi enzi za utawala wa JK.

Sasa Balozi huyu mtarajiwa, hana kesi hata moja mahakamani zinazohusu kufanya maandamano haramu au kutoa maneno ya uchochezi?

Kuna kesi yoyote iliwahi futwa?

Je,itapendeza kumuapisha mtu kama ana kesi mahakamani?
 
Kama anazo zote zitafutwa na atasafishwa kwa kuitwa mzalendo !! Hao ndio Ccm na unafiki wao walimuita slaa babu cjui padri mzinifu cjui mzee wa maandamano cjui kibaraka wa wakatoliki ila leo hii anakuwa mwenzao!!!! Kaz ipo cjui lusinde mwigulu na shonza wataficha wapi sura zao

Chadema Mzee wetu Lowassa na Sumaye waliwaitaje?

Pasipo kujali ni wakina nani katika Taifa hili?

Itakuwa Ccm kumuita majina ya kila aina Babu!!!

Mkuu wanasiasa wa Tz wote wanafanana.

Anayebweka mpe chakula kitamu uone kama ataendelea kubweka.
 
Mkuu ni tofauti kumbuka upinzani hawawezi kujua siri zote za nchi sababu hawapo ikulu wala hawashiki dola ila CCM wanajua SIRI zote za nchi hii hivyo wanalosema wao inatakiwa iwe fact maana wana vyombo vya upelelezi kila kona sasa walishatuaminisha Dr Slaa anatumika na wakatoliki ili kuleta utawala wa kanisa hapa Tanzania na kuufuta uislam!! Hoja hii ilitolewa uchaguzi wa 2010 na iligawa sana kura za waislam

Baadae wakasema ni mchochezi na anataka nchi isitawalike hivyo ni muhaini sasa najiuliza kma serikali ilidai imetumia vyombo vya usalama kudadavua haya kivp leo anayetumika kuigawa nchi kwa faida ya mabeberu apewe ubalozi?? Si ndio atatuuuza zaidi??

Sasa hapo utalinganishaje na chadema ambao wako kwenye position ya kusema kitu wasichokuwa na taarifa nacho mpka waombe bubve liunde kamati cjui ripoti ya CAG ambazo ndio hujengea hoja

Sasa unaona kuna usawa wa haya matukio kweli??
 
All these have been sorted out, i'm now decided to join CCM
 
Kama anazo zote zitafutwa na atasafishwa kwa kuitwa mzalendo !! Hao ndio Ccm na unafiki wao walimuita slaa babu cjui padri mzinifu cjui mzee wa maandamano cjui kibaraka wa wakatoliki ila leo hii anakuwa mwenzao!!!! Kaz ipo cjui lusinde mwigulu na shonza wataficha wapi sura zao
Hao wote sasa watampigia salute na kumbebea begi.
 
Mkuu ni tofauti kumbuka upinzani hawawezi kujua siri zote za nchi sababu hawapo ikulu wala hawashiki dola ila CCM wanajua SIRI zote za nchi hii hivyo wanalosema wao inatakiwa iwe fact maana wana vyombo vya upelelezi kila kona sasa walishatuaminisha Dr Slaa anatumika na wakatoliki ili kuleta utawala wa kanisa hapa Tanzania na kuufuta uislam!! Hoja hii ilitolewa uchaguzi wa 2010 na iligawa sana kura za waislam

Baadae wakasema ni mchochezi na anataka nchi isitawalike hivyo ni muhaini sasa najiuliza kma serikali ilidai imetumia vyombo vya usalama kudadavua haya kivp leo anayetumika kuigawa nchi kwa faida ya mabeberu apewe ubalozi?? Si ndio atatuuuza zaidi??

Sasa hapo utalinganishaje na chadema ambao wako kwenye position ya kusema kitu wasichokuwa na taarifa nacho mpka waombe bubve liunde kamati cjui ripoti ya CAG ambazo ndio hujengea hoja

Sasa unaona kuna usawa wa haya matukio kweli??
aiseee... Big up kwako! Comment nzuri sana hii, hajakuelewa tu..!? Kama bado inabidi akapimwe ili ipendeze zaidi:)):D
 
Nakumbuka wakati akiwa katibu Mkuu wa CHADEMA enzi za Kikwete,Dr.Slaa alishiriki katika maandamano kadhaa yaliyokuwa yanaandaliwa na chama maandamano ambayo baadae yaliikuwa yanambaratishwa na polisi na wahusika kukamatwa na kushitakiwa.

Si hivyo tu,bali Dr. Slaa aliitwa muongo, mchochezi na mzushi enzi za utawala wa JK.

Sasa Balozi huyu mtarajiwa, hana kesi hata moja mahakamani zinazohusu kufanya maandamano haramu au kutoa maneno ya uchochezi?

Kuna kesi yoyote iliwahi futwa?

Je,itapendeza kumuapisha mtu kama ana kesi mahakamani?
Mbona Chadema walimsafisha ndugu Edward Lowassa na wakampata nafasi kubwa sana ya kugombea Urais kwa tiketi ya chadema? Kwa hiyo, hata DR.SLAA atasafishwa na mamlaka iliyomteua. Kwanza, hatua ya kuteuliwa kuwa balozi, tayari ameshasafishwa.
 
Mkuu ni tofauti kumbuka upinzani hawawezi kujua siri zote za nchi sababu hawapo ikulu wala hawashiki dola ila CCM wanajua SIRI zote za nchi hii hivyo wanalosema wao inatakiwa iwe fact
Hebu tuheshimiane mkuu. Una maana chama chetu huwa kinabwabwaja tu bila facts? huo ni uchochezi au umetumwa na LUMUMBA uje utuvuruge?
 
Nakumbuka wakati akiwa katibu Mkuu wa CHADEMA enzi za Kikwete,Dr.Slaa alishiriki katika maandamano kadhaa yaliyokuwa yanaandaliwa na chama maandamano ambayo baadae yaliikuwa yanambaratishwa na polisi na wahusika kukamatwa na kushitakiwa.

Si hivyo tu,bali Dr. Slaa aliitwa muongo, mchochezi na mzushi enzi za utawala wa JK.

Sasa Balozi huyu mtarajiwa, hana kesi hata moja mahakamani zinazohusu kufanya maandamano haramu au kutoa maneno ya uchochezi?

Kuna kesi yoyote iliwahi futwa?

Je,itapendeza kumuapisha mtu kama ana kesi mahakamani?
Slaa hana kesi yoyote
 
Mkuu ni tofauti kumbuka upinzani hawawezi kujua siri zote za nchi sababu hawapo ikulu wala hawashiki dola ila CCM wanajua SIRI zote za nchi hii hivyo wanalosema wao inatakiwa iwe fact maana wana vyombo vya upelelezi kila kona sasa walishatuaminisha Dr Slaa anatumika na wakatoliki ili kuleta utawala wa kanisa hapa Tanzania na kuufuta uislam!! Hoja hii ilitolewa uchaguzi wa 2010 na iligawa sana kura za waislam

Baadae wakasema ni mchochezi na anataka nchi isitawalike hivyo ni muhaini sasa najiuliza kma serikali ilidai imetumia vyombo vya usalama kudadavua haya kivp leo anayetumika kuigawa nchi kwa faida ya mabeberu apewe ubalozi?? Si ndio atatuuuza zaidi??

Sasa hapo utalinganishaje na chadema ambao wako kwenye position ya kusema kitu wasichokuwa na taarifa nacho mpka waombe bubve liunde kamati cjui ripoti ya CAG ambazo ndio hujengea hoja

Sasa unaona kuna usawa wa haya matukio kweli??

Mkuu nakuelewa vizuri

Lakini vipi unataka niaminisha tangu sasa John Mnyika na Saed Kubenea wakituambia viongoz wa Ccm wamefanya hiki na hiki nisiwaamini tena kwa kuwa hawapo jikoni?

Na Ccm ikisema Chadema ni chama cha ukabila nikubali kwa kuwa serikali inashika dola inaweza hata kuhack mitandao eg.voda&tigo na itakuwa inatoa taarifa sahihi?

Kabla 2015 nawe uliamini Mzee wetu Lowassa ni fisadi kuu By:Chadema?

Na pia uliamini Mzee wetu Dr.Slaa alikuwa anatumika na wakatoliki By:Ccm?
 
aiseee... Big up kwako! Comment nzuri sana hii, hajakuelewa tu..!? Kama bado inabidi akapimwe ili ipendeze zaidi:)):D

Mara isiohesabika chama kiwe na watu jamii ya Mkuu zitto junior

Lakini kikiwa na jamii yako shida.

Nyinyi ndio mnachoma matairi barabarani kabla ya uchaguz ili kutisha watu wasichague Ccm.

Huku hamjuwi mnawapa kazi kiasi gani viongozi wa juu wa upinzani.
 
Hebu tuheshimiane mkuu. Una maana chama chetu huwa kinabwabwaja tu bila facts? huo ni uchochezi au umetumwa na LUMUMBA uje utuvuruge?
Sijasema upinzani hatuna facts ila nyie maCCM mna vyombo vyote vya usalama vinavyoweza kuwasaidia kufanya uchunguzi hivyo probability ya upinzani kujua kila kitu ni ndogo kuliko CCM

Mfano Tegeta Escrow of course CCM ilikua na taarifa zote ila upinzani ulitonywa ndio IKAFANYA KUOMBA CAG afanye uchunguzi sasa ulitegemea bila CAG kuchunguza issue ile ingejulikana kwa umma????

Hivyo kwa mantiki hii serikali ipo kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua kila kitu kuliko upinzani ssa kivp mlinganishe hizi imcidence mbili ??
 
Kama anazo zote zitafutwa na atasafishwa kwa kuitwa mzalendo !! Hao ndio Ccm na unafiki wao walimuita slaa babu cjui padri mzinifu cjui mzee wa maandamano cjui kibaraka wa wakatoliki ila leo hii anakuwa mwenzao!!!! Kaz ipo cjui lusinde mwigulu na shonza wataficha wapi sura zao
Mtanzania ukiwa sio mwanachama wa ccm vyombo vya ulinzi na usalama vitawapa kesi yeyote Ile ilimradi kuwakatisha tamaa
Haki huinua taifa,afrika itabaki masikini kwa mambo ya kishenzi kama haya ya kusingizia wananchi wake kesi kisa sio wanachama wa vyama vya watawala
 
Mkuu nakuelewa vizuri

Lakini vipi unataka niaminisha tangu sasa John Mnyika na Saed Kubenea wakituambia viongoz wa Ccm wamefanya hiki na hiki nisiwaamini tena kwa kuwa hawapo jikoni?

Na Ccm ikisema Chadema ni chama cha ukabila nikubali kwa kuwa serikali inashika dola inaweza hata kuhack mitandao eg.voda&tigo na itakuwa inatoa taarifa sahihi?

Kabla 2015 nawe uliamini Mzee wetu Lowassa ni fisadi kuu By:Chadema?

Na pia uliamini Mzee wetu Dr.Slaa alikuwa anatumika na wakatoliki By:Ccm?
Ahsante mkuu naelewa hoja yako na ija mashiko ila nlitaka tuwekane sawa ya kwamba

Cjasema kma kubenea na mnyika ni waongo kwa nondo zote wanazotuambia kuhusu CCM ila pale ambapo wanasema kuhusu ccm eithee kuibua hoja au kuikosoa sote tunajua kuwa CCM ndio wanauwezo wa kujua ukweli ndio maana huwa wapinzani wakiongea mwishoni huomba serikali ichunguze au utaskia reference zao ni ripoti ya CAG n.k hivyo kma taarifa ya serikali ikipikwa automatically upinzani utaingia chaka maana hauna capacity ya kuamuru uchunguzi ndani ya taasisi ya serikali ili kujua ukweli cjui unanipata

Ila CCM mfano inaposema Maalim ni mtoto wa sultan jamsheed hivyo akipewa Urais wale waarabu wote watarudi zanzibar!!!! Hapo inaweza ikawa propaganda ila 70% ya Watanzia wapo in position kuamini sababu wanajua ccm ina polisi usalama wa taifa jeshi n.k ambao wanauwezo wakusaka taarifa zote wanazohitaji hivyo HAIWEZEKANI WADANGANYE sasa kwa mazingira hayo seif akirudi CCM unafkiri watawaelewa ???

Kwa mfano wa lowassa kipindi yupo ccm mwenyekiti wa CCM alidai ni ajali ya kisiasa ila upinzani walidai ni fisadi ila leo kahamia upinzani CCM wanamuita fisadi hapo unafkiri wataamini kipi?? Wataamini ile claim ya kwanza sababu obvious Rais kikwete ana usalama wa taifa wanaompa kila details hivyo kma alisema kufirahisha umati ndio hivo tena kila mtu anaamini ni ajali ya kisiasa maana wanaamini serikali ndio inaujua ukweli kuliko upinzani waliosubiri ripoti ya mwakyembe ambayo kma isingesomwa bungeni wasingejua lolote kma tu mmi na wwe

Ahsante
 
Back
Top Bottom