Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,474
- 39,987
Balozi Mpya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Holy See Bw. Mohammed Taher Rabbani amepeleka hati za utambulisho wake kwa Baba Mtakatifu Fransisco leo. Kabla ya uteuzi wake Balozi Rabbani aliwahi kuwa Balozi huko Guinea na Qatar.