mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,642
- 105,565
Angeonesha mfano,aachane na ajira hiyoFursa hiyo ya zao lingine la kimataifa, huyu Mzee Ali Said Mchumo amewahi kuwa Mtendaji wa Mashirika makubwa ya Umoja wa Mataifa yenye makao makuu Geneva Switzerland kwa miongo kibao kabla ya nafasi hii ya ukuu wa Mianzi yenye makao yake Beijing China ambapo ndipo bamboo zinapamba ujenzi wa mahekalu na vitu mbalimbali!
Alime,watu watafata nyayo
Ova