Balozi mbalimbali zilizopo nchini na sehemu zilipo

Elvis Legacy

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
3,379
4,703
Habari wanajamvi.

Kwa wale wanaojua maeneo naomba tufahamishane balozi mbalimbali zilizopo nchini na sehemu zilipo.

Nachukua fursa hii kuwashukuru wote mtakaoonesha ushirikiano. JamiiForum ndio sehemu pekee ambayo ni ghala(database) ya taarifa na maarifa mbalimbali.
 
Mkuu. Kama una Smartphone, we download Google Map basi.

Inakupeleka hadi mlangoni, iwe kwa gari au kutembea.

Tokea niijue Google Map sijawahi uliza sehemu mjini, ile kitu inajua kila sehemu.
 
Habari wanajamvi.

Kwa wale wanaojua maeneo naomba tufahamishane balozi mbalimbali zilizopo nchini na sehemu zilipo.

Nachukua fursa hii kuwashukuru wote mtakaoonesha ushirikiano. JamiiForum ndio sehemu pekee ambayo ni ghala(database) ya taarifa na maarifa mbalimbali.
Me nataka.nijue wa Jamaica yaani. Maama now days kuna vitu.vimeanza kuwa legalized made in Jamaica
 
Back
Top Bottom