Balozi Liberata Mulamula: Naamini nitakuwa mshauri mkuu kwa Mhe. Rais

Mamahakujali nchini ipo ktk maombolezo ila yy aliingia bungeni akifurahia tena hasa wakati baada ya kiapo alipo kuwa akionyeshwa seat ya kukaa yy akawa ana dance dance yaan ...enzi za hayati uruke ruke vile bungeni ..mbona baada ya nusu saa mzee anatengua uteuzi
 
Eeeh kumbe akidance
 
Kaingia peke yake na barakoa wakati bunge zima hakuna aliyekua kavaa barakoa
Watani zangu wahaya hupenda kujitofautisha kuonekana different naye ni mhaya
Ww hujui alichokuwa ametarget,kulingana na position yake hakutaka ajitofautishe na hko duniani ili asikwame mahala
 
Back
Top Bottom