Balozi Kagasheki: TCRA Mnachekesha

Nini kifanyike mkuu?
Press yetu tupo, tunasubiria kuitwa ndipo tuende. Press ukiitwa mahali kuchukua habari, ndio pia unawezeshwa na tule tu little brown nanilius, lakini ukienda mwenyewe kwa kujipeleka kutafuta habari, unakuwa hupewi !, ndio maana kwenye media zetu hatuna stories za investigative Journalism, kwasababu nani atakupa tule tu little brown nanilius ?.
P
 
Anaandika Balozi Khamis Sued Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter na ninamnukuu;

Humphrey siyo rafiki yangu. Pia siyo adui yangu. Sikuwahi kuketi popote na yeye kwa maongezi. Mara moja tu niliongea nae kwa simu kuhusu jambo lililo mhusu mwanachama mwenzetu na Boss wake (Bashiru) alikuwa kalivalia njuga. Inasemekana zipo tuhuma zinazo mkabili na Chama chetu hakijatoa hukumu dhidi yake mpaka kisikie utetezi wake. Kingeweza kumchukulia hatua bila hata kufuata taratibu kama tulivyo ona huko nyuma. Najiuliza, TCRA kabla ya hatua zao dhidi ya Polepole, walimpa fursa ya kujieleza? Alisikilizwa? Alisema nini?

Nimeusikiliza mlolongo wa tuhuma dhidi yake lakini nikazidi kujiuliza ‘na ikawaje akapewa leseni?’ Vitu vingine TCRA ilipaswa ivijue kabla ya kutoa leseni. Pamoja na yote “Darasa” lake halikuwa hewani siku moja au mbili kwa uchache wa siku, kweli TCRA walikuwa bado tu hawajaona kwamba leseni yao haikuwa katika mikono salama? Niwambie tu, TCRA mnachekesha.

Huu uadilifu mnaupata wapi. Awamu ya tano mmetoa leseni kwa so-called wanaharakati huru wakitukana, kudhalilisha Wazee na Wastaafu wa Taifa letu. Mpo kimya. Maongezi ya Watanzania yamedukuliwa na kuwekwa hadharani.Mpo kimya. Leo mnasimamia maadili. Really? Mimi simtetei Humphrey kama Humphrey. Kuna maswala ya msingi ambayo ni zaidi ya mtu. TCRA if you want to be correct so be it. We aren’t interested in half baked, half cooked dishes.

Na bado! Hadi hapo, kwani kiroboto mwenyewe:

IMG_20211213_115246_235.jpg

anasema je?
 
Dadeq ugali Wa moto mboga ya moto,anyway mbwa humnyenyekea anayempa chakula
 
Katiba ni muhimu ila kupata kiongozi alieimara ktk usimamizi wa hio katiba ni muhimu zaidi ya sana

Chadema kwenye katiba yao walikuwa na ukomo wa uongozi wa Mwenyekiti ila kutokana na kulewa madaraka kwa Mwenykt aliyepo basi ikafanyika figisu kipengele hicho cha ukomo kikaondolewa,,,

Tangu mwaka 2004 ( takribani miaka 17) mpaka leo hii bado Mbowe ni Mwenyekiti ilhali CCM ndani ya miaka hiyo ishapata wenyeviti WANNE tofauti

Sasa ni namna ya kushangaza kidogo, Mbowe ámbae haamini wenzake ktk kuwaachia madaraka ya uenyekiti chamani ndie anataka Watanzania wamuamini ktk kuichukua nchi mikononi mwa CCM
Tatizo lako unafafananisha katiba ya chama na katiba ya nchi. Tofautisha katiba ya TLP na katiba ya nchi.
 
Anaandika Balozi Khamis Sued Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter na ninamnukuu;

Humphrey siyo rafiki yangu. Pia siyo adui yangu. Sikuwahi kuketi popote na yeye kwa maongezi. Mara moja tu niliongea nae kwa simu kuhusu jambo lililo mhusu mwanachama mwenzetu na Boss wake (Bashiru) alikuwa kalivalia njuga. Inasemekana zipo tuhuma zinazo mkabili na Chama chetu hakijatoa hukumu dhidi yake mpaka kisikie utetezi wake. Kingeweza kumchukulia hatua bila hata kufuata taratibu kama tulivyo ona huko nyuma. Najiuliza, TCRA kabla ya hatua zao dhidi ya Polepole, walimpa fursa ya kujieleza? Alisikilizwa? Alisema nini?

Nimeusikiliza mlolongo wa tuhuma dhidi yake lakini nikazidi kujiuliza ‘na ikawaje akapewa leseni?’ Vitu vingine TCRA ilipaswa ivijue kabla ya kutoa leseni. Pamoja na yote “Darasa” lake halikuwa hewani siku moja au mbili kwa uchache wa siku, kweli TCRA walikuwa bado tu hawajaona kwamba leseni yao haikuwa katika mikono salama? Niwambie tu, TCRA mnachekesha.

Huu uadilifu mnaupata wapi. Awamu ya tano mmetoa leseni kwa so-called wanaharakati huru wakitukana, kudhalilisha Wazee na Wastaafu wa Taifa letu. Mpo kimya. Maongezi ya Watanzania yamedukuliwa na kuwekwa hadharani.Mpo kimya. Leo mnasimamia maadili. Really? Mimi simtetei Humphrey kama Humphrey. Kuna maswala ya msingi ambayo ni zaidi ya mtu. TCRA if you want to be correct so be it. We aren’t interested in half baked, half cooked dishes.
Balozi Balozi!! Deeper in you I know oh yes I know, We have been in a situation where our state has been captured since 2015. They decide what to do to who, who to accuse and who to convict. The rule of law applies to the captives only.
 
TCRA wenyewe ni kama wanasiasa tu wenye kilemba cha profession tofauti, siku zote huendana na midundo ya mtawala aliyeko madarakani ili kumlinda na sio profession yao.
TCRA ni bendera fuata upepo, pale hakuna wele3di wala nini bali ni kusikiliza wanasiasa wanataka nini!
 
Press yetu tupo, tunasubiria kuitwa ndipo tuende. Press ukiitwa mahali kuchukua habari, ndio pia unawezeshwa na tule tu little brown nanilius, lakini ukienda mwenyewe kwa kujipeleka kutafuta habari, unakuwa hupewi !, ndio maana kwenye media zetu hatuna stories za investigative Journalism, kwasababu nani atakupa tule tu little brown nanilius ?.
P
Paskali, nafahamu kuwa unaijua 'Tz Press', nje, ndani.
Nilikusikiliza Star TV, nikajiuliza kama utaalikwa tena.
Mansour wa Star TV alipata kigugumizi kuendelea kukuuliza maswali kufuatia maelezo uliyotoa.
Mfano wa Pamba kusafirishwa ghafi nje ya nchi, miaka 60 baada ya Uhuru, wakati zamani ilikuwa inachakatwa Urafiki Textile Mills na Mwatex, ilimpa mshituko Mansour aliyetegemea 'usifie mafanikio ya miaka 60'.
Hongera Paskali.
Tatizo hapa wewe ni Mwandishi wa Kujitegemea.
Wapo waandishi wanaokula Kodi za Watanzania huko TBC na Magazeti ya Serikali, ambao kazi yao ni kushindana katika kumsifia Rais na Serikali kwa matarajio ya kupata Ukuu wa Wilaya!
Hawa ni shida.
Tena Bosi wao ana PhD!

wakikualika tena,
 
Unajua shida zote hizi ni katiba yetu kuwa mbovu.Imagine hiki chombo kingekuwa absolutely independent, hizi politics za double standards za hiki chombo tusinge kuwa tunaziona.Tunaposema tunahitaji katiba mpya ambayo itapunguza madaraka makubwa ya Rais ni katika mazingira kama haya.Awamo ya 5 bwana Musiba alikuwa anajiachia kwa kuwachafua viongozi wakuu wastaafu lakini ilikuwa kimya kana kwamba TCRA hawakuwepo but leo wanamwona Polepole ni mhalifu kisa tu anaongea ukweli unao uma ! So sad kwakweli
Anaandika Balozi Khamis Sued Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter na ninamnukuu;

Humphrey siyo rafiki yangu. Pia siyo adui yangu. Sikuwahi kuketi popote na yeye kwa maongezi. Mara moja tu niliongea nae kwa simu kuhusu jambo lililo mhusu mwanachama mwenzetu na Boss wake (Bashiru) alikuwa kalivalia njuga. Inasemekana zipo tuhuma zinazo mkabili na Chama chetu hakijatoa hukumu dhidi yake mpaka kisikie utetezi wake. Kingeweza kumchukulia hatua bila hata kufuata taratibu kama tulivyo ona huko nyuma. Najiuliza, TCRA kabla ya hatua zao dhidi ya Polepole, walimpa fursa ya kujieleza? Alisikilizwa? Alisema nini?

Nimeusikiliza mlolongo wa tuhuma dhidi yake lakini nikazidi kujiuliza ‘na ikawaje akapewa leseni?’ Vitu vingine TCRA ilipaswa ivijue kabla ya kutoa leseni. Pamoja na yote “Darasa” lake halikuwa hewani siku moja au mbili kwa uchache wa siku, kweli TCRA walikuwa bado tu hawajaona kwamba leseni yao haikuwa katika mikono salama? Niwambie tu, TCRA mnachekesha.

Huu uadilifu mnaupata wapi. Awamu ya tano mmetoa leseni kwa so-called wanaharakati huru wakitukana, kudhalilisha Wazee na Wastaafu wa Taifa letu. Mpo kimya. Maongezi ya Watanzania yamedukuliwa na kuwekwa hadharani.Mpo kimya. Leo mnasimamia maadili. Really? Mimi simtetei Humphrey kama Humphrey. Kuna maswala ya msingi ambayo ni zaidi ya mtu. TCRA if you want to be correct so be it. We aren’t interested in half baked, half cooked dishes.
 
Anaandika Balozi Khamis Sued Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter na ninamnukuu;

Humphrey siyo rafiki yangu. Pia siyo adui yangu. Sikuwahi kuketi popote na yeye kwa maongezi. Mara moja tu niliongea nae kwa simu kuhusu jambo lililo mhusu mwanachama mwenzetu na Boss wake (Bashiru) alikuwa kalivalia njuga. Inasemekana zipo tuhuma zinazo mkabili na Chama chetu hakijatoa hukumu dhidi yake mpaka kisikie utetezi wake. Kingeweza kumchukulia hatua bila hata kufuata taratibu kama tulivyo ona huko nyuma. Najiuliza, TCRA kabla ya hatua zao dhidi ya Polepole, walimpa fursa ya kujieleza? Alisikilizwa? Alisema nini?

Nimeusikiliza mlolongo wa tuhuma dhidi yake lakini nikazidi kujiuliza ‘na ikawaje akapewa leseni?’ Vitu vingine TCRA ilipaswa ivijue kabla ya kutoa leseni. Pamoja na yote “Darasa” lake halikuwa hewani siku moja au mbili kwa uchache wa siku, kweli TCRA walikuwa bado tu hawajaona kwamba leseni yao haikuwa katika mikono salama? Niwambie tu, TCRA mnachekesha.

Huu uadilifu mnaupata wapi. Awamu ya tano mmetoa leseni kwa so-called wanaharakati huru wakitukana, kudhalilisha Wazee na Wastaafu wa Taifa letu. Mpo kimya. Maongezi ya Watanzania yamedukuliwa na kuwekwa hadharani.Mpo kimya. Leo mnasimamia maadili. Really? Mimi simtetei Humphrey kama Humphrey. Kuna maswala ya msingi ambayo ni zaidi ya mtu. TCRA if you want to be correct so be it. We aren’t interested in half baked, half cooked dishes.
TCRA ni affiliate wa chama tawala kama ilivyo UWT, policcm, gazeti la uhuru n.k wao wanafuata upepo na sii maadili ya kazi yao.
 
Back
Top Bottom