Balozi Kagasheki akanusha uvumi wa kuwahamisha wamasai 48,000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balozi Kagasheki akanusha uvumi wa kuwahamisha wamasai 48,000

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Aug 16, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  16 AUGUST 2012

  Na Mwandishi Wetu

  WIZARA ya Maliasili na Utalii, imekanusha uvumi uliotolewa na shirika moja kupitia mtandao wake wa AVAAZ.org kuwa wamasai 48,000 wamehamishwa katika eneo la Serengeti, mkoani Mara.

  Taarifa iliyotolewa Dar es Salaam jana kwa vyombo vya habari na Waziri wa Wizara hiyo, Balozi Khamis Kagasheki, imesema mtandao huo unadai eneo hilo limetolewa kwa Wafalme kutoka Mashariki ya Kati ili walitumie kwa uwindaji wa Simba na Chui.


  Alisema mtandao huo umewataka watu kutoka mataifa yote duniani kujiorodhesha na kufikia 150,000 ili kumshinikiza Rais wa Jakaya Kikwete asisaini mkataba ambao umelenga kuwahamisha wamasai hao jambo ambalo halina ukweli wowote.

  "Uvumi huu hauna ukweli wowote, kwanza hatua kama hii haiwezi kuchukuliwa na Serikali ya katika Hifadhi ya Serengeti kwani hakuna watu waishio ndani ya eneo la hifadhi.

  "Kitendo hiki hakijapangwa kufanyika katika Wilaya ya Serengeti ambayo pia haina idadi ya wamasai wanaofikia 48,000, pia ndani ya hifadhi hii hakuna eneo lolote ambalo limetengwa kwa ajili ya Wafalme wa Mashariki ya Kati," alisema.

  Balozi Kagasheki aliongeza kuwa, Rais Kikwete hausiki kabisa na ugawaji vitalu vya uwindaji katika eneo lolote nchini bali kazi hiyo ni ya Wizara yao ambayo pia haijafanya hivyo katika eneo tajwa.

  Aliwataka watu ambao wameoroshesha majina yao na wanaotarajia kufanya hivyo kupuuza umuvi huo kwani wamepotoshwa hivyo hawapaswi kusaini ili kubariki kitu wasichokujua wala hakipo.
  [​IMG]


  PETITION

  To President Jakaya Kikwete:

  As citizens from around the world, we call on you to oppose any attempt to evict Maasai from their traditional land or require them to relocate to make way for foreign hunters. We are counting on you to be a champion for your people and stop any attempt to change their land rights against their will.

  Already an Avaaz member?
  Enter your email address and hit "Send".

  [TABLE]
  [TR]
  [TD="class: button_td1, bgcolor: transparent"]SEND[/TD]
  [TD="class: button_td2, bgcolor: transparent"]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Email

  First time here? Please go to Avaaz.Org

  Avaaz.org will protect your privacy and keep you posted about this and similar campaigns.

  Stop the Serengeti Sell-off  [​IMG]  1,000,000
  778,998


  778,998 have signed. Help us get to 1,000,000


  Update: 13 August 2012
  Wow! More than 400,000 of us have signed in 24 hours! And President Kikwete's inner circle is starting to react -- a few hours ago, the President's close confidante, Mr. January Makamba MP, tweetedsaying he would send our voices to the President himself. Keep up the pressure by signing now and forwarding to others.


  Posted: 9 August 2012
  At any moment, a big-game hunting corporation could sign a deal which would force up to 48,000 members of Africa's famous Maasai tribe from their land to make way for wealthy Middle Eastern kings and princes to hunt lions and leopards. Experts say the Tanzanian President's approval of the deal may be imminent, but if we act now, we can stop this sell-off of the Serengeti.

  The last time this same corporation pushed the Maasai off their land to make way for rich hunters, people were beaten by the police, their homes were burnt to a cinder and their livestock died of starvation. But when a press controversy followed, Tanzanian President Kikwete reversed course and returned the Maasai to their land. This time, there hasn't been a big press controversy yet, but we can change that and force Kikwete to stop the deal if we join our voices now.

  If 150,000 of us sign, media outlets in Tanzania and around the world will be blitzed so President Kikwete gets the message to rethink this deadly deal. Sign the petition now and send to everyone.

  Photo by Caroline Irby
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Please Please Help to Stop Serengeti from Sell Off... Just Go to Avaaz.Org and sign up to VOTE; it is very PRIVATE

  Please help our Country; Our LAND, Our People's Masai from their Land... we will always remember JK Nyerere...

  No matter what we now realize... these leaders we have are nothing but wealthy Mongers ...
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
 4. M

  MTK JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Kutokana na mwendo mdundo serikali yetu siku hizi, unahitaji kuwa chizi kidogo kuamini kauli za serikali at face value! Anyway let us wait and see how this pans out. Liwalo na Liwe a.k.a mtoto wa mkulima!
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Leo nilitumiwa hii kitu:

  PRESS RELEASE

  [FONT=&quot]Reference is made to the ongoing campaign world over through AVAAZ.ORG (THE WORLD IN ACTION) titled '[/FONT][FONT=&quot]Stop the Serengeti Sell-Off' [/FONT][FONT=&quot] whereby people from all over the world are called upon to sign the petition to oppose any attempt to evict 48,000 Maasai from their traditional land or require them to relocate to make way for foreign hunters. [/FONT] [FONT=&quot]The information in the petition reads as follows: At any moment, a big-game hunting corporation could sign a deal which would force up to 48,000 members of Africa's famous Maasai tribe from their land[/FONT][FONT=&quot] to make way for wealthy Middle Eastern kings and princes to hunt lions and leopards. Experts say the Tanzanian President's approval of the deal may be imminent, but if we act now, we can stop this sell-off of the Serengeti.

  The last time this same corporation pushed the Maasai off their land to make way for rich hunters, people was beaten by the police, their homes were burnt to a cinder and their livestock died of starvation. But when a press controversy followed, Tanzanian President Kikwete reversed course and returned the Maasai to their land. This time, there hasn't been a big press controversy yet, but we can change that and force Kikwete to stop the deal if we join our voices now.

  If 150,000 of us sign, media outlets in Tanzania and around the world will be blitzed so President Kikwete gets the message to rethink this deadly deal. Sign the petition now and send to everyone.[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot] [/FONT]
  THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
  MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISM
  PRESS RELEASE
  [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]The Government wishes to refute the above claims as follows:[/FONT] [FONT=&quot]One, there hasn't been such a move within the United Republic of Tanzania and specifically at Serengeti, which is a district within Mara Region.[/FONT] [FONT=&quot]Secondly, from the current population the number of Maasai in the Serengeti could not reach 48,000.[/FONT] [FONT=&quot]Thirdly, in Serengeti there is no any such Hunting Block allocated to Middle Eastern Kings and Princes to hunt lions and leopards.[/FONT] [FONT=&quot]Fourthly, from the good governance perspective in Tanzania, it is not the responsibility of the President to approve any area for the purpose of being a hunting block; the Ministry of Natural Resources and Tourism is the one responsible.[/FONT] [FONT=&quot]Apart from the above clarification, we wish to inform those who have signed and planned to sign the petition that they are doing so without knowledge of what are doing. It is better for them to find the authenticity of the information provided before taking any step to sign this unfounded and baseless petition.[/FONT]
   
 6. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Nilii sign juzi, kumbe imewaumbua Lol!! Safi sana!! Waache ulafi wa kuliibia taifa, sote tunapita lakini kusahau binadamu wengine wanaokuja kuwa watategemea hizi rasilimali ni uhaini.
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  For how long tutakua katika hali hii.
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Kun akipindi iliripotiwa kuwa I think ni Arusha au huko huko kuwa kuna sehemu ukifika simu yako inatuma ujumbe wa kukukaribisha kwene Falme za Kiarabu ( Yaani as if ndio umeingia kwene himaya yao) siikumbuki vizuri hii
   
 9. M

  Mcjoe Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hawana lolote, wamefumaniwa, kwi kwi kwi
   
 10. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  je who is behind hii website na campaign?

  isije kuwa ni wakenya>?
   
 11. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Under this regime anything is possible,inasemekana kule wilaya ya Kilolo misitu mingi na ardhi wameuziwa wasomali!!
   
 12. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona hatuoni kampeni zao kuzuia MKURANGA isiuzwe?
   
 13. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Jana niliona hilo kutoka kwa serikali kanushi, jambo ambalo serikali haifumbui macho na kuona ni kuwa haina inachofanya hata iwe siri kiasi gani, ambaco hakitaibuka.

  Waziri anatumia maneno ya nahau ooh Serengeti iko Mara, Serengeti haina idadi ya wakaazi 48,000 blah, blah, blah... Ukweli ni kuwa serikali inawahamisha watu. Jana niliwatumia Mheshimiwa Makamba na Nyalandu nyaraka na video hii zinazothibitisha uovu wao wa kuwanyanyasa wananchi na kuipa nafasi kampuni ya uwindaji:
  Tanzania: Tourism and the Masai tribesman | World news | The Observer
  Hunted down -- New Internationalist
  http://t.co/w25XPr7E

  Ninaomba watakaopata nafai waangalie video hii Voices of Loliondo eng 7mn.m4v on Vimeo na bado Kagasheki, Makamba, Nyalandu and the like waje kukanusha.
   
Loading...