Balozi Kagasheki adhihirisha kuongozwa na sera za CHADEMA

Patriote

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
1,718
1,047
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, ambayepia na Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki (CCM), ameapa kuwa hayuko tayari kusutwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, kutokanana mikataba mibovu aliyoingia Meya wa Manispaa ya Bukoba Dk. Anatory Amani. Akihutubia mkutano wa hadhara mwishoni mwa wiki mjini Bukoba, Kagasheki alisema kuwa haungi mkono miradi ya kuvunja soko kuu la manispaa hiyo na wa upimaji wa viwanja 5,000. Miradi ambayo CHADEMA imekua ikiipinga kutokana na kuwepo kwa harufu ya ufisadi tangu miradi hiyo ilipoibuliwa kutokana na Meya Amani kuingia Mikataba kwa usiri mkubwa.

Katika hali iliyodhihirisha kuwa msimamo wa DK Slaa juu ya mafisadi ni mwiba kuliko ule wa JK wa kulinda Mafisadi, Balozi Kagasheki aliyasema haya.

"Mnapokwenda kwenye mikataba ya namna hii na kusema mbunge nikitu gani, siwezi kukubali nikae kimya, kesho Dk. Willibrod Slaa (sio JK) aje hapa aanze kuzungumzia ufisadi huu wakati mimi niko hapa," alisema.

My take

Balozi Kagasheki anaonesha wazi kuwa anasukumwa kufanya haya ya kupinga ufisadi majukwaani kwa vile anamwogopa Rais aliye mioyoni mwa watanzania (DK Slaa) na sio yule aliye magogoni (JK). Anaonesha dhahiri kuwa JK na ufisadi ni kama samaki na maji.

Kimsingi tunaposema kuwa CHADEMA ndiyo inaongoza nchi na CCM wanafwata sera za CHADEMA, huwa tunamaanishaga mambo ya namna hii. Kagasheki anaongozwa na Sera za CHADEMA ndani ya serikali ya CCM, wapo wengi wa aina hii. Je kuna anayebisha baada ya ushahidi huu??

SOURCE: Tanzania Daima

Bila chadema imara haki na mustakabali wa taifa hili utazidi kuangamizwa na hawa wauza tembo

ukweli uko wazi kabisa
 
Niliripoti hii muda kwenye thread moja..............hivi .Inabidi mtu asuluhishe ugomvi kati ya Meya na Kagasheki, vinginevyo itakuwa aibuuu.......Kagasheki asibishe nilimsikia kwa masikio yangu mweeenyewe. Na nitajitahidi kila mtu aisikie
 
Chadema siku zote itabaki kuwa Kiongozi,Lowasa alipinga sana kuhusu Elimu bure 2010 leo anajikosha anasema inawezekana mpaka Sekondari!! Haaahaa Chezea Nguvu ya Uma!
 
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, ambayepia na Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki (CCM), ameapa kuwa hayuko tayari kusutwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, kutokanana mikataba mibovu aliyoingia Meya wa Manispaa ya Bukoba Dk. Anatory Amani. Akihutubia mkutano wa hadhara mwishoni mwa wiki mjini Bukoba, Kagasheki alisema kuwa haungi mkono miradi ya kuvunja soko kuu la manispaa hiyo na wa upimaji wa viwanja 5,000. Miradi ambayo CHADEMA imekua ikiipinga kutokana na kuwepo kwa harufu ya ufisadi tangu miradi hiyo ilipoibuliwa kutokana na Meya Amani kuingia Mikataba kwa usiri mkubwa.

Katika hali iliyodhihirisha kuwa msimamo wa DK Slaa juu ya mafisadi ni mwiba kuliko ule wa JK wa kulinda Mafisadi, Balozi Kagasheki aliyasema haya.

"Mnapokwenda kwenye mikataba ya namna hii na kusema mbunge nikitu gani, siwezi kukubali nikae kimya, kesho Dk. Willibrod Slaa (sio JK) aje hapa aanze kuzungumzia ufisadi huu wakati mimi niko hapa," alisema.

My take

Balozi Kagasheki anaonesha wazi kuwa anasukumwa kufanya haya ya kupinga ufisadi majukwaani kwa vile anamwogopa Rais aliye mioyoni mwa watanzania (DK Slaa) na sio yule aliye magogoni (JK). Anaonesha dhahiri kuwa JK na ufisadi ni kama samaki na maji.

Kimsingi tunaposema kuwa CHADEMA ndiyo inaongoza nchi na CCM wanafwata sera za CHADEMA, huwa tunamaanishaga mambo ya namna hii. Kagasheki anaongozwa na Sera za CHADEMA ndani ya serikali ya CCM, wapo wengi wa aina hii. Je kuna anayebisha baada ya ushahidi huu??

SOURCE: Tanzania Daima

- Eti hapa hoja ni nini hasa, I mean si Chadema na CCM wanatakiwa kuwafanyia kazi wananchi na exactly ndio kinachotokea hapa au kuna something else I am missing? Yaani siasa za Taifa mmezigeuza kuwa mambo ya Yanga na Simba?

- I mean what is the point here?, Mheshimiwa Kagasheki ni Balozi, amekuwa Umoja Wa Mataifa almost half of his life, leo ni Waziri Wa Utalii, mnasema anaongozwa na sera za Slaa? PhD holder wa Kanisani, aliyeshindwa kila Urais aliogombea either akiwa mgombea au mpiga debe, Slaa ambaye majuzi ameongoza Chadema kushindwa kwa kipigo cha mbwa kwenye chaguzi za MAdiwani, leo kuna mtu hapa anasema Balozi KAgasheki anafuata sera za Slaa?

- Are you kidding me or what?

Le Mutuz!
 
Bro hayo sio maneno yangu ujue, Ni Kagasheki anakiri hadharani hapo kuwa anafanya hayo kwa kumwogopa Dk. Slaa (SERA ZA CDM) na sio JK wala sera za ccm. Wapi huelewi hapo kaka??Kuna vitu vingi sana umemiss kwenye hiyo habari, tulia isome taratibu utaielewa tu. Usianze kuvuka mto wakati bado hujaufikia kiongozi.
 
- Eti hapa hoja ni nini hasa, I mean si Chadema na CCM wanatakiwa kuwafanyia kazi wananchi na exactly ndio kinachotokea hapa au kuna something else I am missing? Yaani siasa za Taifa mmezigeuza kuwa mambo ya Yanga na Simba?

- I mean what is the point here?, Mheshimiwa Kagasheki ni Balozi, amekuwa Umoja Wa Mataifa almost half of his life, leo ni Waziri Wa Utalii, mnasema anaongozwa na sera za Slaa? PhD holder wa Kanisani, aliyeshindwa kila Urais aliogombea either akiwa mgombea au mpiga debe, Slaa ambaye majuzi ameongoza Chadema kushindwa kwa kipigo cha mbwa kwenye chaguzi za MAdiwani, leo kuna mtu hapa anasema Balozi KAgasheki anafuata sera za Slaa?

- Are you kidding me or what?

Le Mutuz!

Endelea na fikra zako za kimagamba,haubebeki pamoja na mbeleko kubwa ya mama na baba malecela.wewe hauoni kwamba kuna hoja pale,slaa ndo anakuwa tishio badala ya rais wa nchi!
 
Bro hayo sio maneno yangu ujue, Ni Kagasheki anakiri hadharani hapo kuwa anafanya hayo kwa kumwogopa Dk. Slaa (SERA ZA CDM) na sio JK wala sera za ccm. Wapi huelewi hapo kaka??

- Yaani nisichoelewa ni Balozi wa Kimataifa na Waziri wa Jamhuri, anawezaje kumuogopa au kuogopa sera za Kiongozi anayeshindwa uchaguzi kila wakati, tena anakataliwa na wananchi ndio nisichoelewa hapo bro hebu nielimishe kidogo!!

LE Mutuz!1
 
Endelea na fikra zako za kimagamba,haubebeki pamoja na mbeleko kubwa ya mama na baba malecela.wewe hauoni kwamba kuna hoja pale,slaa ndo anakuwa tishio badala ya rais wa nchi!

- Labda kama ni tishio kwa wake za wananchi, lakini haiwezi kuwa kwa Balozi wa Kimataifa kama WAziri Kagasheki, I mean naomna kuondoka maana this is waste yaani Yanga na Simba type!!

Le Mutuz!
 
- Yaani nisichoelewa ni Balozi wa Kimataifa na Waziri wa Jamhuri, anawezaje kumuogopa au kuogopa sera za Kiongozi anayeshindwa uchaguzi kila wakati, tena anakataliwa na wananchi ndio nisichoelewa hapo bro hebu nielimishe kidogo!!

LE Mutuz!1

We elewa hivyo hivyo kama habari ilivyoandikwa hayo maswali ungemuuliza Kagasheki mwenyewe
 
- Eti hapa hoja ni nini hasa, I mean si Chadema na CCM wanatakiwa kuwafanyia kazi wananchi na exactly ndio kinachotokea hapa au kuna something else I am missing? Yaani siasa za Taifa mmezigeuza kuwa mambo ya Yanga na Simba?

- I mean what is the point here?, Mheshimiwa Kagasheki ni Balozi, amekuwa Umoja Wa Mataifa almost half of his life, leo ni Waziri Wa Utalii, mnasema anaongozwa na sera za Slaa? PhD holder wa Kanisani, aliyeshindwa kila Urais aliogombea either akiwa mgombea au mpiga debe, Slaa ambaye majuzi ameongoza Chadema kushindwa kwa kipigo cha mbwa kwenye chaguzi za MAdiwani, leo kuna mtu hapa anasema Balozi KAgasheki anafuata sera za Slaa?

- Are you kidding me or what?

Le Mutuz!

Specsavers - hurry while stocks last!
 
- Labda kama ni tishio kwa wake za wananchi, lakini haiwezi kuwa kwa Balozi wa Kimataifa kama WAziri Kagasheki, I mean naomna kuondoka maana this is waste yaani Yanga na Simba type!!

Le Mutuz!
Kama hukuelimishwa na mzazi wako ukashindwa kuelewa zuri na baya walimwengu tunakaa kukucheka tu. Pamoja na juhudi zote za viongozi wenu kutafuna mali za nchi wewe na wenzako msio elewa mkabaki watazamaji hayo ni maumivu ya kuwa kilaza.
  • Kama chenji ya Rada hatujui ilifanya nini
  • Peas iliyo imbwa imerudishwa kutoka EPA imefanya nini,
  • Hata wenye mapesa Uswis Serikali ikisema yamelejeshwa,
Utakenua meno kumbe uongo, sasa usichojua Kagasheki kuogopa upinzani unahutaji uwe na digree?
 
- Yaani nisichoelewa ni Balozi wa Kimataifa na Waziri wa Jamhuri, anawezaje kumuogopa au kuogopa sera za Kiongozi anayeshindwa uchaguzi kila wakati, tena anakataliwa na wananchi ndio nisichoelewa hapo bro hebu nielimishe kidogo!!

LE Mutuz!1

Kwa maudhui ya mchango wako hapa pamoja na uchaguzi wa matumizi ya lugha, nashindwa kuelewa kwa nini ulishindwa uchaguzi wa EALA. Maana zaidi ya 90% ya wabunge wa chama chako, wana akili kama za kwako. Hata Mzee wako yuko juu kuliko wewe baharia.
 
Bro ninashaka na Elimu yako(Hujaelimika hata kama umenda shule).Unataka kusema mtu kuwa Balozi tayari anawuwezo mzuri? Je Ubalozi unasomewa wapi? Ni kigezo gani cha mtu kuwa balozi?

Wewe ni kijana unaekiwa kutoa mchango wa kujenga sio ushabiki wa kisiasa.Guys lets be serious humu JF.
 
- Eti hapa hoja ni nini hasa, I mean si Chadema na CCM wanatakiwa kuwafanyia kazi wananchi na exactly ndio kinachotokea hapa au kuna something else I am missing? Yaani siasa za Taifa mmezigeuza kuwa mambo ya Yanga na Simba?

- I mean what is the point here?, Mheshimiwa Kagasheki ni Balozi, amekuwa Umoja Wa Mataifa almost half of his life, leo ni Waziri Wa Utalii, mnasema anaongozwa na sera za Slaa? PhD holder wa Kanisani, aliyeshindwa kila Urais aliogombea either akiwa mgombea au mpiga debe, Slaa ambaye majuzi ameongoza Chadema kushindwa kwa kipigo cha mbwa kwenye chaguzi za MAdiwani, leo kuna mtu hapa anasema Balozi KAgasheki anafuata sera za Slaa?

- Are you kidding me or what?

Le Mutuz!
CCM ni wa hovyo sana kuwa nao team moja kusaidia wananchi
 
- Yaani nisichoelewa ni Balozi wa Kimataifa na Waziri wa Jamhuri, anawezaje kumuogopa au kuogopa sera za Kiongozi anayeshindwa uchaguzi kila wakati, tena anakataliwa na wananchi ndio nisichoelewa hapo bro hebu nielimishe kidogo!!

LE Mutuz!1

Sasa mbona yeye mwenyewe hasemi usemayo.Yeye katoa referencezake kua issue ni siku Dr. anaongelea hilo.Sasa wewe sijui unataka msaidia nini huyo balozi,na waziri ambaye unamkubali kifikra.

Wewe ndugu yangu unachekesha sana.Wewe mwenyewe unamkubali kama unavyomfagilia halafu unataka rekebisha kauli aliyoitoa akiwa nafahamu zake kamili.

magamba ni kama watoto wadogo wakiambiwa sema baba hayupo.Wanamwambia mgeni baba kasema nikuambie hayupo.VIkao vyenu vya ndnaia viliwaelekeza palipo na hofu, sasa mkiingi akatk public hamuwezi trim vitu fulani na kusema vingine.Kama ni kuwafikishia local leader kwanini msiwapitishie ktk vikao vya siri.Limeshaponyoka, na linathibitisha tuu wanayoyajua watu.
 
- Labda kama ni tishio kwa wake za wananchi, lakini haiwezi kuwa kwa Balozi wa Kimataifa kama WAziri Kagasheki, I mean naomna kuondoka maana this is waste yaani Yanga na Simba type!!

Le Mutuz!

Honestly sielewi ilikuwaje ukashindwa zile nafasi ulizogombea mkuu. Walitumia vigezo gani kukuengua sababu naona wewe ni genius kuzidi wao.?
 
Back
Top Bottom