Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,223
Kumbe mlijua mchafu?
Kwanini mliendelea kumpa nyadhifa mbali mbali? Kaondoka ndo mnastuka?
Ke.nge kweli nyie?
alikuja na maelezo ya kitaalamu,,,ooh sasa inabidi viwanda tuuze mr presdent,tujitoe katika biashara",,,,sasa akauza na hela hatuioni,,,akawekwa benchi