Balozi Juma Mwapachu ateuliwa kuwa Mwenyekiti Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma

Kivumah

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Messages
2,418
Likes
66
Points
145
Kivumah

Kivumah

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2008
2,418 66 145
mwapachupix.jpg

Balozi Juma Mwapachu
--
Mhe.Dkt.JakayaMrishoKikwete,Rais waJamhuriyaMuunganowa Tanzania amemteua Balozi Juma Mwapachu kuwaMwenyekitiwaBaraza la Chuo Kikuu cha Dodoma kuanzia tarehe 14 Septemba 2011.Atakuwa kwenye nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka minne (4)

Balozi Mwapachu anachukua nafasiiliyoachwa wazinaMhe. Dkt. Mohamed Ghalib Bilal ambaye alikuwaMwenyekiti wa kwanza na sasa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania.Mhe.Balozi Juma Mwapachu amewahikushika nyadhifa mbalimbali ndani na nje ya nchi zikiwemo KatibuMkuu waJumuiya ya AfrikaMashariki, Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa ikijumuisha nchi zaUhispania, Ureno, Tunisia, Morocco na Algeria.

Aidha Mhe.Balozi Juma Mwapachu amekuwa mjumbe wa Bodi mbalimbali hapa nchini na amewahikushika nyadhifa zaj uu katikaTaasisi zaUmma na binafsi.Kwa muda mrefu alikuwa naibu Mwenyekiti wa baraza la Chuo Kikuu cha Dar es SalaamMhe.BaloziJuma Mwapachu amehitimu shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki na alikuwa Mtanzania wa kwanza mwenye shahada ya Chuo Kikuu kujiunganaJeshi la Polisi nchini.Mhe.Balozi JumaMwapachu aliwahikutunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa falsafaya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na amewahi kuhariri nakuchapisha majarida na vitabumbalimbali.Uongozi w aJumuiya nzima ya Chuo Kikuu cha Dodoma inamkaribisha na kumtakia kila la kheri Balozi Juma Mwapachu katika majukumu yake mapya.

Source: Haki Ngowi Blog
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
14,909
Likes
4,388
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
14,909 4,388 280
Akili mgando tuu!huyu mzee hana jipya kwanza kiasi kikubwa yeye ndugu yake ndiye aliyeua ATC akauza ndege zote akanunua mbovu!pia ktk ubunge wake tanga aliua ule mji kabisa.kwa ufupi huko ni kulindana ili aendelee kupata posho za vikao!
 
kikahe

kikahe

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Messages
1,275
Likes
20
Points
135
kikahe

kikahe

JF-Expert Member
Joined May 23, 2009
1,275 20 135
Sina shaka nae! Uwezo anao ingawa sijui kwanini hajiiti DR
 
pangalashaba

pangalashaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
1,220
Likes
1,104
Points
280
pangalashaba

pangalashaba

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
1,220 1,104 280
Ni dini gani huyu jamaa? Maana jana niliona thread ya mambo ya udini udom.. Kazi kwetu kutoa maoni great thinkers! Hongera balozi juma mwapachu...
 
arabianfalcon

arabianfalcon

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
2,292
Likes
10
Points
135
arabianfalcon

arabianfalcon

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
2,292 10 135
Haya huyu bwana nae anaruka mkojo anakanyaga mavi,baada yakuwapa vijana nafasi anaenda kupewa huyu mzee ......
 
Makindi N

Makindi N

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2008
Messages
1,068
Likes
17
Points
135
Makindi N

Makindi N

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2008
1,068 17 135
Ckujua km aliwahi jiunga na Jeshi la Polisi - hivyo alikua Polisi au mfanyakazi wa kawaida alieajiriwa na polisi?

Ila wa siku nyingi? Wanatoka huku wanaenda huku....... Vijana tunang'aa sharubu tu kitaa........
 
D

Danniair

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Messages
360
Likes
3
Points
0
D

Danniair

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2011
360 3 0
Rais wetu mtukufu nafurahi kukujulisha kuwa wewe ni mvivu sana. Kwani hawa wazee mpaka leo hii wameshindwa kutuletea maendeleo hilo hulijui hata uawang'anga'nie? Mbona zipo damu changa nzuri sana na zilizozoea mazingira ya wanavyuo ambazo zinaweza kuikabili mikimiki ya wanafunzi. je umekuwa mvivu hata hukupekua mafaili yao kuona wasivyo na tija? TUMECHOSHWA na wazee hawa. Hawana lolote. hawana tija sasa. Wangelikuwa na tija pesa walizokwisha zizoa ktk nyazifa zao mbali mbali wangelikuwa wameanzisha viwanda ambamo vijana wetu wangekuwa wanapata ajila. Rais acha uvivu!!!
 
share

share

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2008
Messages
3,106
Likes
3,699
Points
280
share

share

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2008
3,106 3,699 280
Kama aliwahi kuwa Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Dar es Salaam pengine hicho ndicho cheo pekee katika orodha ya vyeo tunavyoambiwa kitakachomsaidia kuendesha Baraza za Chuo Kikuu Dodoma. Tufahamu kuwa kuwa mwenyekiti wa Baraza la Chuo ni tofauti kabisa na kuwa kiongozi wa kiutawala au kiutendaji sehemu nyingine yeyote. Lazima uwe na uelewa na uendeshaji wa chuo kikuu. Kazi yake kubwa ni kuongoza maamuzi ya kisera ya kuendesha chuo kikuu chake, hivyo, bila kuwa na mwanga wa kitaaluma huwezi na utaishia kuchekwa wakati wa vikao. Kazi yake ni tofauti sana na MKUU WA CHUO KIKUU (Chancellor) ambacho ni cheo cha heshima tu. Labda tujiulize kitu kimoja: Kwanini uongozi wa juu wa UDOM umejazwa na watu wa dini moja? Sitaki kuingiza hoja ya udini hapa bali uhalisia wa mambo unaoonekana waziwazi ndani ya uongozi wa juu wa chuo kikuu hiki. Tafakari, chukua hatua.
 
Mzalendo80

Mzalendo80

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Messages
2,481
Likes
416
Points
180
Mzalendo80

Mzalendo80

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2010
2,481 416 180
Mwapachu na Fisadi Kikwete wote wanatumia Masaburi kufikiria, hakuna jipya hapo tegemeeni Elimu kuporomoka kwa Kasi mpya, Ari mpya
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,098
Likes
4,434
Points
280
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,098 4,434 280
Mwapachu tangu sijazaliwa namsikia.
 
Bu'yaka

Bu'yaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
999
Likes
686
Points
180
Bu'yaka

Bu'yaka

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2010
999 686 180
TUMECHOSHWA na wazee hawa
Jina Mwapachu kwenye madaraka nimelisikia nikiwa darasa la kwanza way back, waaaay waaaay back, mpaka leo hii midingi bado inapeana mashavu, na si kama hana kazi, si yuko kwenye payroll ya Barrick huyu mzee? Na nina hakika yuko kwenye vikamati na vibodi vingine vingi tu. Mzee Kikwete, kwa nini unalimbikiza mishahara kwa mtu mmoja???

TUMEWACHOKA!
 
Bei Mbaya

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Messages
2,264
Likes
231
Points
160
Bei Mbaya

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2010
2,264 231 160
Ni dini gani huyu jamaa? Maana jana niliona thread ya mambo ya udini udom.. Kazi kwetu kutoa maoni great thinkers! Hongera balozi juma mwapachu...
usishangae
utekelezaji wa mkakati unaendelea
 
D

Danniair

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Messages
360
Likes
3
Points
0
D

Danniair

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2011
360 3 0
Mwapachu tangu sijazaliwa namsikia.
Jamani tusiwaonee haya hawa wazee wasio na mapya, yupo pia Wasirrrrrrra. Toka sijazaliwa!!!!!!
Hawana changamoto yoyote ya kuiendeleza nchi hii. Cha ajabu ni viongozi hao hao waliouwa SU zetu na wasichukuliwe hatua ila kwa kuwapongeza katika hilo, kila asubuhi wanarundikiwa vyeo kama kwamba ni wao tu wasomi. Wanatufanya sisi wasomi tuhisi kudhalilishwa. RAIS ACHA UVIVU.
 
D

Danniair

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Messages
360
Likes
3
Points
0
D

Danniair

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2011
360 3 0
Kama aliwahi kuwa Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Dar es Salaam pengine hicho ndicho cheo pekee katika orodha ya vyeo tunavyoambiwa kitakachomsaidia kuendesha Baraza za Chuo Kikuu Dodoma. Tufahamu kuwa kuwa mwenyekiti wa Baraza la Chuo ni tofauti kabisa na kuwa kiongozi wa kiutawala au kiutendaji sehemu nyingine yeyote. Lazima uwe na uelewa na uendeshaji wa chuo kikuu. Kazi yake kubwa ni kuongoza maamuzi ya kisera ya kuendesha chuo kikuu chake, hivyo, bila kuwa na mwanga wa kitaaluma huwezi na utaishia kuchekwa wakati wa vikao. Kazi yake ni tofauti sana na MKUU WA CHUO KIKUU (Chancellor) ambacho ni cheo cha heshima tu. Labda tujiulize kitu kimoja: Kwanini uongozi wa juu wa UDOM umejazwa na watu wa dini moja? Sitaki kuingiza hoja ya udini hapa bali uhalisia wa mambo unaoonekana waziwazi ndani ya uongozi wa juu wa chuo kikuu hiki. Tafakari, chukua hatua.
Unataka kutuambia akifa leo basi itatubidi kutafuta mtaalamu toka nje?! Acha hizo.
 
Blessingme

Blessingme

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Messages
250
Likes
14
Points
35
Age
32
Blessingme

Blessingme

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2011
250 14 35
Da Kweli hapa nimeamini udom kuna udini, anatoka muislamu anaingia muislamu.
 
D

Danniair

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Messages
360
Likes
3
Points
0
D

Danniair

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2011
360 3 0
Ckujua km aliwahi jiunga na Jeshi la Polisi - hivyo alikua Polisi au mfanyakazi wa kawaida alieajiriwa na polisi?

Ila wa siku nyingi? Wanatoka huku wanaenda huku....... Vijana tunang'aa sharubu tu kitaa........
Jamii ya vijana kwa kweli INAUMA
 
Kivumah

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Messages
2,418
Likes
66
Points
145
Kivumah

Kivumah

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2008
2,418 66 145
Sina shaka nae! Uwezo anao ingawa sijui kwanini hajiiti DR
Kuitwa/kujiita Dr,(PHD)?? katika Nchi hii kwa sasa haina maana kama huutumii Ujuzi na Elimu ulionayo katika kutatua matatizo lukuki ambayo Nchi hii inapitia.
 
Kivumah

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Messages
2,418
Likes
66
Points
145
Kivumah

Kivumah

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2008
2,418 66 145
Ckujua km aliwahi jiunga na Jeshi la Polisi - hivyo alikua Polisi au mfanyakazi wa kawaida alieajiriwa na polisi?

Ila wa siku nyingi? Wanatoka huku wanaenda huku....... Vijana tunang'aa sharubu tu kitaa........
...Uki-google, utaona moja ya Professional Experience zake. Aliwahi kuwa Askari Polisi
6. PROFESSIONAL EXPERIENCE

April 1969 – Sept.1969
: First Tanzania Graduate to join the Tanzania Police Force (Asst. Supt. of Police) then reverted to Attorney General's Chambers, Government of Tanzania, (State Attorney)
 
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Joined
Nov 11, 2010
Messages
11,435
Likes
72
Points
145
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Joined Nov 11, 2010
11,435 72 145
Kama aliwahi kuwa Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Dar es Salaam pengine hicho ndicho cheo pekee katika orodha ya vyeo tunavyoambiwa kitakachomsaidia kuendesha Baraza za Chuo Kikuu Dodoma. Tufahamu kuwa kuwa mwenyekiti wa Baraza la Chuo ni tofauti kabisa na kuwa kiongozi wa kiutawala au kiutendaji sehemu nyingine yeyote. Lazima uwe na uelewa na uendeshaji wa chuo kikuu. Kazi yake kubwa ni kuongoza maamuzi ya kisera ya kuendesha chuo kikuu chake, hivyo, bila kuwa na mwanga wa kitaaluma huwezi na utaishia kuchekwa wakati wa vikao. Kazi yake ni tofauti sana na MKUU WA CHUO KIKUU (Chancellor) ambacho ni cheo cha heshima tu. Labda tujiulize kitu kimoja: Kwanini uongozi wa juu wa UDOM umejazwa na watu wa dini moja? Sitaki kuingiza hoja ya udini hapa bali uhalisia wa mambo unaoonekana waziwazi ndani ya uongozi wa juu wa chuo kikuu hiki. Tafakari, chukua hatua.
.............. hebu shauri mgao uweje !
 
Forum statistics

Threads 1,236,300
Members 475,050
Posts 29,253,363