Balozi Ibrahim Kaduma na ndoto ya kuanzisha bodi ya mikopo ya wanafunzi vyuo vikuu

Dr. Lugano Wilson

New Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
2
Points
45

Dr. Lugano Wilson

New Member
Joined Jul 29, 2015
2 45
Nimesikitika kusikia kifo cha mzee Kaduma sikujua hata kama alikuwa hospitali, ikiwa ni siku chache nimetoka kushiriki msiba wa Shujaa aliyekuwa hajulikani Bi. Atupakisye Tumpange Mwaipopo kule mkoani Mbeya.

Nilimfahamu Mzee Ibrahim Kaduma kwa kukutana nae kwenye vikao , yeye na mimi tukiwa wajumbe wa Baraza la vyuo vikuu vilivyokuwa chini ya KKKT, mimi nikiingia kama statutory member, namkumbuka kwa mambo makubwa mawili , Mzee Kaduma yeye alisimamia mchakato wa mazungumzo na African Development Bank kusaidia kuanzisha bodi ya mikopo ya Elimu ya juu ambayo ingekuwa chini ya mwamvuli huo ili kuwasaidia vijana ambao walikuwa wakikosa mkopo HESLB au waliokuwa waki yaipata pungufu ya 100%.

Alisadia kuandaa document na kuipigia debe pendekezo hilo mbele ya wajumbe wakiwemo maaskofu wa dayosisi mbali mbali nchi nzima na marais(student unions) na maprofesa wa vyuo vikuu husika.
Mchakato uliiva , na wajumbe wengine tuliufurahia, lakini kwa bahati mbaya ulikuja kukwama katika hatua za mwisho baada ya kushindwa kuelewana kwenye baadhi ya mambo ikiwemo mgawanyo wa Hisa.

Mbali na hilo, mzee kaduma alipenda maendeleo na alitufundisha maraisi wa vyuo vikuu maadili, na alikuwa very social, nakumbuka kila baada ya vikao kuna wakati walikuwa akikaa nasi akitufundisha kuhusu maadili, na katika mazungumzo yake alioonesha alichukia rushwa.

Mungu ailaze roho ya mahali pema peponi.
Nenda mzee Kaduma.
Nawasilisha.

Lugano Wilson.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
20,644
Points
2,000

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
20,644 2,000
Nilimfahamu mzee Kaduma akiwa mwenyekiti wa bodi ya Mkonge Tanga
kaacha Watoto watano na wajukuu Tisa.Hao Watoto hawajamtendea Haki baba yao.Marehemu ana Watoto Tisa .Ukigawa hao wajukuu tisa Ukigawa kwa Watoto watano wa Marehemu Ina maana kila mtoto mmoja wa matehemu kazaa mtoto mmoja na nusu!!! Hi Sio sawa. Watoto wa Marehemu waachei uvivu wa kuzaa loooo..Mama yao kwa kuwa Yuko hai awaite Watoto wake awaambie bila kupepesa macho kuwa wazae waache ubishoo
 
andaskoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Messages
1,317
Points
2,000

andaskoo

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2015
1,317 2,000

Kumbe wewe ni bwege tu kama mabwege wengine, sasa hapo umeandika vidudu gani au ndo utani...!!
 
andaskoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Messages
1,317
Points
2,000

andaskoo

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2015
1,317 2,000
Kuna bwana mmoja wa jina hilo Kaduma ni Loan Officer pale MUHAS, katika chuo kile mimi nilikuwa nampenda huyo tu.... ukisikia Kaduma kacheka ujue ni kwenda kusaini boom tu na kurudi mtaa kutia heshima.
Huyu atakuwa mmoja wa watoto wake, sijui lolote kuhusu uhusiano wao.... pumzika pema mzee KADUMA.
 
msondomba

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
1,119
Points
2,000

msondomba

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
1,119 2,000
Nimesikitika kusikia kifo cha mzee Kaduma sikujua hata kama alikuwa hospitali, ikiwa ni siku chache nimetoka kushiriki msiba wa Shujaa aliyekuwa hajulikani Bi. Atupakisye Tumpange Mwaipopo kule mkoani Mbeya.

Nilimfahamu Mzee Ibrahim Kaduma kwa kukutana nae kwenye vikao , yeye na mimi tukiwa wajumbe wa Baraza la vyuo vikuu vilivyokuwa chini ya KKKT, mimi nikiingia kama statutory member, namkumbuka kwa mambo makubwa mawili , Mzee Kaduma yeye alisimamia mchakato wa mazungumzo na African Development Bank kusaidia kuanzisha bodi ya mikopo ya Elimu ya juu ambayo ingekuwa chini ya mwamvuli huo ili kuwasaidia vijana ambao walikuwa wakikosa mkopo HESLB au waliokuwa waki yaipata pungufu ya 100%.

Alisadia kuandaa document na kuipigia debe pendekezo hilo mbele ya wajumbe wakiwemo maaskofu wa dayosisi mbali mbali nchi nzima na marais(student unions) na maprofesa wa vyuo vikuu husika.
Mchakato uliiva , na wajumbe wengine tuliufurahia, lakini kwa bahati mbaya ulikuja kukwama katika hatua za mwisho baada ya kushindwa kuelewana kwenye baadhi ya mambo ikiwemo mgawanyo wa Hisa.

Mbali na hilo, mzee kaduma alipenda maendeleo na alitufundisha maraisi wa vyuo vikuu maadili, na alikuwa very social, nakumbuka kila baada ya vikao kuna wakati walikuwa akikaa nasi akitufundisha kuhusu maadili, na katika mazungumzo yake alioonesha alichukia rushwa.

Mungu ailaze roho ya mahali pema peponi.
Nenda mzee Kaduma.
Nawasilisha.

Lugano Wilson.
Dr.Lugano utakua umemaliza Mwenge primary school
 
Forum statistics

Threads 1,382,629
Members 526,405
Posts 33,832,266
Top