Balozi Hamisi Kagasheki ashiriki mazishi ya Mama Kabendera

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,493
2,000
Subpost 4 - _Tumemaliza mazishi ya Mama ya Rafiki yetu - FreeErickKabendera hapa  ( 640 X 640 ).jpg

Kwa Kadri ya macho yangu kuanzia nyumbani, kanisani Chang'ombe hadi kwenye nyumba ya milele Bukoba, huyu ndiye mwana CCM pekee niliyemuona akishiriki msiba huu.

Bila shaka wana CCM wengine walipata udhuru uliosababisha wasionekane na naamini walishiriki msiba huu kiroho na labda waliomba dua za kimya kimya kama desturi zetu zilivyo.

Inshaallah Mwenyezi Mungu azipokee dua zao, Amina.
 
Coaster2015

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
2,356
2,000
View attachment 1314435

Inawezekana kuna kitu kinawasuta nafsi zao, Mama huyo amefariki baada ya kuongezeka kwa stress kufikiria mwanae ambaye anashikiliwa custody kwa makosa ya kusingiziwa, sasa kwa kuwa serikali hii inahusika kuandaa ubambikwaji huo na ccm ndio iko kwenye power ni lazima waone aibu, angekuwa msanii wa bongo movie wangejazana sana na ungesikia wametoa rambirambi kwa mamilioni ya shilingi.
 
Coaster2015

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
2,356
2,000
Kwa logic yako, basi ulitambua chama cha kila muombolezaji aliyekuwepo! Hapo sasa umepitiliza makanyaboya.
Mkuu huelewi tu point ya msingi, mara nyingi huwa tunawaona ccm na viherehere kwenye misiba na huwa wanatamani waonekane uwepo wao, kwa hiyo kukosekana kwao kwenye msiba huo ni lazima ionekane kwamba hawakuwepo, na wanajua nini kilichowafanya wasihudhurie.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom