Mkuu wangu Ndinani huyu jamaa aliondoka WIPO baada ya kashfa ya ubadhirifu wa fedha za shirika,kashfa ambayo ilimuhusisha na aliyekua Mkurugenzi Mkuu,raia wa Sudan. Inawezekana ni majungu ama ubaguzi wa rangi uliopelekea hizo tuhuma,lakini pili inawezekana walipiga,lakini walikua smart kufuta nyayo! Hadhi ya cheo alipewa kama kawaida ya magamba wanavyojigawia vyeo. Alikua mwanaubalozi Uswizi. Ili watumishi wengine waliokua ktk daraja naye wasilalamike,alipewa hadhi/daraja la ubalozi na wenzake wawili waliokua ktk ubalozi wetu Geneva,Uswizi. Baadaye hii kitu ilizusha malalamiko toka kwa baadhi ya watumishi ktk Wizara ya Mambo ya Nje. Hawa jamaa waliamua kuondoka na kutafuta kazi ktk Mashirika na Taasisi za Kimataifa pale Uswizi!
Kamanda Timbilimu, nakushukuru kwa kufunguka kuleta taarifa sahihi!!! Sasa nyie mnaobisha leteni hadithi yenu iliyotofauti na ukweli huu.