mimi ninaelimu kuliko wewe, mama yako, baba yako, bwana wako, na kizazi chako! hakifikii elimu yangu hata kwa punje, kama hao wanaoekana hapo tra wachaga wangekuwa wanakidhi tija na vigezo je? taifa lingeyumba kimapato kama ilivyo sasa,watu wangekuwa wankwepa kodi kijinga? hawana muelekeo wala uzalendo wa kazi bali ni wizi na rushwa sasa hivi kwako ndo vigezo? elimu imekupitia pembeni wewe, aba yako elimu aliyokupa ni ya wizi! eti wanakidhi tija,tija gani hata kukusanya kodi hawawezi! wamesomea kodi ya wizi na si kodi inayohitajika kwa maendeleo! mkuu kama upo hapo tra basi dhairi na wewe ni mchaga uliye wekwa na bwana wako hapo! mana hatuoni cha maana mnacho isaidia nchi zaidi ya kuiiia nchi na kuzidiwa na watu wa nje kuwaibia kodi! tangu uko hapo tra unalipi la maana ulilolisaidia taifa lako kwenye mapato zaidi ya kuwaibia walipa kodi wadogo tu mkuu.kifupi wachaga wameteuana hapo tra, na hakuna la maana wanalolifany! shame on you mwizi wewe.