Balozi Dr. W. Slaa: Azungumzia Diplomasia ya kupatiwa Maendeleo hadi Diplomasia ya Uchumi na Biashara

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,052
23,838


The Exclusive Interview | Hon. Dr. W. Slaa, Tanzania Ambassador in Sweden​



Mh. Balozi Dr. W. Slaa anayeiwakilisha Tanzania nchini Sweden azungumzia ngazi za diplomasia toka diplomasia ya utegemezi ili kuletewa Maendeleo mpaka kugeuka diplomasia ya Uchumi na Biashara. Mh. Balozi Slaa anafafanua nini tofauti kati ya diplomasia ya uchumi na Diplomasia ya Biashara.

Mh. Dr. Slaa agusia suala la diaspora kupewa hadhi maalum au hata uraia pacha ili waweze kutambulika na kutoa mchango wao wa kuwa daraja la kukuza uwekezaji baina ya nchi za ughaibuni na nyumbani Tanzania.

Adokeza kuna waTanzania ambao wapo diaspora ni ni mawaziri wakuu wa majimbo au mawaziri wa fedha ktk majimbo ughaibuni ambao wangependa kutambulikana kama diaspora maalum au wenye uraia pacha ili kuisaidia nchi yao ya asili yani Tanzania n.k . Pia kuna waTanzania wengi wa kawaida waliopo diaspora wanaotuma misaada ya fedha , utaalamu na mitaji nyumbani na wanapenda kupewa hadhi maalum au uraia pacha wa kiTanzania ili mambo yao na ya nchi ya asili kwenda kwa njia rasmi bila uficho ili Tanzania na diaspora kufaidika.

Ushindani wa Geopolitics ktk nchi za Afrika Mashariki kujenga ushawishi kimataifa kupitia njia ya uraia pacha.

Trend ya mabalozi wa Tanzania kuteuliwa wakistaafu nyadhifa za utumishi wa umma serikalini au ktk siasa ukilinganisha na kuteua mabalozi watokanao na maafisa waliohudumu ktk wizara ya nje au ktk balozi zetu nje, uteuzi upi wa mabalozi una manufaa kwa sera ya diplomasia ya kukuza ushawishi wa Tanzania ktk diplomasia ya Uchumi na biashara? Balozi Slaa afafanua.

Source: Swahili Villa TV
 
Ni sahihi na hatupingi hilo, hata wenzangu sidhani kama watapinga ☺
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom