Balozi Dr. Dau (PhD), mtumishi wa kupigiwa mfano

Jamani, kila watu wakijaribu kusahau machungu ya NSSF, ghafla anatokea mpuuzi mwingine kutukumbusha kitu kile kile! Please, watu wamepumzika kusubiri kauli ya wenye dhamani na mahakama ya nchi hii (kama itafikia hatua hiyo). Dont take us back kujadili upuuzi huu, PLEASE.
Tunaomba maoni yako kuhusu NSSF wakati wa Dau na ya baada yake.
 
Dau alikuwa anavaa 'viatu namba 9' pale NSSF wakaenda kumpeleka Prof Kahyarahara anavaa namba 4 Halafu wakategemea vitamtosha vyema

Dau akili kubwa Sana ile sio zao la Shule Za Kata

Sasa hela alizopiga zitamtokea puani, sii leo hata kesho uchunguzi ukikamilika Mtume wenu Dau atasulibiwa na kupigwa mijeledi Hamsa.
 
Ili uweze kumsurubisha Dau kwa hela za nssf inabidi kwanza uanze kuisurubisha ccm aka gamnas kwanza, vinginevyo labda awekwe mahabusu kwa kumkomoa tu, kama wengine wanavyokomolewa wako mahabusu sijui miaka 4 eti uchunguzi bado unaendelea, uchafu wote wa pale ni wa ccm aka gambas, labda mumshitaki kwa udini hapo sawa, kwa hili mtamfunga kweli.
 
nani amkomoea dau? akina seth na rugemalira ikoje??

dau kaleta hasara kuliko faida, kama alikuwa anapitisha hela za CCM huko, wakiingia chadema je?

acha udini
 
Ni kweli kaleta hasara kubwa, tena kubwa sana, ila ccm haiwezi kujishitaki kwani unafikiri jiwe alipenda kumpa ubarozi, kama ambapo anashindwa kuwagusa wengine zaidi akina rugemalira ndio sababu hiyo hiyo inayomfanya ashindwe kumgusa dau.
nani amkomoea dau? akina seth na rugemalira ikoje??

dau kaleta hasara kuliko faida, kama alikuwa anapitisha hela za CCM huko, wakiingia chadema je?

acha udini
 
Sasa hela alizopiga zitamtokea puani, sii leo hata kesho uchunguzi ukikamilika Mtume wenu Dau atasulibiwa na kupigwa mijeledi Hamsa.

‘uchunguzi ukikamilika’

Unasema uchunguzi ukikamilika atapigwa Mijeledi

Uchunguzi haujakamilika tayari una hukumu yako mfukoni!

Chuki zinakwamisha uwezo wako wa kufikiri!
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom