Balozi Amy Mpugwe nguzo ya uwekezaji Tanzania

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,970
11,376
Balozi Amy Mpugwe kila kampuni kubwa inayokuja kutoka Afrika ya Kusini ni mmoja wa wakurugenzi, tena likija swala la ulipaji kodi anakuwa makini kuwashauri njia sahihi za ulipaji kodi. Hongera sana kwa kazi nzuri ni mfano wa kuigwa.

Haya ni Baadhi ya Makampuni ambayo aliwahi kuwa mmoja wa wakurugenzi wake.
-Tanzanite One
-Multi Choice Tz
-Illovo Sugar hawa wanamiliki Kiwanda cha Kilombero
-Tanzania Breweries
-NBC Tanzania Ltd(1997)
African Gem Resources
image-jpeg.339419
 
image.jpeg

Kuwadi wa mabepari wa Afrika ya Kusini.
Tuambie yeye amewekeza kiasi gani katika hizo kampuni zaidi kuwa kuwadi wa kampuni hizo.
He sings " His Masters Voice"
 
Sijaona faida ya uwekezaji nchi hii zaidi ya wapiga dili kujinehemesha huku taifa likizidi kuporomoka kiuchumi.

Watakao jenga nchi hii ni watanzania wenyewe sio wawekezaji.
Tuwe na mikakati ya kuwapatia mitaji ya kutosha kwenye viwanda,ufugaji na kilimo hakika tutaona mabadiliko.
 
Back
Top Bottom