Balozi Amina Bijoux | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balozi Amina Bijoux

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Game Theory, Oct 31, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Apart from wale mabalozi wa Ludenga huyu naye anatuwakilisha pia

  from this...
  [​IMG]

  to this
  [​IMG]
  naam hawa ndio mmoja kati ya mabalozi wa Tanzania nje
   
 2. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tufahamishe ni balozi wa Tz nchi gani?
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Oct 31, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Jina gani hilo Bijoux?
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  ndio jina tena hilo
   
 5. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Huyo bibie ni Mcongo au ndio madoido yenyewe? Hivi Bijou yuko wapi siku hizi?
   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Mbwembwe tuu hizo

  Mzaramo tena wa Vikumburu

  sema si unajua warabiyu wakikamata line? Yaani Wahaya wamesingiziwa

  si mbaya maana naona Anatangaza mpaka kwenye D&G na of course Mume Tasha kuondoa kiwingu cha kupelekana kwenye shughuli zisizo na kichwa wala miguuu


  sista akitolewa anapelekwa kutazama WHITE SWAN holiday mambo ya ku Ski huo Austria

  na picha ndio hizo
   
 7. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2009
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,792
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  mbona inanukia ki ze utamu utamu!
   
Loading...