Balozi Ami Mpungwe

Captain22

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
623
279
Heshima kwenu wana JF! Natumaini week end enakwenda vjema.
Vipi huyu bwana ex Tanzanian Ambassador to RSA mbona kila investment yenye mikono ya kaburu yeye lazima awe kwenye board?
 
kwani bg yake ni nini professional wise?? na je ni ngapi ambazo umeona yumo?? labda ungetuambia hayo ili sasa tuje tujue kwann anawekwa kama board member manake nijuavyo watu hawa huteuliwa kwa kufuata fumo fulan unaojulikana serikalini
 
Kwa haraka haraka investment zenye makaburu na Ami ni board member include Tanzanite one, DSTV, the defulct ATCL and most of mining companies
 
Hata Mimi nilivyomuona Jana kwenye multichoice issue nikashangaa! almost all SA investiments
Wakati nakumbuka alikuwa Balozi SA.
 
Tulimtuma Afrika Kusini kui-market Tanzania badala yake akaji-market mwenyewe! Ndivyo walivyo wabongo! :target::target:
 
Hapana yeye ni Mkalimani wao tu,anakijua sana KI AFRIKAAN!

Acha hizo zako, wengine tunaelewa vinginevyo!!! Huyu Mzee alishajadiliwa hapa JF hapo awali, kwanza ebu soma hapa chini na baada ya kusoma rejea link ya JF ukajionee mambo:


Mr. Ami Ramadhan Mpungwe, B.A. (Hons.) is a Businessman, holds a BA (Hons) degree in International Relations and Political Science and a diploma in International Law. Mr. Mpungwe has 25 years of service in the Tanzanian diplomatic service. Mr. Mpungwe served as Advisor to the President of Africa and Middle East in the Foreign Ministry. . He served as First High Commissioner of Tanzania, South Africa for seven years since 1994.

Mr. Mpungwe has been the Chairman of: Tanzania Chamber of Minerals and Energy; TanzaniteOne; MultiChoice Tanzania. Member of the Board: Illovo Sugar; National Bank of Commerce; Tanzania Breweries; NIKO Insurance; Kilombero Sugar; Zambia Sugar; Malawi Sugar; Council, University of Dar es Salaam.
Source: Ami R. Mpungwe | World Economic Forum - Ami R. Mpungwe

Source JF: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-this-our-own-version-of-cyril-ramaphosa.htmlSource
 
Alipewa fulsa naye akaitumia ipasavyo, mtu ambaye atakayeweza kujibu hilo swali kwa ufasaha ni yeye mwenyewe au Mzee Ben.
 
Ndugu mbona umeneng'eneka mno kusikia u mkalimani?,au unataka tumwage mengine zaidi ya ukalimani? humu ndani pasije pakachimbika?.Hii ndio Jf tusije tuka dare ku talk open w/end na mwisho wa mwaka ukaenda harojo yakhe?
 
Back
Top Bottom