Balozi Ami Mpungwe: Tanzania bado inanunua sukari Uganda, Rais Museveni hakumpa taarifa sahihi Rais Samia

Huyo Ami Mpungwe afadhali afunge domo lake. Kuna mikataba mingu ya upigaji na makuburu alituingiza Chaka
 
Balozi Ame Mpongwe amesema Tanzania haijaacha kununua sukari kutoka Uganda kikiwemo kiwanda cha Kilombero sugar kilichonunua tani 4300 licha ya bei za Uganda kutokuwa za kishindani ukilinganisha na maeneo mengine katika ukanda huu.

Hata Bakhresa ambaye kiwanda chake badi kinajengwa huko Sadani anaimport sukari kutoka Uganda, amesema balozi

Hivyo taarifa alizotoa Rais Museveni kwa Rais Samia hazikuwa sahihi sana, ameandika balozi kwenye ukurasa wake wa twitter.


Maendeleo hayana vyama!
Ziara ya Museveni imeisha vibaya.
 
Back
Top Bottom