Ballon d'Or 2019: Lionel Messi ashinda tuzo ya sita ya Ballon d'Or awabwaga Virgil Van Dijk na Cristiano Ronaldo

Ilifahamika mapema,ndiyo maana tukamwambia CR 7 apumzike tu asisumbuke kwenda huko
 
Mashine 6
20191202_234534.jpeg
 
Yani asilimia tisini ya comment zote za ukurasa wa UEFA Watu wanakataa Messi kuwa mshindi wa hii tuzo !!!!
Yani Kila mmoja ni NO! NO! NO !
Lakini kwakua ni biashara hizi basi ndo hvyo kiukweli mm ni shabiki wa Ronaldo Ila kwa mwaka huu VVD ,kastahil wamezingua kinoma yani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom