Ballon d'Or 2019: Lionel Messi ashinda tuzo ya sita ya Ballon d'Or awabwaga Virgil Van Dijk na Cristiano Ronaldo

Yani ww ni ndama kabsa na hata mpira huujui Ila unafata mkumbo tu ,,tatizo watu wanaishi kwa mazoea huyoMessi mwenyewe aAnamkubali CR7 ,Sasa ushabiki maandazi hukuhuku Africa kwetu na ndo maana hatuendelei ,Yani kisa Messi kapata tuzo ndo umdhihaki Ronaldo ama kweli!!!! Hii ndo Africa na tunafata mkumbo tu mtu yoyote anayejua mpira hawezi kumdhihaki Ronaldo hata Mara moja ,,kitu gani ambacho hajafanya ,,labda tu nikusaidie jitahidi kupunguza mihemko na mahaba katika maisha yako u,pia jitahidi kuacha kuishi kwa mazoea punda wee!!!!?????????
Hayaa our best farmer of the year isView attachment 1279866
 
Kumbe kura za hapa ziliendeshwa na EFM Radio! Inaonekana kwa hapa Tanzania watu walimkubali zaidi VvD.
1575347959578.jpg
 
Yani ww ni ndama kabsa na hata mpira huujui Ila unafata mkumbo tu ,,tatizo watu wanaishi kwa mazoea huyoMessi mwenyewe aAnamkubali CR7 ,Sasa ushabiki maandazi hukuhuku Africa kwetu na ndo maana hatuendelei ,Yani kisa Messi kapata tuzo ndo umdhihaki Ronaldo ama kweli!!!! Hii ndo Africa na tunafata mkumbo tu mtu yoyote anayejua mpira hawezi kumdhihaki Ronaldo hata Mara moja ,,kitu gani ambacho hajafanya ,,labda tu nikusaidie jitahidi kupunguza mihemko na mahaba katika maisha yako u,pia jitahidi kuacha kuishi kwa mazoea punda wee!!!!?????????
Mkuu unapovukwa kwa utani ,kwani R7ni shemeji yako....Huu NI utani R7 ni Bora ila Messi ni wa pekee!
 
Polepole kanimaliza kwa tweets yake huko Tweeter..

anafanananisha Tuzo ya Messi na ushindi wa CCM serikkali za mitaa..

huku akimlaumu Ronaldo kwa kuiga tabia ya kususa kama wapinzani
 
Hahahahahahahahah SERIOUS Leo hii VVD apate Injury hata miezi 3 nje Liverpool haiwezi kusheki Mkuu,Acha utani Mkuu acha kuongea vitu kiutaniutani.
Mtoe VVD Liverpool na mtoe Messi Barcelona unadhani ni timu ipi inaathirika?
 
Yani ww ni ndama kabsa na hata mpira huujui Ila unafata mkumbo tu ,,tatizo watu wanaishi kwa mazoea huyoMessi mwenyewe aAnamkubali CR7 ,Sasa ushabiki maandazi hukuhuku Africa kwetu na ndo maana hatuendelei ,Yani kisa Messi kapata tuzo ndo umdhihaki Ronaldo ama kweli!!!! Hii ndo Africa na tunafata mkumbo tu mtu yoyote anayejua mpira hawezi kumdhihaki Ronaldo hata Mara moja ,,kitu gani ambacho hajafanya ,,labda tu nikusaidie jitahidi kupunguza mihemko na mahaba katika maisha yako u,pia jitahidi kuacha kuishi kwa mazoea punda wee!!!!?????????
Jinsi ulivyoandika unaonesha ni kilaza sana wewe.Usinifananishe mimk na wewe we upo ardhini mi niko mbinguni.Ronaldo saiz amebaki kuwa mpiga penalt.mzigo pe Juve,mzigo kwa wachezaji wenzake.Mwaka huu kachukua tuzo hiyo ukulima bora kwani kuna ubaya gani?nayo ni tuzo kama tuzo zingine.Muda ni ukuta ukishundana nao unashindwa wewe.Kama unataka basi kakatr rufaa mbuzi wewe
 
Mtoe VVD Liverpool na mtoe Messi Barcelona unadhani ni timu ipi inaathirika?
Laporte is 2nd best CB Baada ya VVD in the World Right Now na kutokuwepo kwake Manchester city kwa sasa kume prove He's a big miss.......VVD ni World class defender right now unaniambiaje kirahisi rahisi tu mchezaji kama huyu hana impact kwenye timu yake.
 
Laporte is 2nd best CB Baada ya VVD in the World Right Now na kutokuwepo kwake Manchester city kwa sasa kume prove He's a big miss.......VVD ni World class defender right now unaniambiaje kirahisi rahisi tu mchezaji kama huyu ana impact kwenye timu yake.
Yani kushabikia timu badala ya mpira shida sana.
Alison Beka na vvd nani ana makombe mengi msimu huu?
Maherez na vvd nani ana makombe mengi? Benaldo Silva na vvd nani ana makombe mengi msimu uliyopita? Fabinho na vvd nani alikua na makombe mengi?
Hizi tuzo haziangalii mafanikio ya clabu, zinaangalia individual performance.
Ndo mana Kwenye mashindano ya UEFA kupewa vvd alistahili kuliko Messi kwa sababu vvd alifika fainali na kuchukua ubingwa wa hayo mashindano.
Lakini general individual performance kwa msimu Messi was so far away than VVD.
Tafuta statistics za kila mmoja uzilete hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom