Ballon d'Or 2019: Lionel Messi ashinda tuzo ya sita ya Ballon d'Or awabwaga Virgil Van Dijk na Cristiano Ronaldo

mzabhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Messages
244
Points
250

mzabhe

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2017
244 250
Tuzo ya Ballon d'Or ya 2019 inatarajiwa kutolewa leo Desemba 2, 2019, huko Theatre du Chatelet, Paris. Sherehe rasmi itaanza saa 19:30 GMT (1:00am, Desemba 3, IST).

Luka Modric alishinda tuzo ya Ballon d'Or mnamo 2018 na kuvunja utawala wa Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wa tuzo hiyo kwa miaka 10 iliyopita

Ronaldo na Messi wote wameshinda tuzo hiyo mara tano, lakini utawala wao unaweza kuvunjwa tena mwaka huu na nyota wa Liverpool na Uholanzi, Virgil van Dijk. Beki huyo alipewa tuzo ya Mchezaji wa Mwaka wa UEFA, huku akiwashinda wawili hao

1.jpg

Messi kwa sasa anapewa nafasi kubwa ya kushinda tuzo yake ya sita ya Ballon d'Or, licha ya kupoteza kwenye Ligi ya Mabingwa na Copa del Rey na kuinua kombe la Liga na Barcelona.

Alishinda Kiatu cha Dhahabu cha Europa akiwa na mabao 36, ingawa kushindwa kushinda Copa Amerika na Argentina msimu huu wa joto kunaweza kuathiri nafasi zake

Mwezi Septemba alipewa tuzo ya Mchezaji bora wa Wanaume wa FIFA na hiyo inaweza kumsaidia kushinda tuzo hiyo dhidi ya Van Dijk

2.png

Hata hiyo kumesambaa icha katika mitandao ya kijamii ikionesha kuwa Mshindi wa msimu huu wa tuzo hiyo ni Lionel Mesii akiwa amemshinda Van Vijk huku Cristiano Ronaldo akiwa katika nafasi ya nne
*****

My take:
King leo lazima achukue ballon d or yake ya sita, anayebisha afanye kama anajikuna
**

UPDATES
Orodha ya Wachezaji bora walioshika nafasi ya 11 hadi ya 30 kama ilivyotolewa na Waandaaji wa tuzo ya Ballon d'Or
1.PNG

Orodha ya Wachezaji 10 katika Utoaji wa tuzo ya Ballon d'Or iliyotolewa na kushuhudiwa Messi akinyakuwa tuzo hiyo kwa mara ya sita
1.jpg

Mshambuliaji wa Klabu ya Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi ametangazwa kuwa Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia (Ballon D'or) kwa mwaka 2019

2.jpg


 

Master Mind

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Messages
267
Points
500

Master Mind

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2017
267 500
Njooni mumsikie Jurgen klopp

===

Jürgen Klopp believes Virgil van Dijk deserves to win the Ballon d’Or in recognition of his unparalleled form throughout last season.

Van Dijk is one of seven Liverpool players on the 30-man shortlist for the game’s most prestigious individual honour, with the recipient to be revealed at a ceremony next Monday.

The No.4 was a near-ever-present as the Reds ended 2018-19 as champions of Europe and having amassed a club-record total of 97 points in the Premier League.

Peerless performances led to Van Dijk being crowned UEFA Men’s Player of the Year, PFA Players’ Player of the Year and Premier League Player of the Season - and his manager has backed the Netherlands captain to be honoured further next week.

“If you give the Ballon d'Or to the best player of this generation then you should give it always to Lionel Messi. That’s how it is,” Klopp said.

“But if you give it to the best player of last season, then it was Virgil van Dijk. I don't know exactly how it will work but that is how I see it.

“The best player of all? That's Lionel. Best player of last season? That’s Virgil. We will see.”

Source: liverpoolfc.com
 

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
33,754
Points
2,000

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
33,754 2,000
Kama kigezo ni makombe basi Allson Becker alistahili kuliko wote mana ana uefa champions league na coper America, ila kwa individual performance hakuna aliyemfikia messi kwa mwaka huu tuacheni unazi VVD hajaibeba liverpool ila Liverpool ndo imembeba VVD , barcelona haijambeba Messi ila Messi ndo anaibeba Barcelona Bila VVD Liverpool bado ni timu tishio barani Ulaya ila bila Messi barcelona ni sawa na Azam Fc
Exactly indeed
 

kidunula1

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Messages
2,411
Points
2,000

kidunula1

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2016
2,411 2,000
Yani asilimia tisini ya comment zote za ukurasa wa UEFA Watu wanakataa Messi kuwa mshindi wa hii tuzo !!!!
Yani Kila mmoja ni NO! NO! NO !
Lakini kwakua ni biashara hizi basi ndo hvyo kiukweli mm ni shabiki wa Ronaldo Ila kwa mwaka huu VVD ,kastahil wamezingua kinoma yani
Mshabiki Wa ronaldo huwezi penda Messi ashinde tuzo yoyote
 

kidunula1

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Messages
2,411
Points
2,000

kidunula1

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2016
2,411 2,000
huyu angepewa tu hadi siku anastaafu. anajua hao wengine wanalazimisha tu
Siyo hadi astaafu tu, hizi tuzo alipaswa apewe Messi hadi atakapostaafu baada ya kustaafu zifutwe mazima ili kumuenzi huyu mchezaji kwenye mpira Wa miguu. Kuendelea kuziandaa ni kumkosea adabu
 

Forum statistics

Threads 1,365,412
Members 521,202
Posts 33,345,695
Top