Ballali Anyang'anywa Viza ya Marekani & Wengine Wasema Tayari Keshakimbilia Malta !

Mkuu,

Hii ni habari nzuri, ila kwasababu kule ana mke na huenda watoto, huenda
bado ikawa ngumu kumpakia kwenye ndege na kumrudisha TZ.

Pia anaweza akatoa dossier yake na kuonyesha akirudishwa TZ atauawa.

Hapo ndio awaonyeshe hiyo sumu anayosema alipewa.

Wadanganyika tumezidi upumbavu, matokeo yake kundi la watu wachache linachezea resources za nchi utafikiri hakuna wenye mali.
 
Heee! mkuu invisible ebu tumwagie habari hizi maanake sasa - Jambo limezua jambo!....
Vyovyote itakavyokuwa kama haya ni ya kweli basi ukweli ambao tulikuwa tukiusubiri utakaja jitokeza.
Hongera kwa wote mliotaka Balali ajieleze mapema, sasa hivi naiona point ya madai hayo!
 
je haiwezekani kuwa vinara wa ufisadi wame engineer yeye kunyan'ganywa visa ili arudi TZ iwe rahisi wao kummaliza ??
 
Let him go back home to answer the charges.

Hata kama alilishwa sumu bado anaweza rudishwa na kupewa ulinzi ni nchi nyingine within Tz.

Hata kama alikuwa na green card kama mtu katenda kosa popote serikali yake inaweza kumtoa akajibu hilo kosa.
 
Kama swala ni visa kuwa revoked tu, na siyo extradition, anaweza kwenda Canada, Belize,Cayman Islands Tuvalu, or for that matter Switzerland.Hela anazo mpaka labda za kununua kisiwa kidogo hapo Carribean Sea.

Hapo kinachotakiwa ni extradition.
 
Hakuwa na Green Card ya kijani?

Inawezekana alikuwa na uraia wa Tanzania. Passipoti ya Tanzania nzuri sana ukiwa unafanya kwenye mashirika ya kimataifa. Unachichia mshahara wote bila kulipa kodi.

Green kadi unatakiwa ulipe kodi vile vile na kama ulipi huwezi ku-renew au kupata uraia.

Yaani nikipata kazi kwenye mashirika ya kimataifa nitaipenda pasipoti yangu ya bongo kwelikweli.
 
Akipelekwa Bongo wanammaliza kabisaaaa kabla hajaondoka na watu


Nilisoma mahali nadhani hapa JF kwamba kashaandika will na kusema wabaya wake wote so watakua na kesi ya pili ya mauaji na ya Ufisadi
 
he is just looking for excuses! hapo alipokuwa akigawana nao mali hakufikiria kuwa kuna siku ataulizwa? au ndo tuseme tangu deal la kwanza alilazimishwa kwa mtutu wa bunduki?
watanzania kwa kujikosha! mmmh
 
he is just looking for excuses! hapo alipokuwa akigawana nao mali hakufikiria kuwa kuna siku ataulizwa? au ndo tuseme tangu deal la kwanza alilazimishwa kwa mtutu wa bunduki?
watanzania kwa kujikosha! mmmh

wenzako wanataka arudi nyumbani wammalize kisha wamtishwe lawama zote na wao waendelee kupeta na mashangingi ndani ya bongo!
 
Tuna mahabusu yanoyokidhi hadhi ya kimataifa yaliyopo Arusha. ICTR na ulinzi wa kutosha wa kimataifa upo apelkwe bongo atoe siri zote na maisha yake yatalindwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom