Mnhenwa Ndege
JF-Expert Member
- Dec 5, 2007
- 242
- 19
Jamani samahani hivi TISS ni nini, ama you are refering to Tanzania Interbank Settling System maana hapa its sounds as if ni mtu ama organization. Je DEEP GREEN nayo ni nini?
Jamani samahani hivi TISS ni nini, ama you are refering to Tanzania Interbank Settling System maana hapa its sounds as if ni mtu ama organization. Je DEEP GREEN nayo ni nini?
FMES,
Ile ya kumrudisha kwa nguvu sahau. They would have wanted him dead. You just wait. There is a big PR game being played here. Unfortunately wachezaji wote ni amateurs. Kwa sasa hivi kwa Balali kujibizana nao hakutamsaidia. Ngoja waweke karata zao zote hadharani. Atakuja na karata ya mwisho. Kwa sababu kama ni kumrudisha nyumbani si wamfungulie mashtaka wayakabidhi kwa Interpol? Simple!
kumbe hawa usalama wa taifa nao majambawazi tu. tumekwisha!
Jasusi,
Naona Ballali hapa atakuwa yule mmasai ambaye nimeshasikia story yake sana. Alikuwa kwenye mashindano ya riadha, wakati wenzake wanatimua mbio, yeye akabaki kusema, wacha tu watachoka na akianza yeye kukimbia ndio watamtambua. Ghafla akashangaa watu wanashangilia, wenzake wakawa wamemaliza na kushinda, huku yeye ndio kwanza bado anajikongoja.
Kama Ballali ana silaha yoyote, mwisho wa kuitumia na uwezo wake wa kuitumia, unazidi kupotea. Huenda akaenda na maji bila kurusha hata kombora moja zaidi ya spinning za Wapambe.
Kuhusu kushitakiwa, nafikiri atashitakiwa. Mpaka sasa hakuna aliyeshitakiwa na badala yake ndio wanaandaa uchunguzi pamoja na kuandaa mashitaka.
Wacha tusubiri. Ila Ballali ameangusha watu wengi sana maana kama kuna mtu ambaye alikuwa hana haja na kuiba hizo pesa, basi ni yeye. Miaka yote hiyo IMF na gavana wa BOT, bado kweli unahitaji kuiba pesa za maskini?
Balali Watch: Day 1
Jana tuliahidi kuwa tumeamua kumfuatilia Balali wenyewe sasa, ukweli ni kwamba hayupo Boston, na wala hakuwepo huko maana huko habari za Hospital yoyote ni Public Right, wakuu wetu huko wametafuta na hasa wale wenye fani ya udakitari, wamethibitisha kuwa hayupo huko wala hakuwepo hko , kama tulivyowahi kuambiwa bongo na kila mahali.
Halafu tumegundua kila mahali ukiulizia jina la Balali, kuna jina la Malegesi nalo lina-pop up, anyways tunasogea kidogo kidogo kufikia karibu na ukweli wa hii Balali's thing!