Balbu za rangi gani ukiweka sebuleni panavutia usiku

Ruyama

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
367
561
Habari wadau ni balbu za rangi gani ukiweka sebuleni panavutia ukiwasha usiku
 
Sijajua umeweka mfumo gani wa bulb holder au wall lamp holder au ceiling lamp.

Mfumo wa kisasa unaopendeza ni ceiling lamp na kama unataka za rangi tofauti unaweza kununua ile taa ambayo ukiwasha mara ya kwanza unakuja mwanga mweupe ukirudia unakuja ule wa balbu za kizamani
 
Kuna Taa niliikuta nyumba fulani, ina switch kama ya fan, ukizungusha unaongeza na kupunguza mwanga
Kuna siku nimeenda Mwanza mjini nikaulizia nilizikosa kabisa
 
Sijajua umeweka mfumo gani wa bulb holder au wall lamp holder au ceiling lamp.

Mfumo wa kisasa unaopendeza ni ceiling lamp na kama unataka za rangi tofauti unaweza kununua ile taa ambayo ukiwasha mara ya kwanza unakuja mwanga mweupe ukirudia unakuja ule wa balbu za kizamani
Ceiling bulb,nimewaza nichukue zambarau na light blue hapo vipi mkuu?
 
Mimi za rangi napenda chumbani na nyekundu huwa bomba sana lakini living room sipendi za rangi.,
Habari wadau ni balbu za rangi gani ukiweka sebuleni panavutia ukiwasha usiku
 
20210608_101854.jpg
 
Rangi uliyopaka ukutana nayo ina play part kubwa ya kuzifanya hizo taa zipendezeshe,reflection ya ukuta unapowasha hizo taa nayo ni muhimu sana,unaweza kuona taa hazipendezeshi kumbe issue ni rangi haimechi na reflection ya rangi ya hiyo taa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom