balali na wenzake wako wapi?

XINGLUX

Member
Joined
Mar 31, 2008
Messages
17
Points
0

XINGLUX

Member
Joined Mar 31, 2008
17 0
Napenda kufahamu Gavana balali na mafisadi wenzake mnampango nao gani? mpaka sasa hivi sababu tunaona wahusika hawapo na viongozi mnakaa kimya au ile ilikuwa ni mikwala tunaomba mlifanyie kazi swala hili
Nadani mnafahamu jiinsi tulivyooumia mpaka sasa au sababu fedha hizo zimeanza kurudishwa
 

Mama

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2008
Messages
2,856
Points
0

Mama

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2008
2,856 0
Nasikia yuko visiwa vya Malta anakula vizuri mapesa yetu (Pay As You Earn). Ile ilikuwa mikwara tuu, Balali sidhani kama watamkamata, labda wawakamate kwanza Mkapa, Mgonja, Hosea, Sumaye, Chenge n.k
 

Forum statistics

Threads 1,389,587
Members 527,969
Posts 34,028,901
Top