Balali is Back

Jim

Member
Mar 7, 2008
70
4
Gavana wa zamani wa Bank Kuu ya Tanzania ametuwa juzi, kinyemela. Inasemekana baada ya hali yake kuwa nafuu kidogo, Balali amerudi mara moja kutoa "taarifa muhimu" kama alivyodai mwenyewe alipoongea na watu wa karibu waliokuwa naye jana jioni na kwamba hataki kuonekana kwenye jamii ingawa amekubali kufanya mahojiano kwa masharti ya kurushwa hewani baada ya yeye kuishia kusikojulikana tena.
Balali ambaye alionekana mdhoofu na kutokuwa na mengi amesema atatoa vielelezo vyake vyote na hataacha kitu ingawa wasi wasi wake ni kwamba akisema yote anayoyafahamu basi taifa linaweza kulazimika kufanya uchaguzi mkuu upya. Inaelekea Balali amejifunza mbinu za kutoa taarifa kwa style ya Osama.
Tutawaletea habari zaidi leo jioni baada ya "mheshimiwa" huyo kukutana na vyanzo vyetu kwa maelezo zaidi.
 
Tutawaletea habari zaidi leo jioni baada ya kukutana na vyanzo vya uhakika zaidi.

1/4/2008 !!!
 
Gavana wa zamani wa Bank Kuu ya Tanzania ametuwa juzi, kinyemela. Inasemekana baada ya hali yake kuwa nafuu kidogo, Balali amerudi mara moja kutoa "taarifa muhimu" kama alivyodai mwenyewe alipoongea na watu wa karibu waliokuwa naye jana jioni na kwamba hataki kuonekana kwenye jamii ingawa amekubali kufanya mahojiano kwa masharti ya kurushwa hewani baada ya yeye kuishia kusikojulikana tena.
Balali ambaye alionekana mdhoofu na kutokuwa na mengi amesema atatoa vielelezo vyake vyote na hataacha kitu ingawa wasi wasi wake ni kwamba akisema yote anayoyafahamu basi taifa linaweza kulazimika kufanya uchaguzi mkuu upya. Inaelekea Balali amejifunza mbinu za kutoa taarifa kwa style ya Osama.
Tutawaletea habari zaidi leo jioni baada ya "mheshimiwa" huyo kukutana na vyanzo vyetu kwa maelezo zaidi.

Duh! Lets wait and see itakuwaje! Huenda ndio ikawa mwisho wa kuendesha nchi kwa siri na oganised fisadis

Wananza kuuana nguo sasa ngoja tuone
 
Gavana wa zamani wa Bank Kuu ya Tanzania ametuwa juzi, kinyemela. Inasemekana baada ya hali yake kuwa nafuu kidogo, Balali amerudi mara moja kutoa "taarifa muhimu" kama alivyodai mwenyewe alipoongea na watu wa karibu waliokuwa naye jana jioni na kwamba hataki kuonekana kwenye jamii ingawa amekubali kufanya mahojiano kwa masharti ya kurushwa hewani baada ya yeye kuishia kusikojulikana tena.
Balali ambaye alionekana mdhoofu na kutokuwa na mengi amesema atatoa vielelezo vyake vyote na hataacha kitu ingawa wasi wasi wake ni kwamba akisema yote anayoyafahamu basi taifa linaweza kulazimika kufanya uchaguzi mkuu upya. Inaelekea Balali amejifunza mbinu za kutoa taarifa kwa style ya Osama.
Tutawaletea habari zaidi leo jioni baada ya "mheshimiwa" huyo kukutana na vyanzo vyetu kwa maelezo zaidi.

FOOLS' DAY!!!!!!!!
 
Haya sasa masihala. Sisi tunamsubiria kwa hamu huyu masia aje kuikomboa inji yetu nyie mnaleta mazereu kudadadeki.....! Haya bwana na siku yenu ya wajinga.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom