Balabouh ndani ya segerea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balabouh ndani ya segerea

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mucadam, Mar 6, 2009.

 1. mucadam

  mucadam Member

  #1
  Mar 6, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Umesikia Balabouh yupo kwa pilato jana kisa wizi katka ileile bank yetu ya Barclays
   
 2. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mucadama ni kweli kwamba Balabouh alifikishwa mahakama ya kisutu jana kuungana na wale washitakiwa saba wengine.lakini alipata dhamana na yuko nje kwa dhamana. Nilijua mapema kwamba Balabouh naye angefikishwa mahakamani lakini nisichofahamu ni kwanini alichelewa kuunganishwa katika kesi hii wakati ushahidi ulikuwa wazi kwasababu yeye ndiye mmiliki wa Kigamboni Oil Company ambako mchezo wote wa ule wizi wa $1million ulikoanzia.

  Mwakilishi wa Kigamboni bwana Ukwaju ambaye ndiye aliyekuwa anaenda kuchota pesa kule alishaunganishwa katika kesi muda mrefu.
   
Loading...