Balaa: Mke wa Mtu Afumwa Akijiuza Usiku na Mtoto Mkononi

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
254821_402804226457021_508302926_n.jpg


Katika pitapita yangu leo, nimekutana na picha hizi kwenye mitandao mbalimbali ya jamii.Mwanamke amekamatwa Akijiuza Usiku Huku akiwa na mtoto wake mdogo Tukio hili lilitokea katika kamakamta ya machangu mitaa ya buguruni Dar es salaam,
 
Maisha ni magumu, hospital hela, maziwa ya mtoto hela,nyumba anayoishi inahitaji kodi uji wa ulezi wa mtoto hela kwa ujumla kila utakachogusa ni hela na sehemu ya kupatia kipato hakuna,siungi mkono kitendo alichokifanya cha kuzunguka na mtoto mtaani lakini pia anahitaji huruma huyo mama.
 
Simtetei huyo mama kwa kosa alilolifanya, atalipia kosa lake kadiri ya taratibu za kisheria au za kijamii. Nisichokubaliana nacho ni udhalilishaji wa namna alivyomatwa, karibu kuchaniwa nguo, kupigwa picha na kusambazwa kwa picha zake. kuna watu ambao tayari maisha yamewadhalilisha, tusiwaongezee mzigo zaidi. Ficheni basi hata sura yake, isijetokea kwamba mwisho wa siku, hana makosa lakini sura yake imeshasambazwa kwamba ni kahaba.
 
Shida tu sidhani hata kama yeye mwenyewe amependa kufanya hivyo huku akiwa na mtoto! Ingetakiwa akamatwe Mumewe na kuhojiwa vyema inawezekana analazimika kufanya hivi kulingana na list ya mahitaji ya kila siku ...
 
Maisha ni magumu, hospital hela, maziwa ya mtoto hela,nyumba anayoishi inahitaji kodi uji wa ulezi wa mtoto hela kwa ujumla kila utakachogusa ni hela na sehemu ya kupatia kipato hakuna,siungi mkono kitendo alichokifanya cha kuzunguka na mtoto mtaani lakini pia anahitaji huruma huyo mama.

Angemuachia nani na housemaid ni hela pia! kazi kweli kweli.
 
254821_402804226457021_508302926_n.jpg



Katika pitapita yangu leo, nimekutana na picha hizi kwenye mitandao mbalimbali ya jamii.Mwanamke amekamatwa Akijiuza Usiku Huku akiwa na mtoto wake mdogo Tukio hili lilitokea katika kamakamta ya machangu mitaa ya buguruni Dar es salaa

hiyo ni hatari sana,maisha bora ya muheshimiwa ndiyo hayo!!! kasi mpya Ari mpya na Nguvu mpya Maisha bora kwa kila Mtaznia CCM hoye!!
 
hiyo ndiyo Kasi Mpya ya Muheshimiwa, Maisha bora kwa kila Mtanzania nguvu zaidi Kasi zaidi Ari zaidi CCM hoyeee!! lakini dada ogopa kunasana Mtoto Utamweka wapi!.
 
Simtetei huyo mama kwa kosa alilolifanya, atalipia kosa lake kadiri ya taratibu za kisheria au za kijamii. Nisichokubaliana nacho ni udhalilishaji wa namna alivyomatwa, karibu kuchaniwa nguo, kupigwa picha na kusambazwa kwa picha zake. kuna watu ambao tayari maisha yamewadhalilisha, tusiwaongezee mzigo zaidi. Ficheni basi hata sura yake, isijetokea kwamba mwisho wa siku, hana makosa lakini sura yake imeshasambazwa kwamba ni kahaba.

Mkuu Omukuru nakuunga mkono sana kwa hilo
Ni kitendo kibaya sana kusambaza picha za huyo mama na mtoto wazi kiasi hicho kwenye mitandao
Ni udhalilishaji wa hali ya juu hata kama kitendo alichokifanya hakikubaliki kwa jamii
Wangeficha hata sura yake ingekuwa afadhali
Mtoto akikua atajkuja kukutana na picha za mama yake kwenye mtandao kuwa alikamatwa akijiuza ni kahaba na maneno mabaya yote huyo mtoto ataathirika vipi
 
Last edited by a moderator:
ugumu wa maisha hautatuliwi kwa kuuza mbunye
Sumbalawinyo kuna ugumu na ugumu ndugu yangu usiuombee
Ana mtoto labda amepanga nyumba mwenye nyumba anadai kodi yake mtoto anahitaji kula na dawa na kuvaa na wamati huo huo hana kipato chochote
Unategemea atafanya nini mkuu zaidi ya kutafuta njia nyingine ya kupata pesa
Sawa kujiuza ni kubaya na ni sifa mbaya kwa kila asikiaye ila afanyeje maisha yanapokuwa magumu zaidi ya ufikiriavyo
Naamini huyo mama hajapenda hali hiyo imkute wala kufikia kujiuza na mtoto
 
Last edited by a moderator:
Mie sina la kusema. Its just soooo sad, so sad indeed. Kwa mama na mtoto pia. Mtoto huyu vitu anavyoshuhudia vitamuharibu sana kisaikolojia anapokua. Just sad. Maisha haya, wee ukijiona una shida, linganisha na watu wengine..ahhh. Mungu atusamehe tuache malalamishi.
 
Kwa namna picha ninavyo iona ni vigumu kuamini kama kweli huyu mama/ binti alikuwa ktk mazingira ya UCD. Mbona hapo anaonekana akishuka ktka gari na nguo yake imenasa ndani kutokana mtu kuikalia. Sio vizuri kudhalilisha utu wa wengine kwa style hii. Tukianza kutizamana kwa style hii wengi wetu hatutakuwa fair.
 
Kila mtu ana shida sema wengine huzishonea mbeleko unategemea nini? Sioni mantiki ya kujiuza kama jibu zaidi ya kuwa tatizo zaidi. Ingawa tutamlaumu mume, je kama ni tabia ya mhusika hata kabla ya kuolewa? Namna hii tunaacha urithi mbaya kwa watoto.
 
Mtali kwa namna yoyote iwe huyo mama kakamatwa kwenye hilo suala la kujiuza au kwenye jambo lolote hilo wapiiga picha hawakuwa na right ya kumpiga picha wazi kiasi hicho mapaja yake yako nje hata kama hao waliombeba kweney gari walimkamata kwenye tukio lolote lile
Haki za huyo mmtoto mdogo kiasi hicho ziko wapi au hata za huyo mama ziko wapi
Ni kumdhalilisha mna kudhalilisha utu wake
na hayo magazeti ya udaku yashambadika mama kuwa ni kahaba anajiuza na mtoto
 
Last edited by a moderator:
Inaelekea kwamba wanawake wengi mijini kwa sasa wameona biashara inayolipa sana just for few hrs Inaweza generate super profit kubwa ukilinganisha na biashara ndogondogo km vile kuuza mboga, nyanya, kuchoma chapat na maandaz ni ngono tu, nimetaja biashara hizo hapo juu kwa mtazamo kwamba ndizo biashara rahisi hata kwa mtu maskini kuanza nazo hata kwa mtaji mdogo wa elfu 30 AU hata kwa elfu 20.

Inawezakana kua mama huyu alikua anazo altenative nyingi tu km hizo hapo juu kwa nafasi yake bt bcoz of her ego akaona kwamba the only place to earn much in a little while ni kwenda na yeye akasimame buguruni.

Maisha ni magumu ndio bt lakini kwa sababu zile za kujisikia kwamba mimi nikiuuza let say nyanya, mboga, juice au machungwa flani atanionaje mimi? Nadhani kwa mtazamo huu ndio maana wanawake na mabinti wengi wanajikuta wame log in kwenye biashara km hii ya ngono kwa sababu inafanyika nyakati za usiku ambapo akina flani haitakuwa rahisi kumuona. hatari kwelikweli na mtoto mkononi
:mod::mod::mod:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom