BAKWATA yampongeza Rais Samia kwa kuchukua hatua za haraka kufuatia malalamiko ya Tozo za miamala ya simu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Bakwata imempongeza Rais Samia kwa kusikiliza kilio cha wananchi kufuatia bunge kupitisha tozo ya miamala ya simu ambazo zinaumiza wananchi maskini.

Bakwata imemuomba Rais Samia azifutilie mbali tozo hizo.

Hayo yamesemwa katika Baraza la Eid lililofanyika katika msikiti wa kwa Mtoro mgeni rasmi akiwa waziri mkuu mh Majaliwa

Chanzo: ITV habari
 
Zitafutiliwa mbali wakati sheria iliishapitishwa na bunge labda waziri afanye mabadiliko kwenye kanuni kwa kupunguza kiwango cha tozo. Inaleta maana.
 
Tatizo kubwa ni pale ambapo viongozi wengi wana akili za kizwazwa.

Sheria aliisaini yeye mwenyewe kwa mkono wake. Leo hii anatuiguzia kana kwamba alikuwa hajui kinachoendelea. Huu ni unafiki mkubwa sana.
Nawachukia sana wanafiki,huyo mama anajifanya kama hajui kilichotokea wakati bila yeye utekelezaji usingekuwepo
 
Back
Top Bottom