Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,754
- 3,675
Shekhe Kaona isiwe tabu,Kaona ata hao mabikra 72 sio kitu mbele ya Yesu 😁!! Mungu wa Isaka na Yakobo amrehemu Shekhee wetu,amjalie uzima wa milele🙏🙏
Mungu wa Ibrahim. Hivi unajua kusema Mungu wa Ismaili ni sawa na kusema Mungu wa Kaini? Kaini na Ismaili mioyo yao ilishabihiana kuhusu mitazamo kwa wadogo zao.
Kaini alimua Habil kwa wivu tu. Ismaili wakati anacheza na Isaka akiwa mdogo Sara akaona haya yatakuwa yale yale ya Kaini na Habil ni suala la muda tu.
Akaingilia kati na kumuambia Ibrahimu muondoe huyu mtoto wako na kijakazi kwenye familia maana hana nafasi ya kurithi pamoja na mwanangu Isihaka. Mungu akabariki amri ile na kumuamuru Ibrahimu kumtii mkewe Sara.