Uchaguzi 2020 BAKWATA yakaa kikao cha dharura, yakemea viongozi wake kupiga kampeni na Dua kinyume na Uislam. Kuwachukulia hatua

Yesu ni Mungu sheikh kaona isiwe taabu ataihadaa nafsi yake hadi lini? Alhadi kawa mkweli maana anajua siku ya mwisho ya hukumu ya Mungu kwa wanadamu nani atakuwa kashikilia rungu. Asije akamuambia ondoka hapa sikujui wewe. Afate tu ule utaratibu akamilishe mambo.
Shekhe Kaona isiwe tabu,Kaona ata hao mabikra 72 sio kitu mbele ya Yesu 😁!! Mungu wa Isaka na Yakobo amrehemu Shekhee wetu,amjalie uzima wa milele🙏🙏
 
Shetani alitamalaki kweli kweli!! Unajua ujinga unapozidi aibu inatoweka eeh! Yani hata waliokuwa wanamsikiliza na kupiga makofi nafikiri imani zao ni za kutilia shaka! Kilichofanya hakijawahitokea dunia tangu iumbe!

Hata Kwenye miji ambayo jengo moja hutumika kwa dini na madhehebu yote upuuzi huu hauwezitoke. Yani shekh apige sala ya kikistu then apige swala ya kiislamu!
 
Waislamu halisi tunawajua BAKWATA wala msisumbuke, nyie si miongoni mwa Waislamu halisi. Nyie ni Jumuia ya Kidini ya Chama cha Mapinduzi. CCM ina Jumuia 4, UWT, UV, UWZ, na BAKWATA.
 
Masheikh ubwabwa kazini , Tanzania sheikh Ni mmoja tu Ponda badi wengine Ni wajasiliaccm , wajasikiamatumbo , wajafiliadini .
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom