Uchaguzi 2020 BAKWATA yakaa kikao cha dharura, yakemea viongozi wake kupiga kampeni na Dua kinyume na Uislam. Kuwachukulia hatua

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
6,508
2,000
Aaisee hivi Ilunga nini hasa kilimuua? Dah jamaa alikua mchochezi haswaa. Yaani akielezea historia ya uhuru wa Tanganyika unaweza chukua mafuta na kiberiti ukachome kanisa.
Mungu amsamehe lakini alikuwa ni mtu ambae ana misimamo isiyo na maana hata kidogo.

Wakati watu wanaishi sasa hivi kutemgeneza story ya baadae basi watu kama kina ilunga walikuwa wanatufanya tuishi kwa kufuata stori za zamani
 
chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
7,406
2,000
Hakuna neno muislamu mnafiki. Ukishukuamuwa kuwa mnafiki basi uislamu unakuwa ushavuka automatically.
Lipo, refer back history ya uislam tangu enzi za mtume Muhammad s.a.w walikuwepo wanafik ndani ya waislam. Ukivuka uislam ukitaka kurudi maanake utoe shahada, ila ukiwa mnafik na umeamua kutubu hutoi shahada. Wanafik wanaingia katika kundi la waliopata hasara siku ya hesabu.
 
ikipendaroho

JF-Expert Member
Jul 26, 2015
3,558

Ukitaka kujuwa mnafiki si muislamu jiulize suala moja tu. Jee inapomgunduwa mmoja wenu ni mnafiki, munamuhesabu ni.mwenzenu bado? Mtume alpokuwa akisema hayo alikuwa na maana kuwa kuna wengine humu sio wenzetu tuwe makini nao. Mtu kukiri kama ni mnafiki ni vigumu kwa hiyo hawezi kuja akakwambia nilikuwa ni mnafiki na sasa nimetubu. Ni sawa na kuendelea na kuishi na mwanamke baada ya talaka 3 ukiamini kuwa watu hawajui kama tushaachana talaka 3. Na unafiki huwa mara zote unakufanya ujiaminishe wewe ni bado part ya sehemu fulani lakini kiukweli vitendo vyako vishakutowa humo kwenye hilo kundi.
 
hoja yangu ni kuwa, mnafik hahesabiwi kuwa ni kafiri ama ameuacha uislam. Unafik ni dhambi kama zilivyo dhambi nyengine ambazo kutubu kwake hakuhitaji shahada. Unafik haujatajwa hata katika dhambi kubwa ambazo hizo ukifa bila kutubu, hata uwe umefanya mema mangapi moto unakuhusu tu.

Kutokumhesabu kuwa sio miongoni mwetu hakumtoi yeye kuwa muislam. Anachotakiwa kufanya ni kuacha unafik na kutubu. Muislam mnafik akifa, anarithiwa na warithi wake wa kiislam lakini kama ingekuwa hahesabiwi kama muislam basi sheria ni asirithiwe na jamaa zake wa kiislam.
 
Tatizo lipo kwenye proof kama ni mnafiki. Sifa moja kuu ya mnafiki ni kuwa kinyonga. Akiwa nanyi munakuwa hamumjui. Munajuwa kuwa yumo kwa sababu tu siri zenu huwa zinavuja lakini Wallahi siku mukimjuwa basi munamtimuwa. Kwa nini munamtimuwa na kumkana? Ni kwa sababu siyo mwenzenu. Na mara zote adhabu ya mnafiki popote pale huwa ni kubwa kuliko ya adui mwenyewe. Nasisitiza tena tabia kubwa ya mnafiki ni kujificha kati ya waumini wa kweli, Allah ndiye pekee anamjuwa na ndio maana mutaendelea kumtreat as if they were ones of your own.

Nimekupa mfano wa mwanaume na mwanamke baada ya kupeana talaka 3 lakini wakaficha. Kizazi chao baada ya hapo si tutaki treat kama ni kizazi cha ndani ya ndoa? The same with hypocrisis, lakini once mukimgundua Wallahi munatengana nae mbali tu. Mnafiki ni double faced, huamka asubuhi vyengine na hulala akiwa vyengine. Aya ya sura ya ng'ombe inasema, "Anapokuwa nanyi anasema nimeamini, lakini anapokuwa na shetani wenzake husema aah mimi nawafanyia mzaha tu wale...." Huyo ndiye mnafiki. Jee kuna uislamu wa kufanyia mazaha? Kwa hiyo mnafiki anaweza kukutwa na kifo wakati matendo yake yamemtowa kwenye uislamu kwa wakati ule. Nani ata proove hilo. Allah pekee. Mnafiki kazi yake kubwa ni kupandikiza fitina. Na dhambi za fitina ni mbaya kuliko kuuwa.
 
chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
7,406
2,000
Tatizo lipo kwenye proof kama ni mnafiki. Sifa moja kuu ya mnafiki ni kuwa kinyonga. Akiwa nanyi munakuwa hamumjui. Munajuwa kuwa yumo kwa sababu tu siri zenu huwa zinavuja lakini Wallahi siku mukimjuwa basi munamtimuwa. Kwa nini munamtimuwa na kumkana? Ni kwa sababu siyo mwenzenu. Na mara zote adhabu ya mnafiki popote pale huwa ni kubwa kuliko ya adui mwenyewe. Nasisitiza tena tabia kubwa ya mnafiki ni kujificha kati ya waumini wa kweli, Allah ndiye pekee anamjuwa na ndio maana mutaendelea kumtreat as if they were ones of your own.

Nimekupa mfano wa mwanaume na mwanamke baada ya kupeana talaka 3 lakini wakaficha. Kizazi chao baada ya hapo si tutaki treat kama ni kizazi cha ndani ya ndoa? The same with hypocrisis, lakini once mukimgundua Wallahi munatengana nae mbali tu.
Kwenye huo mfano wa talaka apo apo, kama wamepeana talaka 3 tayri lakini wakaficha (japokuwa sielewi mantiki yake) wakizaa mtoto baada ya hapo anahesabika ni mtoto wa nje ya ndoa. Hivo maanake yule mtoto katika uislam hatambulikani kama ni wa yule mwanaume na yule mwanaume wala yule mtoto hawana haki baina yao, lakini yule mtoto anaendelea kuhesabika ni mtoto wake yule mama aliemzaa. Na ndivo kama hivo kwa mnafik, tutamtoa kuwa sio miongoni mwetu lakini anabakia kuwa muislam, kwa sababu anaamini kuwa Allah ndio Mungu wa pekee na Muhammad s.a.w ni mtume wake wa mwisho. Unafik unaweza ukasababishwa na chuki/husda tu, haitoshi kumtoa katika UISLAM lakini anaweza kuwa sio miongoni mwetu.
 
Nakwambia tena, mnafiki sio baina ya wanakundi. Jaalia munapigana vita, mnafiki anapeleka siri zenu munauwawa. Jamii haijui nini kimendelea. Huyo ni wenu kweli? Lakini Allah anamjuwa. Ndii maana mutamtreat kama ni wenu kea sababu hamujmjui. Kwenye huo mfano wa ndoa huyo mtoto atarithishwa kwa sababu jamii haijui na ndio the same case kwa mnafiki.
 
Macos

JF-Expert Member
May 12, 2008
1,959
2,000
Lissu akingia madarakani hatoitambua bakwata .
Atawachia waislam wachague viongozi wao badala ya Tiss
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
18,335
2,000
Leo Oktoba 15, Baraza Kuu la Ulamaa BAKWATA Taifa limeketi kikao cha dharura na limetoa nasaha na maelekezo matano. Sehemu kubwa ya tamko hilo ni juu ya mienendo ya viongozi wake hasa kipindi hiki cha kampeni.

Miongoni ni kukemea Dua zinazofanywa kinyume na mafundisho ya dini ya Kiislam na kutaka kauli na Dua itakayofanywa na kiongozi yeyote wa Baraza kinyume na mafundisho kamwe isihusishwe na Baraza.

Pia limewataka viongozi wake kutofanya kampeni kwa chama chochote cha siasa. Mwisho limesema linafatilia mienendo ya viongozi wake na watachukua hatua za kinidhamu watakaokwenda kinyume.

Wiki hii Sheikh wa mkoa wa Dar es Saalam alifanya kampeni kwenye moja ya mkutano wa wagombea Urais na kuomba Dua ambayo inasemwa kuwa kinyume na mafundisho ya Dini ya Kiislam.

PIA, SOMA:

Masheikh wa BAKWATA waanza kumpigia Kampeni waziwazi bila aibuBakwata ni chombo binafsi cha CCM kama ilivyokuwa Polisiccm na NECCCM
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
18,335
2,000
Lissu akingia madarakani hatoitambua bakwata .
Atawachia waislam wachague viongozi wao badala ya Tiss
Waislam wataunda chombo huru ambacho kitasimamia haki za waislam wote Nchini wataachana na Bakwata chombo binafsi cha CCM
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
18,335
2,000
Kwenye ile video clip amekiri kwa Kinywa chake kuwa Yesu ana mamlaka ya kufanya litokee jambo ama lisitokee.
Waislam wanaojielewa wanaojitambua huwa hawataki kusikia kitu kinaitwa Bakwata kwani wanajua ni chombo binafsi cha CCM ni chombo kisichowasaidia waislam kipo kwa masilahi ya wajanja wachache.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom