Uchaguzi 2020 BAKWATA yakaa kikao cha dharura, yakemea viongozi wake kupiga kampeni na Dua kinyume na Uislam. Kuwachukulia hatua

Shehullohi

JF-Expert Member
Jul 21, 2020
830
500
Shekhe Kaona isiwe tabu,Kaona ata hao mabikra 72 sio kitu mbele ya Yesu 😁!! Mungu wa Isaka na Yakobo amrehemu Shekhee wetu,amjalie uzima wa milele🙏🙏

Mungu wa Ibrahim. Hivi unajua kusema Mungu wa Ismaili ni sawa na kusema Mungu wa Kaini? Kaini na Ismaili mioyo yao ilishabihiana kuhusu mitazamo kwa wadogo zao.

Kaini alimua Habil kwa wivu tu. Ismaili wakati anacheza na Isaka akiwa mdogo Sara akaona haya yatakuwa yale yale ya Kaini na Habil ni suala la muda tu.

Akaingilia kati na kumuambia Ibrahimu muondoe huyu mtoto wako na kijakazi kwenye familia maana hana nafasi ya kurithi pamoja na mwanangu Isihaka. Mungu akabariki amri ile na kumuamuru Ibrahimu kumtii mkewe Sara.
 

Ngatele

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
729
1,000
Leo Oktoba 15, Baraza Kuu la Ulamaa BAKWATA Taifa limeketi kikao cha dharura na limetoa nasaha na maelekezo matano. Sehemu kubwa ya tamko hilo ni juu ya mienendo ya viongozi wake hasa kipindi hiki cha kampeni...
Watakemewa as they are not autonomous
 

ielewemitaa

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
4,318
2,000
Leo Oktoba 15, Baraza Kuu la Ulamaa BAKWATA Taifa limeketi kikao cha dharura na limetoa nasaha na maelekezo matano. Sehemu kubwa ya tamko hilo ni juu ya mienendo ya viongozi wake hasa kipindi hiki cha kampeni...
Bakwata ni tatizo kubwaaa kwenye jamiiii ya kiislamu, hili ni zao la Mwalimu na CCM, aibuu tupuuuu ptuuuuuuuu
 

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
13,999
2,000
IMG-20201016-WA0022.jpeg
IMG-20201016-WA0021.jpeg
 

Mwangwi

Member
Dec 30, 2017
94
125
Ukweli mtupu ila tatizo mifumo hii nchi ni ya kihuni sana na nyiye wazee umekaa kimya na kibaya sana ni hawa viongozi wadini yani wajinga sana ningekuwa na uwezo ningefuta hizi dini maana sasa faida au michango yake kwenye jamii kama wanakaribisha viongozi waovu na mpaka dua njema wanawaombe sijiunga huu
Acha jazba
 

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
5,360
2,000
Leo Oktoba 15, Baraza Kuu la Ulamaa BAKWATA Taifa limeketi kikao cha dharura na limetoa nasaha na maelekezo matano. Sehemu kubwa ya tamko hilo ni juu ya mienendo ya viongozi wake hasa kipindi hiki cha kampeni...
Tatizo la bakwata ni kiwa na viongozi wasoelimika
 

anophelesi

JF-Expert Member
May 25, 2012
1,144
2,000
Njaa, uoga na unafique vimewaharibu sana viongozi wa dini awamu hii. Sheikh wa Dar, angejiuzulu tu ushekh wake akagombee kama Gwajima
 

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
24,536
2,000
Leo Oktoba 15, Baraza Kuu la Ulamaa BAKWATA Taifa limeketi kikao cha dharura na limetoa nasaha na maelekezo matano. Sehemu kubwa ya tamko hilo ni juu ya mienendo ya viongozi wake hasa kipindi hiki cha kampeni...
Hivi unawezaje kuitenga Bakwata na CCM?
 

Heijah

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,453
2,000
Kwenye ile video clip amekiri kwa Kinywa chake kuwa Yesu ana mamlaka ya kufanya litokee jambo ama lisitokee.
Mimi nadhani hakuna shida kumtaja Yesu( sisi waislamu tunamkubali kama kati ya mitume Issa bin Maryam) tunakubali mitume wote. Shida ni kwamba unafiki wa viongozi wa dini na hii ni dini zote na sio wote wako viongozi wanasimama katika haki maana hata wale waislamu wanaounga Bakwata wako wa vyama vingine vya siasa sasa hapo kiongozi wa kweli maoni yake binafsi inabidi akae nayo yeye,

kwake muhimu ni kusimama katika njia za haki akiona haki haijatendeka basi ni wajibu kuisemea haki kwa bahati mbaya sana njaa nayo inacheza hapo wanajitoa akili. pia mkumbuke majasusi wengi hata humo taasisi za dini wamejaa na wako sio kwa dini ila kwa maslahi ya vikundi fulani wanajificha nyuma ya pazia la dini ndio ukweli. sio kila unayemuona kavaa kofia basi sheikh.
 

Mwangwi

Member
Dec 30, 2017
94
125
Leo Oktoba 15, Baraza Kuu la Ulamaa BAKWATA Taifa limeketi kikao cha dharura na limetoa nasaha na maelekezo matano. Sehemu kubwa ya tamko hilo ni juu ya mienendo ya viongozi wake hasa kipindi hiki cha kampeni. Miongoni ni kukemea Dua zinazofanywa kinyume na mafundisho ya dini ya Kiislam na kutaka kauli na Dua itakayofanywa na kiongozi yeyote wa Baraza kinyume na mafundisho kamwe isihusishwe na Baraza...
Alhad Mussa anasikitisha sana.
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,681
2,000
Leo Oktoba 15, Baraza Kuu la Ulamaa BAKWATA Taifa limeketi kikao cha dharura na limetoa nasaha na maelekezo matano. Sehemu kubwa ya tamko hilo ni juu ya mienendo ya viongozi wake hasa kipindi hiki cha kampeni.

Miongoni ni kukemea Dua zinazofanywa kinyume na mafundisho ya dini ya Kiislam na kutaka kauli na Dua itakayofanywa na kiongozi yeyote wa Baraza kinyume na mafundisho kamwe isihusishwe na Baraza.

Pia limewataka viongozi wake kutofanya kampeni kwa chama chochote cha siasa. Mwisho limesema linafatilia mienendo ya viongozi wake na watachukua hatua za kinidhamu watakaokwenda kinyume.

Wiki hii Sheikh wa mkoa wa Dar es Saalam alifanya kampeni kwenye moja ya mkutano wa wagombea Urais na kuomba Dua ambayo inasemwa kuwa kinyume na mafundisho ya Dini ya Kiislam.

PIA, SOMA:

Masheikh wa BAKWATA waanza kumpigia Kampeni waziwazi bila aibuChizenga ilitakiwa Alhad Shehe wa DAR afukuzwe kabisa.
 

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
327
250
Shehe wa Dar ameunajizi Uislam kwa kuendesha dua kwa jina la Kristu ilihali Waislam wanampinga Kristu.
unajizi
najis. ° uchafu.
hujaelewa we muslim are more christian than you because we follow the jesus peace be upon him.as the Messiah and servant of god.
em uwage unaishia huko huko kwenye siasa usije mbio hapa kuja kusema sema

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mwangwi

Member
Dec 30, 2017
94
125
unajizi
najis. ° uchafu.
hujaelewa we muslim are more christian than you because we follow the jesus peace be upon him.as the Messiah and servant of god.
em uwage unaishia huko huko kwenye siasa usije mbio hapa kuja kusema sema

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamtetea Alhad? Unajua kuwa katika Uislam Du'aa ni 'Ibaadah? Tujitahidi sana tuisome dini yetu. Nakuusia pamoja na kuiusia nafsi yangu juu ya kuisoma dini, hasa 'Aqidah na Tawheed. Ni muhimu mno.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom