BAKWATA waomba serikali kuharakisha upelelezi kesi za ugaidi

Upelelezi wa swala la ugaidi ni mgumu sio sawa na kupeleleza aliyeiba kuku! Tulieni TISS ifanye kazi yake ili kesi ikianza watu wapate hukumu inayowastahili. Ila hawa watuhumiwa ingependeza sana endapo wangetupwa Gwantanamo wakisubiri kesi zao kuanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wawakamate kwa uchochezi basi kama Lowssa!!! Kwenye mambo kama haya hutomuona Alhad Musa-Sheih wa BAKWATA DAR wala sheikh Mkuu!!

Uzuri hii karata inazidi kunoga,tarehe 20 July lazima Grey hair wamuache ama waamshe tafrani!!

Kama kumnyamazisha basi wamfungulie kesi za ufisadi na uhujumi uchumi tu ila kwa suala la masheikh itakuwa sawa na kuchambia mkuki mtu anayeharisha!!!!!!!!!!!
Hata Kama akutupwa jela nothing will happen acha kutufunza woga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili zinaniambia kuwa kuna manufaa ya kisiasa ktk hili.
Kuna mtu ataanza kupongezwa muda sio mrefu kwa maamuzi yatakayoitwa ya haki ktk hili
 
Upelelezi wa swala la ugaidi ni mgumu sio sawa na kupeleleza aliyeiba kuku! Tulieni TISS ifanye kazi yake ili kesi ikianza watu wapate hukumu inayowastahili. Ila hawa watuhumiwa ingependeza sana endapo wangetupwa Gwantanamo wakisubiri kesi zao kuanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Usitumie kubambikia watu makosa for your own benefit.

Nani asiyejua walichokuwa wakidai UAMSHO? Huo ugaidi ni fitna tu za mfumo

Lexus Mayai
 
Miongoni mwa taasisi za kusadikika inchi hii basi ni hizi taasisi za kidini,bakwata wa kiwa kinara wao.

Hua sielewi kabisa kwanini mabaraza ya idi bira viongozi wa juu wa kiserikali haya fanyiki.
 
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limeviomba vyombo vya dola kuharakisha upelelezi wa kesi za ugaidi ili haki itendeke kwa wakati.

Mwishoni mwa mwaka jana baraza hilo lilitahadharisha kuwa suala la ugaidi linaweza kutumiwa kama njia ya kulipiza visasi katika jamii na kusababisha raia wema wasio na hatia kuhusishwa na vitendo hivyo.

Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Bakwata, Sheikh Khamis Mataka, alisema haki inatakiwa ionekane inatendeka na kitendo cha kuichelewesha ni sawa na kumnyima mtu haki yake.


“Sio masheikh tu bali waumini wote wanaohusishwa na kesi za ugaidi, tunaomba upelelezi uharakishwe ili kesi zilizokaa muda mrefu ziweze kufikia mwisho, na watakaoonekana wana hatia wahukumiwe na wasio na hatia waachiwe huru na kuendelea na shughuli zao,” alisema.

Alisema Katiba imetamka wazi kwamba mtu yeyote atabaki kuwa mtuhumiwa hadi mahakama itakapothibitisha kosa lake. Hivi karibuni Mwenyekiti wa Taasisi ya Kiislam ya Imam Bukhary, Sheikh Khalifa Khamis, aliwataka waislamu wote nchini kuungana na kupigania haki za masheikh na waislamu waliopo magerezani.

Mwezi uliopita pia Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, alimtaka Rais Dk. John Magufuli kutafakari upya juu ya masheikh wa Jumuiya ya Uamsho ambao wanasota gerezani kwa zaidi ya miaka minne sasa.

Chanzo: Mtanzania
BAKWATA waktimwingine ni bora mkakaa kimya kuliko kujiweka kwenye taa zenye mwanga mkali.Hamjatuonyesha uelekeo sisi Waislamu wa bara.
 
BAKWATA nina waheshimu sana ila kwa hili la viongozi wa UAMSHO nawakatalia

UAMSHO ni hatari kwa usalama wa nchi, muungano wetu na umoja wa kitaifa

Kamwe viongozi wa UAMSHO wasiachiwe

Cc: TISS, TPDF, Police Force, Tanzania Prison Force, Union government, The ruling party, Judges, and All nationalists
Baba yako MBONA pia Ni hatari kwa usalama wa Nchi kwa kuwa kwake pusha
 
BAKWATA nina waheshimu sana ila kwa hili la viongozi wa UAMSHO nawakatalia

UAMSHO ni hatari kwa usalama wa nchi, muungano wetu na umoja wa kitaifa

Kamwe viongozi wa UAMSHO wasiachiwe

Cc: TISS, TPDF, Police Force, Tanzania Prison Force, Union government, The ruling party, Judges, and All nationalists
UAMSHO wana tatizo gani na hayo uliyoyataja hapo juu? kwani wao matakwa yao ni nini? ni nchi yako ipi unayoizungumzia?
 
Bakwata nao wameshanunuliwa Siku zote mlikuwa wapi nimeamni lowassa ni kirusi kibaya sana kama serikali haitokuwa makini nae taifa letu litaingia kwenye matatizo makubwa na vita yenyewe kwa wenyewe inaweza ikatoke kama wakimchukilia poa lowassa huyu mzee sio MTU mzuri nimeshajua kwann mwalimu alimkataa
Kirusi ni huyu Uchwara
 
BAKWATA nina waheshimu sana ila kwa hili la viongozi wa UAMSHO nawakatalia

UAMSHO ni hatari kwa usalama wa nchi, muungano wetu na umoja wa kitaifa

Kamwe viongozi wa UAMSHO wasiachiwe

Cc: TISS, TPDF, Police Force, Tanzania Prison Force, Union government, The ruling party, Judges, and All nationalists
Kanuni/Sheria za Wizara ya Mambo ya Ndani

Kuanzia kesho na kuendelea kutakuwa na kuna kanuni mpya za mawasiliano.

Simu zote zinarikodiwa.

Simu zote zinazorikodiwa zinahifadhiwa.

Whatsapp inafuatiliwa.

Twitter inafuatiliwa.

Facebook inafuatiliwa.

Vyombo vyote vya habari vya kijamii na vikao vinafuatiliwa

Waambie wale wasiojua.

Vifaa vyako vinaunganishwa na mifumo ya huduma ya wizara.

Jihadharini kutuma ujumbe usiohitajika.

Wajulishe watoto wako, jamaa na marafiki zako kuhusu jambo hili ili wawe waangalifu.

Usitume machapisho au video yoyote n.k unayoipokea kuhusu siasa / hali ya sasa kuhusu Serikali / PM nk.

Polisi wameweka taarifa inayojulikana .. Uhalifu wa Cyber ... na hatua itachukuliwa ... futa tu ...

Wajulishe rafiki zako na wengine pia.

Kuandika au kupeleka meseji yoyote ya mjadala wa kisiasa na kidini ni kosa kwa sasa .... kukamatwa bila hati ...

Hili ni jambo nyeti sana. Tafadhali wajulishe wanachama wetu wote wa groups (vikundi) vyetu, na kwa Admin wa Groups inaweza kuwa matatizo makubwa.

Jihadharini kutuma ujumbe usiohitajika.

Mwambie kila mtu juu ya hili ili awe na tahadhari.

Tafadhali tuma hii kwa wengine; Ni kweli sana.

IMETUMWA KAMA ILIVYOPOKELEWA
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom