BAKWATA walaani mauaji Palestine, wawataka Waislamu kuitumia Ijumaa kuiombea Palestine

Chanzo cha vita ni nini?
Samahani naomba historia ya taifa mnaloliita Palestine lilishawahi kuwepo mwanzo kabla ya kuporwa hiyo ardhi yao mnayoisema na Israel je hilo taifa la Palestine mwanzo lilikuwa karne ya ngapi na mfalme wake nani na watu walioitwa wapalestina walishakuwepo na kingdom yao iliitwaje?
 
Vita vya kukaliwa kimamabavu na mtu ambaye akijisikia kukufanya chochote na wakati wowote ni mbaya zaidi ya hao wasakatonge uliowataja hapo.hao wapo huru lakini wameamua kujitoa ufahamu na kuuwana sababu za kijinga na kutaka utajiri.Ukitaka kujua hilo mtafute babu yako kama bado yupo akusimilie ilivyokuwa wakati wa mapambano ya kutaka uhuru.ni hivyo tu
Kukaliwa kimabavu vipi kulishawahi kuwa na taifa linaloitwa Palestine embu nitajie historia yao na kingdom yao na mfalme wao na lugha yao na waliishi wapi
 
Samahani naomba historia ya taifa mnaloliita Palestine lilishawahi kuwepo mwanzo kabla ya kuporwa hiyo ardhi yao mnayoisema na Israel je hilo taifa la Palestine mwanzo lilikuwa karne ya ngapi na mfalme wake nani na watu walioitwa wapalestina walishakuwepo na kingdom yao iliitwaje?
Bado hujajibu swali.

Chanzo cha vita ni nini?
 
Washenzi na wanafiki hawa tu wanashindwa kulaani unyama wa mwendazake wanarukia ishu za gaza shenzy type
 
Back
Top Bottom